kariobangii
JF-Expert Member
- Jul 21, 2023
- 515
- 676
sawasawa ila ule uongo wa vijiweni ya kuwa hawashambulii Israel naona nimeurefute,umebaki kupayuka,tafuta uongo mwingineISIS wanawatumikia makafiri
tafuta singo nyingine we kilaza,hiyo singo ishachujaKilaabu nnaar
we kilaza narudia TenaISIS ni makhawaarij. Wanawanufaisha makufaar na kuuchafua uislamu.
Ndio sababu Mtume aliwaita watu wa aina hiyo "mbwa wa motoni"
Nakubaliana na maoni Yao Kwa sababu linapotokea tukio kama hili Kila mtu hasa ktk tasnia ya uchunguzi anaruhusiwa kutoa maoni yake.Kutapatapa
View attachment 2945376
Sasa we kilaza anayewanufaisha waislam ni Nani? nijibu hili swali ili nikuweke kwenye kundi la binadamu timamuISIS ni makhawaarij. Wanawanufaisha makufaar na kuuchafua uislamu.
Ndio sababu Mtume aliwaita watu wa aina hiyo "mbwa wa motoni"
ISIS hawashambulii Israel wala kambi za wamarekani mashariki ya katisawasawa ila ule uongo wa vijiweni ya kuwa hawashambulii Israel naona nimeurefute,umebaki kupayuka,tafuta uongo mwingine
Media ya west hawawezi kutulia kwa hili kwa maana kwamba Russia wao waendelea kupata information kutoka kwa watuhumiwa kadhaa mbali ya hao wanne walofikishwa mahakamani.Putin says 'Islamist radicals' carried out terror attack, but insists on Ukraine link
In this pool photograph distributed by the Russian state agency Sputnik, Russia's President Vladimir Putin holds a meeting on measures taken after a massacre in the Crocus City Hall that killed more than 130 people, the deadliest attack in Europe to have been claimed by the Islamic State (IS) group, via a videoconference at the Novo-Ogaryovo state residence, outside Moscow, on March 25, 2024.
Mikhail Metzel | Afp | Getty Images
Russian President Vladimir Putin conceded on Monday that the deadly terrorist attack in Moscow last Friday was carried out by "radical Islamists" but insisted that there was a link to Ukraine, without presenting evidence.
Putin told senior Kremlin officials Monday that an investigation into the attack on the Crocus City Hall concert venue, in which 139 people died when gunmen entered the building and shot indiscriminately, "must be carried out in the most professional manner, objectively, without any political bias."
The Islamic State group said it was behind the attack on Friday and published footage of it. Four men appeared in a Moscow court on Sunday night and were charged with terrorism offenses. Three more men were charged Monday.
Putin initially suggested the attack was linked to Ukraine, claiming that the suspects had fled toward the border and that "a window had been prepared for them on the Ukrainian side to cross the border." He did not present any evidence for the claim. Kyiv denies any involvement.
Read more
Putin expected to use deadly Moscow attack to Russia's advantage, whoever's to blame
On Monday, Putin appeared to accept that the IS group was responsible for the attack but insisted that there was a link to Ukraine.
"We know that the crime was committed by radical Islamists, whose ideology the Islamic world itself has been fighting for centuries," Putin said, according to comments translated by NBC.
"But we also see that the United States, through various channels, is trying to convince its satellites and other countries of the world that, according to their intelligence data, there is supposedly no Kyiv trace in the Moscow terrorist attack, that the bloody terrorist attack was carried out by followers of Islam, members of the ISIS organization banned in Russia."
U.S. officials have dismissed any Ukrainian involvement in the attack, with White House spokesperson John Kirby telling reporters, "There was no linkage to Ukraine. ... This is just more Kremlin propaganda."
==========================
Putin anatapatapa.....
Richard Gagnija TUJITEGEMEE
lee Vladimir cleef
Sahihi lakini sio isis.Wewe nina imani kuwa ni Mwafrika mwenzangu sidhani kama unaujua vizuri Uisilamu Uisilamu una Madhehebu kadhaa na yote hayasikilizani yanachinjana usiku na mchana kama Khoja wanachinjwa Ismailia wanachinjwa Ahmadiya wanachinjwa Kadiani wanachinjwa Shia wanachinjwa Sunni wanachinjwa na Shia.
