Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

 VIDEO
Chasov Yar Inaenda Kuanguka Muda wowote kuanzia Sasa na kuwa mali ya Urusi
Ndege Vita Za Kirusi Zina katiza Kwenye Mji bila Shida yeyote kuonyesha Anga Lipo chini ya Urusi licha Ya MATOI yao Ya Kina (DOTTO MAGARI) NATO kuwepo


Your browser is not able to display this video.
 
Waziri wa Nishati Ukrein anawatahadharisha wana Ukrein wawe tayari hali ya Nishati Nimbaya
Urusi kafanya mashambulizi Mabaya Sana nakuharibu Kila kitu kwenye Nishati hivyo Wanunue Jenereta pawa Benk




"Get ready": the Minister of Energy of Ukraine gave advice to the residents of the country

Galushchenko admitted that the number of strikes on objects in Ukraine "scaled many times" and "the situation is complicated."

"Buy generators, buy power banks. Buy, get ready," he said.
 
sidhani kama warusi wana mpango wa kuimaliza vita mwaka huu,
BBC waache kubweka, wanachohitaji UKRAINE ni silaha na rasilimali watu na si kauli za kuwavunja moyo

Super Power atowe silaha. sisi jobless tuendelee kushuhudia habari za vita
 
Kh- 47 Ukipenda ita Dagger , Dagger maana yake kisu kikali , wengine pia huliita BunkerBooster , wewe jificha tu chini ya handaki uone wanavyo kufukunyua
 
Simba wa kitabuni anamngurumia aliemchora.

Maeneo anayabeba urusi lakini anayetishwa ni china.

Inachekesha.
========
The United States threatened to hold China accountable for Russia's territorial gains

New territorial acquisitions by Russia are unacceptable as they could "alter the balance of power in Europe", said senior American diplomat Kurt Campbell.

"We have directly informed China that if this [territorial acquisitions] continues, it will affect the relationship between the US and China. We are not going to sit back and say "everything is fine,"" Campbell stated
 
Dunia Ipo Moto sana


🇷🇺🇮🇱 From Maria Zakharova:

💬 "The Israeli Ambassador to Russia, Simona Galperin: Israel expects Russia to condemn Iran's massive missile strike on the country.

Simona, remind me, when did Israel condemn even one strike by the Kiev regime on Russian regions? Can't remember? Neither can I. But I do remember regular statements supporting Zelensky's actions from Israeli officials. Those same criminal, terrorist actions of bastards on Bankova Street, resulting in the deaths of civilians year after year and the destruction of civilian infrastructure."
 
Muda huu yupo China na ataongozwa na jopo la watendaji wakuu wa makampuni.

Sizitaki mbichi hizi,
China wanatupa somo kubwa sana sisi mafisadi weusi
View attachment 2963204

Siku hizi viongozi wameacha kwenda Washington na badala yake tunawaona wakielekea China.

Haya ni mageuzi makubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…