baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Hii ni version ya west kwamba Isis wanaua wote kasoro wahhabi, ila Isis Syria wanatibiwa Israel hii ni fact kuna picha na video kabisa Netanyahu akiwa tembelea Hospitali. N viongozi wa zamani wa Isis wanapewa position na Usa. Juzi tu hapa kuna controvesy kiongozi wa zamani wa Isis kateuliwa na Usa kuwa kiongozi wa waasi SyriaISIS imeua Waandishi wa Habari kwa kuwachinja kule Syria mara kadha ISIS inaua kila Mtu kasoro ISIS wenzao wanaofuata Madhehebu ya Kisalafi na Kiwahabi.
Verify hii habari yako.Isis Syria wanatibiwa Israel hii ni fact kuna picha na video kabisa Netanyahu akiwa tembelea Hospitali.
Yericko Nyerere ni nani? Yaani ukisali Dini moja na mumeo/mkeo/babayo/mamayo basi unataka wote tumfahamu?Usiwe unanihusisha na dini zenu za Waislamu au Wakristo,Mimi siko kwenye hizo dini nasali dini ya Asili kama Yericko Nyerere lakini Mungu namtambua kabisa.
Kwa HIYO NI MBUZI WA BWANA HERI NA SHAMBA LA BWANA HERI? NI KAMA MBWA WAKIJA SHAMBULIA BINADAMU WAFUGAJI WA MBWA NA MBWA MWINGINE AKATUMIKA KUWADHIBITI HAO WENGINE? NDO UNATAKA KUSEMA HIVYO? ASTAGHAFILULAH SHEKHE MSWALIE MTUME.Alieokoa watu kwenye hio concert ni muisilamu, wanajeshi walio track na ku kamata ni waisilamu pia.
Kuwa Agents wa Intelligence fulani mbona huwa ni kawaida tu Israeli inajua haya magrupu lengo lao ni kuivamia Israel ni muhimu kujua nyendo zao.Kuna Viongozi wengi wa isis ambao wamedakwa kwenye Conflicts ni agent wa MOSSAD. Hii ni open secret kwamba Isis ni west.
Hayo macho makubwa mbona haya kuweza kuona Hamas akipanga shambulizi dhidi ya Israel?USA anaihurumia Ukraine iliyovamiwa kwa kuwapa silaha ili watetee nchi yao.
USA ana macho makubwa yanayoona mbali ndio maana aliwapa Warusi taarifa ila walizipuuza.
Hata mwanzo aliwapa Ukraine taarifa watavamiwa na Urusi japo Putin alikanusha ila baadae alivamia kweli
USA anaihurumia Ukraine iliyovamiwa kwa kuwapa silaha ili watetee nchi yao.
USA ana macho makubwa yanayoona mbali ndio maana aliwapa Warusi taarifa ila walizipuuza.
Hata mwanzo aliwapa Ukraine taarifa watavamiwa na Urusi japo Putin alikanusha ila baadae alivamia kweli
Hapa kuna video ikionesha Macomando wa Israel wakiokoa Islamist SyriaVerify hii habari yako.
Free Syria Army ilikuwa inasapotiwa na Israel na US na baadhi ya Western Democracies lengo lilikuwa ni kuundoa utawala wa Kidikteta wa AssadHapa kuna video ikionesha Macomando wa Israel wakiokoa Islamist Syria
Bro sio free Syria Army ni Al nusrat, nimekuekea link ya maneno na video toka kinywa cha mkuu Wa Mossad mwenyewe, kama unabishana na mkuu Wa MOSSAD sawa.Free Syria Army ilikuwa inasapotiwa na Israel na US na baadhi ya Western Democracies lengo lilikuwa ni kuundoa utawala wa Kidikteta wa Assad
Ila kusema walisapoti ISIS huku wakijua kuwa ni ISIS hilo halina ukweli.
