Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

But Kyiv still faces manpower shortages on the battlefield."The most important source of Ukrainian weakness is the lack of manpower," said Konrad Muzyka, director of the Rochan military consultancy in Poland.
Vijana wa Ukraine hawataki kujiunga na jeshi, hayo mapesa na silaha hayatakuwa na msaada bila wapiganaji.

Itabidi nchi za NATO zipeleke askari wake mstari wa mbele, au wamalize vita kwa kukubali kuachia majimbo ambayo tayari yapo chini ya shirikisho la Russia.
 
Presha Nikubwa huko Ukrein marabaads Yakupata taarifa kuwa Urusikaanza Kuondoa Vizuizi pamoja na Mabom Ya Ardhini Kwenye Mpaka wa Sumy na Kharkiv
wengi wanasema ndio Maandalizi ya Mwezi wa 5 Ya Urusi kufanya Mashambulizi Makali au Kutangaza Vita Kamili Kama Walivyo Kuwa Wakihofia.


20240422_162357.jpg
 
Safari hii sioni kama watafikia muafaka.

US wanasema hawatakubali Ukraine ashindwe, Russia naye anasema muafaka wowote shurti uzingatie uhalisi wa mambo kwenye uwanja wa mapambano (maeneo aliyoteka tayari ni ardhi yake).

Tumwombe Mungu atuepushe na hili janga.
Ni kweli Mrussia kapania kweli kweli kurudisha utawala wake Siunakumbuka kilichotokea Crimea na georgia
 
Urusi imeanza Kufanya Mashambulizi kwenye Minara ya Redio na Tv huko Kharkov
Huku hali Ya Wasiwasi Ukrein Ikiwa Juu kwani Kumekuwa na Viashiria kuwa Mwezi wa 5 Urusi imepanga Kuushambalia mjihuo

20240422_175039.jpg
 
NATO Pressuring Greece and Spain to Give Europe's Remaining Air Defense Systems Away to Ukraine

Russia dramatically ramped up its air and missile strikes inside Ukraine in March in the wake of a coordinated campaign by the Ukrainian military targeting Russian infrastructure using drone warfare. The strikes created large holes in Ukraine’s air defenses, which Kiev’s NATO patrons are now hoping to patch up.
Officials in the European Union and NATO have launched a pressure campaign targeting Greek Prime Minister Kyriakos Mitsotakis and Spanish Prime Minister Pedro Sanchez to give their advanced air defense systems away to Ukraine.
“We all know who has them, we all know where they are, and we all know who really needs them,” a person briefed on the campaign told London-based business media in an article published Monday.
 
US Military Advisers to Ukraine Could Be 'Wiped Out' as any 'Legitimate Target' - Analyst

NATO chief Jens Stoltenberg has stressed that the bloc has no plans to put boots on the ground in Ukraine. At the same time, the US Department of Defense spokesman Patrick Ryder revealed that Washington was mulling sending more military advisers to the US Embassy in Kiev.
Mooted US military advisers to Kiev "can become a legitimate target for Russia's forces,” political scientist Evgeny Mikhailov told Sputnik.
"It is quite likely that these observers and advisers will include specialists who can be given special assignments, including on the front line," Mikhailov noted. "In any case, all these individuals are a legitimate target for destruction by the Russian military.”
 
1
UKRAINE CRISIS
22 APR, 19:41
Ukraine says Western systems ineffective against Russia's electronic warfare
Maria Berlinskaya emphasized that the real effectiveness was determined in real combat conditions, and not at "some training ground in Texas"
MOSCOW, April 22, Most of the systems that the West has supplied to Kiev have turned out to be ineffective in real combat conditions due Russian electronic warfare (EW) means, which are among the best in the world, the head of the Ukrainian Aerial Intelligence Support Center, Maria Berlinskaya, has said.

"No offense to our partners meant. Most of their systems have performed poorly," the Ukrainian media outlet Strana quotes Berlinskaya as saying.

She emphasized that the real effectiveness was determined in real combat conditions, and not at "some training ground in Texas."

"Soon after certain systems arrived here, I won't name which ones, they have just started falling down when encountering Russian EW systems. Certain projectiles don't reach the targets, certain missiles with certain navigation. The Russian systems suppress them. Why? Because the Russians have objectively one of the best electronic warfare systems in the world," Berlinskaya said.

Earlier, analysts of the US daily The New York Times wrote about the superiority of the Russian military in the field of electronic warfare.
 
Russia ni imara, kwa misaada wa mwanzo mwa vita wangeweza kuishinda hata misaada bl61 hakuna watachobadilisha. Mtazamo wangu ni kwamba USA na washirika wake wanailundikia UKRAINE madeni tu kwa kisingizio cha misaada ili wainyonye na mpaka OP uishe UKRAINE anahaki na deni kubwa na miji imechukuliwa pia na Marekani hana cha kubadilisha apo hata iweje
 
Hali Imekuwa Si Hali huko Kharkov
Wananchi wameambiwa Waondoke kwenye Mji Huo mkubwa na wapili Ukrein
Tayari Urusi Ameanza Kupiga Makombora ya FAB Kwenye Mpaka wa Sumy.

MUNGU IBARIKI URUSI 🇷🇺

"We advise civilians to leave Kharkov as soon as possible."
"Good job from the "North" group.
Get ready ❗️"
-
FAB attacks in the Sumy and Border region also increasing.
And in Kharkov the TV tower was taken out.
Either a psyop - or a coming offensive.
 
