Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi Ukraine wasipomkabidhi mkuu wao wa ujasusi Kwa URUSI,nini kitatoke wakuu?
Itatangazwa kuwa nchi inayofadhili ugaidi.

Ukraine hawezi kuwakabidhi viongozi wake kwa urusi, kufanya hivyo ni sawa na kukiri kosa ambalo wanasisitiza hawajalifanya na hata urusi anafahamu ukraine hatochukua uamuzi huo.

operesheni inakwenda kwenye mapambano ya ugaidi na unazi, hapo anatafutwa mwengine atakayeingia kwenye mfumo wa kuunga mkono na kuwatetea magaidi.


Kwa mawazo yangu,
 
operesheni inakwenda kwenye mapambano ya ugaidi na unazi, hapo anatafutwa mwengine atakayeingia kwenye mfumo wa kuunga mkono na kuwatetea magaidi.
Hauko mbali na ukweli. Urusi mara nyingi sasa imedai malengo ya SMO yamebadilika kwa kupanuka na kuongezeka zaidi.

Nani ajuaye maana yake?

Kwa miaka miwili wamethibitisha pasi na shaka kwamba Ukreni haina nia yoyote ya kujisalimisha na kuwanusuru maaskari na raia wake wanaokufa kila kukicha.

Kwa namna hiyo, si ajabu Kremlin sasa imeamua kwenda na Plan B.

Putin to Shoigu: давайте перейдем к плану Б. это должно быть окончательное решение (We move to Plan B. This should be the final solution).
 
🇺🇸💰🇺🇦 THE WAR ON CREDIT

The option proposed by the Republicans (Trump) to help Ukraine on credit has three negative aspects:

1) We have not yet seen the agreement of the Democrats to such a scheme of the Republicans. Its adoption will give the resps a trump card, as they offered the best option.

2) The loan has procedures, but they are not fast.

3) The war on credit will hit Zelensky's image. In fact, Ukrainians will be asked to fight with the Russians in order to give their land, nuclear power plants and other remnants of property to the Americans.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…