Tatizo magaidi wanapiga raia wema.Kama USA anaihurumia Ukraine Kwa sababu ya kuvamiwa na Urusi kwa kuipa silaha ili Ukraine iipige Urusi basi angeacha TU magaidi waipige Urusi ili kuivuruga kabisa kisha Ukraine iishinde Urusi kirahisi.
Huwa yanaona maeneo mengi tu, sio Urusi pekeeHayo macho makubwa ya USA yanaonaga TU pale magaidi wanapotakaga kupiga Urusi TU.
Yalitokea makosa ya kutofanyia kazi taarifa za kiintelejensia kwa wakati ndio maana hao magaidi walifanikiwa kufanya hayoshambuliIzi la kigaidi lililolipiga meli ya kivita ya USA nchini Yemen?
Shambulio la kigaidi lililofanyika siku moja kwenye balozi mbili tofauti za USA mjini Dar es salaam na Nairobi?
Shambulio la kigaidi lilioua wamarekani wengi zaidi tokea Dunia hii kuumbwa la September 11,ambalo liliidhalilisha sana intelijensia ya USA kwani lilipiga sehemu muhimu sana hapa chini ya jua,yaani pentagon na hata WTC.
Hapana, mpaka dakika ya mwisho Putin alikanusha hana mpango wa kuivamia Ukraine ila Marekani alisisitiza uvamizi upo na hatimaye uvamizi ukafanyikaTaarifa za Urusi kuivamia Ukraine zilikua wazi kabisa,kwani Urusi ilihangaika sana kwenda USA ,EU, NATO kuziomba zisiiingize Ukraine ndani ya NATO,ikiziomba Ukraine iwe nyutro lkn wote walikataa,Urusi ikaonya isiposikilizwa itatumia nguvu.hivyo Dunia ilijua Urusi itatumia nguvu,ndipo USA ikaionya Urusi kua ikitumika nguvu isahau mradi wa Nord stream II.
Al Nusra ni walikua chini ya kiongozi wa Isis baadae wakajiunga Al Qaeda.
Nadhani huelewi dynamics baada ya US na Israel kuwasaidia Maadui wa Assad na kugundua kuwa vile ni vikundi vya Kigaidi alibadilisha msimamo na kuanza kuwapiga na kuwamaliza kama tujuavyo ISIS ni kama imekwisha Syria.Bro sio free Syria Army ni Al nusrat, nimekuekea link ya maneno na video toka kinywa cha mkuu Wa Mossad mwenyewe, kama unabishana na mkuu Wa MOSSAD sawa.
Mtu mwenye akili timamu anawezaje kusema putin anatapatapa?yaani raisi mwenye shirika bora duniani kuliko lote?Putin says 'Islamist radicals' carried out terror attack, but insists on Ukraine link
In this pool photograph distributed by the Russian state agency Sputnik, Russia's President Vladimir Putin holds a meeting on measures taken after a massacre in the Crocus City Hall that killed more than 130 people, the deadliest attack in Europe to have been claimed by the Islamic State (IS) group, via a videoconference at the Novo-Ogaryovo state residence, outside Moscow, on March 25, 2024.
Mikhail Metzel | Afp | Getty Images
Russian President Vladimir Putin conceded on Monday that the deadly terrorist attack in Moscow last Friday was carried out by "radical Islamists" but insisted that there was a link to Ukraine, without presenting evidence.
Putin told senior Kremlin officials Monday that an investigation into the attack on the Crocus City Hall concert venue, in which 139 people died when gunmen entered the building and shot indiscriminately, "must be carried out in the most professional manner, objectively, without any political bias."
The Islamic State group said it was behind the attack on Friday and published footage of it. Four men appeared in a Moscow court on Sunday night and were charged with terrorism offenses. Three more men were charged Monday.
Putin initially suggested the attack was linked to Ukraine, claiming that the suspects had fled toward the border and that "a window had been prepared for them on the Ukrainian side to cross the border." He did not present any evidence for the claim. Kyiv denies any involvement.
Read more
Putin expected to use deadly Moscow attack to Russia's advantage, whoever's to blame
On Monday, Putin appeared to accept that the IS group was responsible for the attack but insisted that there was a link to Ukraine.
