Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
Na itafika wakati Russia watapita hapo kama wakiendelea na SMO yakePicha yangu yaleo 😂😂
View attachment 2969854
Na itafika wakati Russia watapita hapo kama wakiendelea na SMO yakePicha yangu yaleo 😂😂
View attachment 2969854
Uthibitisho unataka utoke wapi?You're better than this. Hiyo ni picha tu kama picha zingine.
Mwingine anaweza kusema ni wanamgambo wa Rwanda wako mazoezini.
FYI, hizo picha hazithibitishi chochote.
Sio vunjo kweli?Sijapita humu mda kidogo,, naona kuna ujio wa kp kipanya44 mpya wa kuitwa BUDANOV ,, kaja kwa mbwembwe na video zake za kuokoteza X,,
Hii vita inaelekea pabaya. Poland nao wanasema wako tayari kuhifadhi silaha za nuclear za marekani kwenye ardhi yao.French Troops Deploy into Odessa Ukraine; NATO Troops Killed in Dnipropetrovsk Yesterday
21 APRIL 2024 HITS: 12656
![]()
Video has emerged from Odessa, Ukraine showing elements of the French Army entering that city. This appears to be direct entry into the Ukraine conflict by a NATO-Member country.
It is likely being carried-out pursuant to a Bi-Lateral agreement between Ukraine and France, but that is not confirmed at this time.
VIDEO:
Russia has repeatedly made clear that any troops from foreign countries that enter Ukraine will be legitimate targets for the Russian Army.
On April 13, France sent Foreign Legion troops into Slavyansk, Ukraine. Within 48 Hours, most of them were dead with many other injured from Russian strikes against Slavyansk.
DNIPROPETROVSK yesterday
Yesterday, Russia hit a hotel in the center of Dnipropetrovsk which was apparently full of NATO troops. Images of the building that was struck show a direct hit with huge damage and fire.
Numerous reports from the scene above claim that "Numerous NATO troops were carried out of the rubble, seriously injured or dead."
Ambulances reportedly took those NATO troops to waiting helicopters, which reportedly shuttled the troops to Rzeszow, Poland.
All day today, Med-evac aircraft from NATO countries, including an Airbus A330-MRTT were seen coming into and rapidly taking off from, Rzeszow. One is shown on the radar monitoring image below:
![]()
Clearly, these multi-role air refueling tankers are operating in their med-evac role because there are no air-refueling operations taking place anywhere near Rzeszow.
So the French lost Foreign Legion troops in Slavyansk, NATO lost more troops in Dnipropetrovsk yesterday, and now France is sending 1,000 troops and armor into Odessa.
Step-by-step, Western nations are provoking Russia into now direct battle.
Don't be surprised when the missiles start to fly - and be sure to REMEMBER who caused it: The West did.
Mkuu hizi fronts mbili ya Russia-Ukraine na Israel-Palestine ni za hatari sana na mambo yanazidi kuchemka.Tusubiri,ila all is not well for humanity.Hii vita inaelekea pabaya. Poland nao wanasema wako tayari kuhifadhi silaha za nuclear za marekani kwenye ardhi yao.
Nimejaribu kuwaza, Cuba au Venezuela wakisema Russia apeleke silaha zake huko nini kitafuata!
Poland vs Russia => Iran vs IsraelHii vita inaelekea pabaya. Poland nao wanasema wako tayari kuhifadhi silaha za nuclear za marekani kwenye ardhi yao.
Nimejaribu kuwaza, Cuba au Venezuela wakisema Russia apeleke silaha zake huko nini kitafuata!
Isijekuwa Armageddon inatubishia hodi bila wengi kujua. 😆😆Mkuu hizi fronts mbili ya Russia-Ukraine na Israel-Palestine ni za hatari sana na mambo yanazidi kuchemka.Tusubiri,ila all is not well for humanity.
Itakuwa balaa umenikumbusha Cold war Msoviet alipeleka midude ya nuclear Cuba Kipindi kile raisi wa Cuba ni fidel castro na Marekani ni JF kennedy ilibaki kidogo zipigwe kati ya Mmarekani na Cuba kama wasingefikia muafaka.Hii vita inaelekea pabaya. Poland nao wanasema wako tayari kuhifadhi silaha za nuclear za marekani kwenye ardhi yao.
Nimejaribu kuwaza, Cuba au Venezuela wakisema Russia apeleke silaha zake huko nini kitafuata!
Safari hii sioni kama watafikia muafaka....ilibaki kidogo zipigwe kati ya Mmarekani na Cuba kama wasingefikia muafaka.