Jacob kalokola
JF-Expert Member
- Mar 26, 2022
- 901
- 2,734
Sahihi kabisa tunaweza wapa uzoefu wa Ukosefu wa maji Safi ya kunywa maji yakikatika kwa muda wa Mwezi bila taarifa.Labda na ushauri kuhusu mkakati wa kuishi bila umeme, manake Bongo tuna uzoefu mkubwa wa giza la Tanesco.
Mtanzania naomba kujua umuhimu wa chasov yar na je upo karibu na Odessa au wapo in military strategies means.Russian forces are now less that 700m away from the outskirts of Chasov Yar.
Kwa Mtu wa bunduki sawa na Dar - DODOMAKwa mtutu wa bunduki hapo ni parefu labda pawe pashafanyika usafi.
Maelezo please!Kwanini sio Rais tena?
Leo ndio uchaguzi wa Rais ulitakiwa kufanyika Ukraine Kwa mujibu Katiba,sasa hujafanyika ,je,Kwa mujibu wa Katiba,ni Rais halali?Kwanini sio Rais tena?
Hapana!Leo ndio uchaguzi wa Rais ulitakiwa kufanyika Ukraine Kwa mujibu Katiba,sasa hujafanyika ,je,Kwa mujibu wa Katiba,ni Rais halali?
Kama nimemuelewa bepari na kiengereza changu cha kuunganisha manenoMtanzania naomba kujua umuhimu wa chasov yar na je upo karibu na Odessa au wapo in military strategies means.
Mji unakaribia kuanguka huu.Chasov yah ni mji muhimu sana.ukianguka itakuwa pigo sana kwa UkraineRussian forces are now less that 700m away from the outskirts of Chasov Yar.
Yah ni ndogo sana izo maana yake tayari washafika mlangoni.[emoji23][emoji23][emoji23]Mita 700 hawajafika tu bado?![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo si kama tu kutoka hapa hadi hapo kwa Mangi muuza vitu vya jumla na rejareja?
Hapo mita 500 zitapunguzwa kwa nguvu ya FAB za ujazo wa 3000.alafu izo zingine ndo kwa bunduki[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mtutu wa bunduki hapo ni parefu labda pawe pashafanyika usafi.
Amna vita inayopiganwa kama Israeli anayopigina yàani kuuwa kila mtu.kama urusi angepigana hovyo hovyo hivyo si wangeshaamaliza vita kitamboHUWA NIKIANGALIA AL JAZEERA NACHEKA SANA.
UKRAINE MPAKA SASA WAMEKUFA ASKARI 38 000
RAIA USISEMEEE.......
HIII HAWAITI GENOCIDE.
GAZA WAMEKUFA 36000.... KELELEE KILA SEHEMU.
HAWA UN WANAONA UKRAINE N HALALI WAO KUFAA..SIJASIKIA KELELEE KWA URUSI ..ILA KWA NETANYAU COM....
WANASIKITISHA SANAA .....NA HILI NDILO LIMEMPA JEURI ISRAEL.
UN WANGEENDELEA KUPIGA MAKELELE YA KUSIMAMISHA MAUWAJI YA UKRAINE HATA GAZA YASINGETOKEA HAYA