"We know that the crime was committed by radical Islamists, whose ideology the Islamic world itself has been fighting for centuries," Putin said, according to comments translated by NBC.
"But we also see that the United States, through various channels, is trying to convince its satellites and other countries of the world that, according to their intelligence data, there is supposedly no Kyiv trace in the Moscow terrorist attack, that the bloody terrorist attack was carried out by followers of Islam, members of the ISIS organization banned in Russia."
U.S. officials have dismissed any Ukrainian involvement in the attack, with White House spokesperson John Kirby telling reporters, "There was no linkage to Ukraine. ... This is just more Kremlin propaganda."
==========================
Putin anatapatapa.....
Richard Gagnija TUJITEGEMEE
lee Vladimir cleef
Kwako wewe USA ni wanaweza Kila kitu,hawashindwi jambo na wala hawakosei kitu chochote.Tatizo magaidi wanapiga raia wema.
Huwa yanaona maeneo mengi tu, sio Urusi pekee
Yalitokea makosa ya kutofanyia kazi taarifa za kiintelejensia kwa wakati ndio maana hao magaidi walifanikiwa kufanya hayo
Hapana, mpaka dakika ya mwisho Putin alikanusha hana mpango wa kuivamia Ukraine ila Marekani alisisitiza uvamizi upo na hatimaye uvamizi ukafanyika
Kuna mbunge wa Uingereza (George Galloway) naye anasema US na UK wanahusika na shambulio hilo.Tuombe Mungu, kuna kitu kikubwa kinaendelea nyuma ya pazia! Kwa nini wanaendelea na msisitizo??
Britain, US and Ukraine possibly behind Moscow concert hall attack, Russia's FSB chief says
Russia's FSB chief Alexander Bortnikov has suggested Britain, the US and Ukraine could have been behind the Moscow concert hall attack which killed more than 130 people on Friday.
According to our team in Russia, he was asked if the US, Britain and Ukraine were behind the attack and he said: "It's possible, I think so."
Ukraine war latest: Russia points finger at UK over Ukrainian strike on missile plant
Ukraine says it has hit a missile plant in a Russian border region, with Storm Shadows used in the attack. The Kremlin claimed it was "clear" the attack would not have been possible without UK involvement. A Russian official said six people were killed in the strike.news.sky.com
Isis wameisha Syria ama wanasaidia Ukraine sasa hivi?Nadhani huelewi dynamics baada ya US na Israel kuwasaidia Maadui wa Assad na kugundua kuwa vile ni vikundi vya Kigaidi alibadilisha msimamo na kuanza kuwapiga na kuwamaliza kama tujuavyo ISIS ni kama imekwisha Syria.
Ni kama illivyokuwa Afghanistan US aliwasaidia Mujahidiin baadae wakaja kuwa Taliban na Magaidi wa AL QAEDA walijificha huko na kuanza kushambulia US na Interest zake.
Lakini leo kusema ISIS Khorasan inasaidiwa na US sio sahihi ISIS khorasan wanataka kuanzisha Dola ya Kiislamu Khorasan ambayo Kijiografia ni eneo kubwa sana na US na Israel na Maadui zao Wakubwa sana.
Wewe nina imani kuwa ni Mwafrika mwenzangu sidhani kama unaujua vizuri Uisilamu Uisilamu una Madhehebu kadhaa na yote hayasikilizani yanachinjana usiku na mchana kama Khoja wanachinjwa Ismailia wanachinjwa Ahmadiya wanachinjwa Kadiani wanachinjwa Shia wanachinjwa Sunni wanachinjwa na Shia.Mkuu Mimi muisilamu naifahamu dini yangu vizuri tu, unamdanganya mtu asiefahamu dini kwamba Isis wanataka dola ya kiisilamu ila matendo yao yanajulikana na sio ya kiisilamu na sidhani kama kuna muisilamu yoyote anayeamini hayo hali ya kuwa anajua dini yake.