no one even bothers to read them ....But, apparently you have read themHizi copy pasting ndugu hazisaidii kitu, no one even bothers to read them, mpaka sasa huyo Mrusi alipaswa awe amepachika uongozi wake Kyiv, imeshindikana, ametumia mpaka hypersonic missiles ila wapi.
Rejea kauli ya PutinBREAKING:
Another Russian suicide drone has struck Romanian territory.
Romania has announced that they have found the debris of a Russian suicide drone near Braila.
It’s the 5th Russian suicide drone to strike Romania since the war started.
Romania is a NATO member state! 🇷🇴
View attachment 2948356
Yaani Russia anajinyea tu.Hamna kitu hajarusha pale na kamepangua freshi tu, yale mabomu yangeelekezwa Afrika hakuna nchi ingepona.
Urusi ilikua imewapa sana jeuri nyie wavaa makobaz.....leo hamna mtetezi, mpo mpo tu.
Duh....incredible....At long last you have surfaced!!Russia is broke!
Vijiboti vyake karibu vyote vimeangamizwa na Ukraine.
Nategemea ili litaikuta Poland japo kashajua kabisa Urusi akimalizana na Ukraine tu basi anafata yeye[emoji23][emoji23]Huyu jamaa atawavamia, hata kwa ukraine alikuwa anakana hivihivi.
Wanajitahidi kusema ukweli kwa sababu wanapata mafanikio makubwa,lkn mwanzo walikua wanaficha.halikadhalika na Ukrainato nao hufichaIla kule RT TV Mrusi akipigwa anaonesha habari kama ilivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23] yani Urusi ndo kakwama au Marekani na Nato ndo wamekwama maana wametoa silaha nyingi na wanajeshi kwenye ardhi ya Ukraine ila mwisho wa siku hakuna jipya.
no one even bothers to read them ....But, apparently you have read them
We Ni pro-NATO, ila kwenye hili nakupongeza, napenda wachangiaji humu wangekuwa objective, ingelikuwa vyema kabisa.Kila upande ukiamua kuleta taarifa zinazofurahisha na kuegemea upande wake tu, hakuleti objectivity machoni pa msomaji asie na upande, bali kunaleta confusion.
Mtoa taarifa ni sehemu ya taarifa anayoitoa. Ndio maana kuna utofauti kati ya analyst na propagandist. Huyo wa kwanza anatafiti kisha ndipo anatoa taarifa au maoni yake akiwa open-minded. Huyo wa pili yake hahitaji huo mchakato.
Kila upande ukileta taarifa sahihi kutoka pande zote bila kuegemea upande wenye maslahi kwake tu, kunasaidia kujenga uaminifu (credibility) machoni pa msomaji asiyefungamana na upande mmoja. Pia kunachochea mijadala ambayo ni objective, hivyo msomaji anafaidika zaidi.
Mimi ni pro-Facts. Haya ni maoni yangu kutokana na utafiti wangu mdogo nilioufanya hadi sasa.
Unajua maana ya kainchi?.kainchi ni kama kale ka Afghanistan kilichowatoa makamasi Nato na MarekaniUrusi aliyetegemewa sana na maustadhi amekwama kashindwa kufumua hako kainchi, ameinia hasara hadi raha....
Yani mtu yupo kwako kachukua ardhi alafu unamwambia eti kama wewe mwanaume kweli basi chukua yote[emoji23][emoji23][emoji23].Urusi aliyetegemewa sana na maustadhi amekwama kashindwa kufumua hako kainchi, ameinia hasara hadi raha....
Unajua maana ya kainchi?.kainchi ni kama kale ka Afghanistan kilichowatoa makamasi Nato na Marekani
Yani mtu yupo kwako kachukua ardhi alafu unamwambia eti kama wewe mwanaume kweli basi chukua yote[emoji23][emoji23][emoji23].
Muungano uliotengenezwa kati ya Nato, Marekani, Ukraine na washirika wengine ulikuwa kwa ajili ya kumtoa Urusi kwenye ardhi ya Ukraine ila cha ajabu ardhi inazidi kuondoka tu. Jana Zelensk kasema kuwa kama Warusi watarudi kwenye mipaka ya Misk basi yupo tayari kufanya mazungumzo wakati mwanzo alisema warudi kwenye mipaka ya 1991 maana yake kashaona kuna dalili ya kuendelea kupoteza zaidi na kushindwa Vita.
Pale Ukraine hakuna Silaha ya Nato na Marekani ambayo haijatumiwa.mataifa zaidi ya 50 yameungana kwa ajili ya kumsaidia Ukraine ila mwanaume yupo yake anaupiga mwingi.niambie ni Nchi gani ikivaa viatu vya Warusi wanaweza kutoboa?