Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vladimir Zhirinovsky,
laiti kama angelikuwa nabii basi ningelinunua mafuta yake ya upako yaliojaa tiba ya utabiri.
huyu mzee alikufa miezi miwili baada ya kuanza special millitary operation.
alikuwa mbele ya muda
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Naam, ni zaidi ya mia nane walichinjwa Jana 🥱🥱🥱🥱
 

Attachments

  • 1713102914303.jpg
    252.5 KB · Views: 13
Akili fyatu za wazungu wa leo

Germany accused Russia of stopping gas supplies

According to German Chancellor Olaf Scholz in an interview with Tageszeitung, this was not Germany's decision.

He explained to enterprises suffering from anti-Russian sanctions that the new realities are dictated by the “protection of the European world order.”
 
Mrusi anaomba Ukraine asipewe silaha ili amalize vita. Anachekelea US (Badeni) kuzuiliwa fuba la zaidi ya mabillion ya dola

Vilevile Kapiga mkwara kwa Germany na nchi rafiki za Ulaya , atakayetoa tu na yeye yumo.
 

US anachekesha sana.

Kama yeye ameishindwa hiyo China, sasa EU wataifanya nini China?
 
Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Chanzo ni Ukraine kutosikia la mkuu na hatma ya mzozo ni Zelensky kumtafuta Kim Jong-Un ampeleke Moscow wamtafute Lavrov awakutanishe na Putin wayajenge. Putin hana noma. Zelensky asiende mwenyewe Moscow humo njiani kuna wakora wengi wa Chechniya wanaweza kumteka njiani wakapotea nae kusikojulikana.
 
Wiki iliyopita, Kuna wanajeshi wa kukodi kutoka France walienda Ukraine kwa ajili ya kupigana na kutoa technical assistance kwa wanamgambo wa Ukraine.

Leo Russian Missiles zimewafumua na kuwaua na wengine kukimbizwa na ambulance.


 
Mkuu wa sera za mambo ya nje wa EU - Joseph Borrell amesema kwamba sera za EU zimesha fail na haziwezi Tena kuwasaidia kwa Sasa.

Anasema wamekuwa kituko sio tu kwa ulimwengu wa Arabs, hadi Africans hawana Tena influence.

My Take:
They need to understand the world now is multipolar.

Bila hii SMO, haya mambo yasingetokea.


 
Naam, ni zaidi ya mia Saba walilambishwa mchanga Jana 🥱🥱🥱🥱
 

Attachments

  • 1713182095142.jpg
    251.8 KB · Views: 9
This is beyond Insanity, ni zaidi ya uchizi akili ya kawaida inaeza kuuwazia.
Your browser is not able to display this video.

Eti You simply can’t defeat The US Army - they have an abundance of dignity, respect & pride as well as an arsenal of Pro-nouns in their emails

Sijui tunaelekea wapi ndugu zangu🤣🤣🤗

Ujumbe wa Russia China na Iran huo dah
 
Mkuu wa sera za mambo ya nje wa EU - Joseph Borrell amesema kwamba sera za EU zimesha fail na haziwezi Tena kuwasaidia kwa Sasa.
mzee wa Garden anaweweseka hata mechi bado haijaanza.
wahuni watamuonyesha tofauti ya garden na jungle
============
“Europe is a garden. We have built a garden… The rest of the world… is not exactly a garden. Most of the rest of the world is a jungle. The jungle could invade the garden. The gardeners should take care of it,” Borrell said.

OKTOBA 18 - 2023
 
Wakati ubalozi wa Iran nchini Syria unapigwa na Israel sikusikia kauli kama hizo kutoka Kwa Macron.
Hii Dunia unafiki ni maisha aisee.


Macron calls for ‘isolation’ of Iran

The French president has condemned Tehran’s attack on Israel and called for sanctions to be strengthened
Macron calls for ‘isolation’ of Iran

French President Emmanuel Macron has called for international sanctions on Iran to be strengthened following its attack on Israel over the weekend.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…