D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Vladimir Zhirinovsky,
laiti kama angelikuwa nabii basi ningelinunua mafuta yake ya upako yaliojaa tiba ya utabiri.
huyu mzee alikufa miezi miwili baada ya kuanza special millitary operation.
alikuwa mbele ya muda