babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,949
- 6,754
Hakuna sharia ya hivyoISIS ni Vikundi vinavyotaka kurejesha Khilafa Al Islamiya kama ilivyokuwa wakati wa Maswahaba ndio mqana wanasema Ardhul Lands of SHAM na IRAQ.
Na ukiangalia vizuri ISIS ndio wanafuata vizuri sana ISLAMIC SHARIA kwao yeyote ambae hafuati suna anauwawa.
Toa ujinga wako hapaHumtambui Mungu na wala hujawahj
Ungemtambua ungemtambu Bwana Yesu
Ni nani amesema shambulio la crocus limefanywa na magaidi wa kiislamu??
Kwanini husemi shambulio Hilo limeratibiwa na kufanywa na magaidi wa ulaya na marekani (WAKRISTO)
Hivi huu uongo wa ugaidi bado mnaendelea kuutumia tu hamuoni kua tayari umeshawavua nguo??
Jitafakari wewe MKRISTO wa chato
Huko kanisani chato bado mnaendelea kujazwa ujinga tu??Waislamu wenzako wenyewe wa ISIS wamekiri kufanya huo ugaidi, sasa wewe hapo Buza unawabishia?
1:18 For the preaching of the cross is to them that perish foolishness; but unto us which are saved it is the power of God. 1 CorinthiansToa ujinga wako hapa
Kuna kitu kinaitwa transplant....ni kweli kuwa ISIS ndiyo walio fanya ugaidi ila kuna transplant ya ukrain na hii transplant inaweza kufanyika kwa njia nyingi either kwa ISIS kujua au kutokujua kuwa wanatumiwa na kupewa upenyo fulani au backup na wazungu ili jambo lao lifanikiwe ....mfano ndani ya ISIS kuna majasusi wa kimarekani pia wanaweza wakasuka njama ya kigaidi na ISIS kufanya shambulio kumbe wanatumika bila ya wao kujijuaWaislamu wenzako wenyewe wa ISIS wamekiri kufanya huo ugaidi, sasa wewe hapo Buza unawabishia?
Huko kanisani chato bado mnaendelea kujazwa ujinga tu??
Hivi vita ni vipana kuliko uwezo wako wa akili ndiyo maana unaona bwana Putin kazuia ushabiki wa ushoga kwenye nchi yake kwa sababu ya vita .. wewe unadhani kwanini putin kafanya hivyo ...vita ni pana sana hii silaha za kila aina zinatumika ..kuanzia silaha zaWafia dini vs mashoga
Mnaharibu thread
Mashoga vs wafia dini endeleeni na kelele zenu though mnatuharibia thread.Hivi vita ni vipana kuliko uwezo wako wa akili ndiyo maana unaona bwana Putin kazuia ushabiki wa ushoga kwenye nchi yake kwa sababu ya vita .. wewe unadhani kwanini putin kafanya hivyo ...vita ni pana sana hii silaha za kila aina zinatumika ..kuanzia silaha za
1) ushoga
2) ugaidi
3)ujinsia
4)udini
5) uafrica
6)ukabila
7)siasa
8)uchumi
9)ujasusi
10)ushawishi
11)haki za binadamu
12)unafiki(propaganda) uhongo
Zote hizo ni silaha zinatumiwa na pande zote dhidi ya mwingine
Baba yako aliuza ng'ombe wake kuku somesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe...je sisi mabasha tuna ruhusiwa kupiga kelele zetu kwenye hii thread au la ?.Mashoga vs wafia dini endeleeni na kelele zenu though mnatuharibia thread.
Wengine acheni tufuatilie updates za Vita.
Punguzeni wenge,tunataka updates za Vita.Mambo yenu ya ushoga vs udini fungueni thread yenu.Baba yako aliuza ng'ombe wake kuku somesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe...je sisi mabasha tuna ruhusiwa kupiga kelele zetu kwenye hii threed.
Nyie hua hamuoni aibu kufumuliwa marinda??Hivi huwa hamuoni aibu kwenda kunyanyua makalio kwenye nchi za watu tena katikati ya barabara
Haya leta na za KievTutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
[emoji298][emoji298]Russia's total combat losses in Ukraine from February 24, 2022 to March 27, 2024 amount to about 439,190 invaders, including another 1,030 troops killed or wounded in action in the past day.
The General Staff of the Armed Forces of Ukraine said this in a post on Facebook, according to Ukrinform.
The Ukrainian defenders have also destroyed 6,904 enemy tanks (+11 in the past day), 13,216 armored combat vehicles (+9), 10,931 artillery systems (+27), 1,019 multiple launch rocket systems, 728 air defense systems (+1), 347 aircraft, 325 helicopters, 8,578 unmanned aerial vehicles (+25), 2,015 cruise missiles (+1), 26 warships/cutters, 1 submarine, 14,539 motor vehicles (+41), and 1,794 special equipment units (+5).[emoji298][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huo mda bado mfupi sana,Urusi anapigana na collective west.Mwaka 2 Russia bado yuko vitani na Ukraine
Ukipata muda Leo nenda kaangalie vipindi vya WW II kwa nini nchi inashindwa vita au inakubali concession.Huo mda bado mfupi sana,Urusi anapigana na collective west.
Kumbuka USA na NATO walipigana miaka 20 na kikundi Cha Taliban,na wakakimbia wakawaacha Talaban wakachukua serikali ya Afghanistan.
Kwa ulichoandika hapa, hakika wewe ni mtaalamu wa maswala ya conflicts. Ninasema hivyo kwa kuwa umenigusa kwenye suala la stages za vita, though not comprehensive.Ukipata muda Leo nenda kaangalie vipindi vya WW II kwa nini nchi inashindwa vita au inakubali concession.
Hali aliyopo Ukraine ndio hali aliyokuwa nayo USSR vita ya pili ya Dunia na Huyu Huyu USA ambaye pro-Russia mnasema na kumazabaza ndio alimuokoa USSR kwa njia ya mpango wa land lease, dhidi ya kidume hitler
Vita Ina hatua tofauti tofauti, kuna hatua offensive, defensive na stalemate, vita ya Ukraine iko kwenye hii ya Tatu stalemate, Hapa sasa misuli ya uchumi na uzalishaji ndani ya nchi ndio itaamua uelekeo wa vita.
Sababu inayofanya Dunia nzima isipigane na Marekani ni 1. Economy power, 2. Production capacity