Hitilafu za Kidini zinaamuliwa kwa kuchinjana ndani ya Uisilamu.
Ushauri wangu mimi Agnostic ni kwamba kuna haja ya kufanya Reforms kwenye Vitabu na Hadithi ili Uisilamu uweze kwenda mbele.
Uisilamu umekwama kwenye karne ya kumi.
ISIS ni Vikundi vinavyotaka kurejesha Khilafa Al Islamiya kama ilivyokuwa wakati wa Maswahaba ndio mqana wanasema Ardhul Lands of SHAM na IRAQ.Isis ni habari nyengine, kama mdau alivyokwambia hapo juu ni mbwa wa motoni, wale wanaweza kuja kijiji wakaua wote
Putin hajasema kitu kama hichoHata Russia ni Kafir tu. Naye tutamchapa. Hatuna urafik naye. Wanajeshi wa allah wapo kazini muda wote.
Alwaz Ritz Malaria 2 FaizaFoxy The Boss ChoiceVariable njooni tuwatetee wenzetu hapa. Huyu Putin atawafanya jambo baya si wa mchezo mchezo. Tukawatie moyo wenzetu.
Safari hii wazungu hawa makafir wa Dunia nzima mpaka wahame hii Dunia. Uongo? Ila sasa na hawa wanamgambo nao kweli hawakupewa hata darasa kuwa Putin siyo Marekani? Sisi wenye Elimu tuwe tunawaelezea wenzetu kinaga ubaga. Maana... Hii sasa hatari. Na kule China nao wanatuona uislamu ni Ugonjwa.
View attachment 2945135
Aisee!kazi kwelikweli.JF bwana, ukitaka kufungua ukurasa mpya inakulazimu urudi mwanzo wa kurasa.
Hii haikubaliki
Upuuzi mtupu, huna unalojua kama unahisi Wanachofanya Isis ni sharia, ushauri tu ukipata pata muda jifunze sharia ni nini.ISIS ni Vikundi vinavyotaka kurejesha Khilafa Al Islamiya kama ilivyokuwa wakati wa Maswahaba ndio mqana wanasema Ardhul Lands of SHAM na IRAQ.
Na ukiangalia vizuri ISIS ndio wanafuata vizuri sana ISLAMIC SHARIA kwao yeyote ambae hafuati suna anauwawa.
Nani alikuambia ISIS wanafata "SANA" sharia katika uislam?.nimevyosoma tu hapo nimepuuza na hoja zako.ISIS ni Vikundi vinavyotaka kurejesha Khilafa Al Islamiya kama ilivyokuwa wakati wa Maswahaba ndio mqana wanasema Ardhul Lands of SHAM na IRAQ.
Na ukiangalia vizuri ISIS ndio wanafuata vizuri sana ISLAMIC SHARIA kwao yeyote ambae hafuati suna anauwawa.
Hivyo wanavyofanya ISIS ndio mafundisho ya Kiislamu inavyotakiwa.Nani alikuambia ISIS wanafata "SANA" sharia katika uislam?.nimevyosoma tu hapo nimepuuza na hoja zako.
Humtambui Mungu na wala hujawahjUsiwe unanihusisha na dini zenu za Waislamu au Wakristo,Mimi siko kwenye hizo dini nasali dini ya Asili kama Yericko Nyerere lakini Mungu namtambua kabisa.
Again kasome sharia mkuu, ukiongea hivyo mambo basic ya sharia huyajui.1. Islamic Sharia inasema Shoga Auwawe
2.Islamic Sharia inasema Muisilamu akihama Dini ya Kiislamu auwawe.
Ziko Sheria kibao ninaweza kukujazia hii Server ya JF.
Inawezekana kabisa wewe ndio huzijui Sheria za Dini yako unataka zile Softy Softy kwa ajili ya kutongozea Watu ili wajiunge na Uisilamu.