Sunak Promises UK Largest-Ever Aid Package Worth $617Mln for Ukraine

Britain's Prime Minister Rishi Sunak gestures as he speaks during the Conservative Party annual conference in Manchester - Sputnik International, 23.04.2024
UK Prime Minister Rishi Sunak has promised the United Kingdom's largest-ever military support package for Ukraine worth 500 million pounds ($617 million), as well as 400 vehicles, over a thousand weapons and millions of rounds of ammunition, The Guardian has reported.
The report said on Monday that London plans to provide Kiev with 400 vehicles, including 60 boats offshore raiding craft and dive boats, 160 Husky Tactical Support Vehicles and 162 armored vehicles, 1,600 strike and air defence missiles, and nearly 4 million rounds of small arms ammunition, as well as 500 million pounds in military funding, bringing the UK's total aid to Ukraine to 3 billion pounds this financial year.
The report cited officials as saying that the 500 million pound aid package would come from the reserves of the country's Exchequer and would be used to deliver ammunition, air defenses, UK-built drones and engineering support to Ukraine's frontline.
 
Mwanzoni mwa Oparesheni hii Kulikuwa nw Mbwembwe nyingi Huko Ukrein Hadi Vibibi Kizee kushika Bunduki kuwa wataipigania Ukrein
Sasa Taarifa Inasema Zaidi ya Wanajeshi Wa Ukrein lakimoja 100k wametoroka Bila Taarifa huko Jeshini
lakini Dada hapa Kasema Hao ndio wale Walio kuwa wanakamatwa kamatwa Hovyo yaani Raia wakawaida na kuwapeleka Kwa nguvu Jeshini bila ya Ridhaa yao

===========================



View: https://twitter.com/KKexplore/status/1782526226843775217?t=WfyGcFjMCen6ry3A1fPTtg&s=19

======================


View: https://twitter.com/irkutsk56/status/1782680972992876969?t=2R71Sd7fxQ_ZszbgnOpPfA&s=19
 
Urusi peke yake inapigana na west wote aisee.
Lkn Cha ajabu kawamudu na wameshindwa kumzuia kusonga mbele.
Wafuasi wa NATO huu ni ukweli mchungu.
Siku zote nasema,Ukiona mtu anaongeza chakula ujue kile alichochukua mwanzo hakikumtosha,hivyo hakushiba.

Vivyohivyo huko Ukraine,Ukiona NATO +west wanaongeza misaada ya fedha,silaha na askari,ujue vile walivyopeleka mwanzo viliisha na ha ikuweza kiwasaidia lolote,ndio maana unaona wanaendelea kuongeza na kuongeza.
Wakati huo Urusi ikiwa peke yake na inazidi kukomboa maeneo.

US Goes 'Slippery Slide' With Sending Its Military Personnel to Ukraine.

On Saturday, Pentagon spokesman Maj. Gen. Pat Ryder said that the US is considering sending more US advisors to Ukraine in non-combat roles. Anonymous sources told US media the troops will be used to support logistics, maintenance and aid oversight.
Troops from the US and other NATO countries will be in Ukraine fighting Russian troops within a year, security and international relations expert Mark Sleboda predicted on Sputnik’s The Critical Hour on Monday.
“We (The United States) were at trainers and advisers and CIA and special forces [in Ukraine], and now already, we’re at logistics and maintenance personnel. It’s quite clear where this is going,” Sleboda began. “US troops and [troops] from several other NATO member states will most likely be on the ground in Ukraine fighting the Russians within a year.”
On Saturday, the US House of Representatives passed a bill that includes $61 billion earmarked to support Ukraine, however, Sleboda explains that it will not have a major effect on the battlefield.
“It will, maybe, slow Russian forces down a little bit. That's the extent of what the $61 billion [will do]. And, in another six months or perhaps a year, they'll be back, demanding more from the US taxpayer to try to prop up the Kiev regime a little longer.”
One underreported aspect of the bill is that a large portion of it is going towards replenishing US weapon stockpiles and not weapons that will end up on the battlefield in Ukraine.
“I would say, that of the $61 billion, actually only $14 billion of that is going to go to Ukraine for direct military aid and weapons,” Sleboda explained. “It sounds like a lot of money, it’s really not considering that just one Patriot battery of 6 to 8 launchers costs more than $1 billion, and they’ve already lost several of them.”
The Patriot surface-to-air missile system is considered the most advanced anti-aircraft system in Ukraine’s arsenal. However, the first confirmed Russian destruction of a Patriot system occurred back in May 2023. Since then, several more have been taken out, including two last month.
The reports of an increased US presence in Ukraine were presented as “they’re going to be working out of the US embassy,” in Kiev, Sleboda said, but that assertion is far from reality, he argued.
 
Russia ni imara, kwa misaada wa mwanzo mwa vita wangeweza kuishinda hata misaada bl61 hakuna watachobadilisha. Mtazamo wangu ni kwamba USA na washirika wake wanailundikia UKRAINE madeni tu kwa kisingizio cha misaada ili wainyonye na mpaka OP uishe UKRAINE anahaki na deni kubwa na miji imechukuliwa pia na Marekani hana cha kubadilisha apo hata iweje
Kikubwa tu vile vifurushi vya kila wiki vitaanza kutangazwa
 
Naam, ni zaidi ya mia nane walilambishwa mchanga Jana 🥱🥱🥱
 

Attachments

  • 1713861233200.jpg
    1713861233200.jpg
    254.9 KB · Views: 12
Back
Top Bottom