Tangu SMO ianze watu wameshuhudia mambo mengi sana ya ajabu na bado tutaendelea kuyaona.
Hii SMO ya Urusi imekua kama funguo ya mlango wa chumba cha siri ambacho wengi tumekua tukifichwa mda mrefu. Sikuwahi dhania kama kuna viongozi wa hooooovyo duniani kama waliopo Afrika. Ila hawa wamekuja nifikirisha kwa mara nyingine. Sie tuna afadhali, na atleast hatuna unafiki wa kisengerema kama walio nao hawa.
Russia aliambiwa don't... Don't... Tukajua wababe watamchakaza sana Urusi akijarib kwenda kinyume nao ila wameishia kumpa vikwazo na kubweka thousands miles hadi leo.
Ndio kama Israel, alizoea nchi yoyote hapo Mashariki ya kati anaingia anapiga na haguswi. Anarudia tena na tena na haguswi wala hivi na vile. US yupo anamkingia kifua.
Mwanzo ilinishangaza kiasi, kupigana tu na hao wana mgambo wa Hamas wanaotumia vifaa local na vya ajab ajab eti US kapeleka mimeli yake hapo. Wameenda lipua ubalozi wa Iran huko Syria, West wamekaa kimya hata kulaani kinaa basi wameshindwa.
Iran akatangaza kujibu wakaanza kumpa mikwara ya hapa na pale, Biden akijishaua eti "Don't... don't". Toka 1st April up to 13th April ni almost 2 weeks. Israel na washirika wake wamekua wakijiandaa na kuzuia shambulizi hilo la muajemi alie almost 2000km kutoka Israel.
With all the intelligence walizo nazo, na sophiscated ADS wanazotuhadaa nazo lakini 13th April, Shambulizi limefika hadi Israel. Na sio kufika tu limehit targets nyeti kama hizo Airbase mbili zinazozungumzwa. Na hapo bila kusahau vidrone vilivyotumika havina speed ya kutisha, na vinafahamika saana tu sio vipya kusema havikujulikana tena mwendo wa kutoka Iran to Israel ni kwa hivyo vidrone ni masaa kadhaa na bado vimefika.
Mara baada ya retaliation iliyofanywa na Iran, Washirika wake wote waliojinadi kua wapo na Israel tena kwa kumpa "Ironclad" support wanajitoa kuhusika na majibu kuelekea kwa wa ajemi. Em wazua US anavyopenda vita vidi ya mataifa wanyonge kuvioshea ndio amekua wa kwanza kusema Israel asijib chochote kwa Iran na achukue hilo kama ushindi kwasabab hakuna madhara makubwa yaliyotokea...
Dunia ipo kasi sana kwa sasa.
At the same time, Equation inakua ngum zaidi pale unapoletewa hesab mezani kuambiwa kua shambulio hilo limeigharim takribani USD 1.4 billions Israel na washirika wake dhidi ya Iran alietumia around USD 35-40Millions. Kitu ambacho economically kwenye warfare hakileti afya nzuri yoyote kwa Israel.
Hapa tunapata picha kwanini Russia akaamua kwenda kuchukua cheap drones ila balaa lake sio kidogo kwa kutoka Iran.
Eti leo hii, the mighty Israel anaomba sanctions ziwekwe kwa Iran kwenye their Missiles programme, damn. Yu wapi the mighty Israel? Over seven Months hapo Gaza walichokiweza ni kuua raia zaidi ya 33k wengiwao wakiwa wanawake na watoto pamoja na kuharib makazi yao ila hawajaweza komboa mateka yoyote🤐🤣
Anyway Ila si wamesema hazina madhara na wamezitungua zote? Sasa why sanctions kwenye vijitu visivyo na madhara?
View attachment 2965287
Kwamba
....as a way to curb and weaken Iran. Ha ha Iran ilipo hapo ipo under heavy sanctions miaka nenda rudi. Je vipi isingekua na vikwazo ambayo iko navyo?
Kuna mengi sana yamefichwa nyuma ya pazia, tumeishi kwenye uongo mwingi sana kizazi hiki.
Back in days nani alikua na uthubutu wa kubishana na duo ya USA pamoja na Israel? Lakini ona yanayoendelea leo.
Hapa pia ndio tunapata majibu kwanini Russia 🇷🇺, Iran 🇮🇷 na China 🇨🇳... Plus North Korea 🇰🇵 japo so kiviiile wanasemwa na kuogopwa kila uchao na huu upande ulioamua kuiharibu jinsia ya kiume makusudi.