Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawa wazungu wa siku hizi,inawezekana ni tofauti na WA zamani.
Ama walikua ni wajinga namna hii toka zamani ila sema sisi tulichelewa kuwajua.
Ama ni wazungu wachache TU ndio waliokua Wana akili zamani, basi sisi tukaona Kila mzungu ana akili.
Mambo na matendo wanayoyafanya ama wanayoyapigania ni ya ajabu sana.
Wewe mtu huwezi kulazimisha haki za binadamu kwa watu wanaoingiliana kinyume na maumbile,Mungu mwenyewe alowanyima haki hiyo na kuamua kuwateteza wao na vizazi vyao.
Ama mfano,vita hii eti mtu analazimisha kujiunga na NATO.sasa unajiuliza NATO Ina faida Gani kiuchumi au kimaendeleo?
Au nchi moja inazilaghai nchi nyingine zijiunge na NATO.ana malengo Gani huyo?
Yaani mtu anaiwekea nchi nyingine vikwazo Hadi vikwazo hivyovinaiathiri nchi mweka vikwazo pia vinaziathiri nyingine,nazo zinaona sawa TU.
Mtu anazunguka Dunia nzima kuomba silaha,lkn sio kutafuta suluhu.
Watu wanakufa nchini kwake yeye kang'ang'ania TU kuomba silaha kwenda kupigana na li nchi ambalo hata hao NATO wenyewe orijino wanaogopa kuingia vitani nalo moja Kwa moja.
Ameona kilichofanyika kwa Israel na Iran,hao hao NATO wanaomsaidia waliweza kumsaidia Israel kudungua silaha za Iran kwa vitendo,lkn hawataki kufanya hivyo kwa Urusi,hapa alitakiwa kujiuliza na kushituka,lkn alivyo kiazi anawalaumu kwa kutomsaidia kama walivyomsaidia israel.
Anashindwa kujua tofauti kati ya Iran na Urusi.
Maangamizi ya Urusi ni makubwa kuliko mfano.
Kwa kifupi ukiangalia kwa undani utaona wazungu ni wajinga mno kuliko tulivyokua tunafikiria.
Wana ushindani wa kijinga mno.
Hebu fikiria,Kuna nchi hawazipendi na sio washirika wao,mfano Korea kaskazini,Iran,Urusi,china,Cuba, Venezuela, Syria n.k
Wao Wana umoja na urafiki wao,lkn hawataki Hawa wasiowapenda wawe na umoja wao.au wasipendane wao Kwa wao.
Utasikia Kila siku USA inaoambia Urusi kua isizichagulie marafiki nchi zilizojitenga na Umoja wa kisovieti,lakini hiyohiyo USA inazunguka Dunia nzima kuziambia nchi marafiki wa damu wa Urusi wasiwe upande wa urusi.cha kichekesho zaid wanazionya hata zile nchi walizoziwekea vikwazo,mfano Iran, Korea kaskazini, Venezuela n.k kwamab zisiisaidie urusi.ajabu sana hii.
Ni wenye akili Tu ndio hujiuliza maswali kama haya

Wajinga hushabikia wasiyoyajua na akili zao haziwezi tena kujiuliza maswali kama haya
 
Wanaanza kukiri wenyewe!

Russia able to 'continuously target Ukrainian positions' north of Donetsk​

Russian forces have accelerated their advance west of Avdiivka, the UK defence ministry has said.

"Despite sustaining continued high losses, it is highly likely that Russian ground forces are able to continuously target Ukrainian positions in the area and have taken control of several small settlements."

An essential condition for European security is that Russia not win the war of aggression in Ukraine, — French President Emmanuel Macron during a speech at the Sorbonne University.

“Our Europe today is mortal and can die. It can die, and it depends only on our choices. Europe is not armed against the risks we face in a world where the rules of the game have changed.

After Russia's invasion of Ukraine, it is no longer clear where the limits of Moscow's power lie. So we have to build a strategic concept of a reliable European defense for ourselves. Europe cannot be a vassal of the United States,” he said.

Macron called for "producing more and faster" of the necessary weapons, and giving preference to the purchase of European military equipment.

"There is no defense without a defense industry. We have had decades of underinvestment," he said.
#kherson
 
Hawa wazungu wa siku hizi,inawezekana ni tofauti na WA zamani.
Ama walikua ni wajinga namna hii toka zamani ila sema sisi tulichelewa kuwajua.
Ama ni wazungu wachache TU ndio waliokua Wana akili zamani, basi sisi tukaona Kila mzungu ana akili.
Mambo na matendo wanayoyafanya ama wanayoyapigania ni ya ajabu sana.
Wewe mtu huwezi kulazimisha haki za binadamu kwa watu wanaoingiliana kinyume na maumbile,Mungu mwenyewe alowanyima haki hiyo na kuamua kuwateteza wao na vizazi vyao.
Ama mfano,vita hii eti mtu analazimisha kujiunga na NATO.sasa unajiuliza NATO Ina faida Gani kiuchumi au kimaendeleo?
Au nchi moja inazilaghai nchi nyingine zijiunge na NATO.ana malengo Gani huyo?
Yaani mtu anaiwekea nchi nyingine vikwazo Hadi vikwazo hivyovinaiathiri nchi mweka vikwazo pia vinaziathiri nyingine,nazo zinaona sawa TU.
Mtu anazunguka Dunia nzima kuomba silaha,lkn sio kutafuta suluhu.
Watu wanakufa nchini kwake yeye kang'ang'ania TU kuomba silaha kwenda kupigana na li nchi ambalo hata hao NATO wenyewe orijino wanaogopa kuingia vitani nalo moja Kwa moja.
Ameona kilichofanyika kwa Israel na Iran,hao hao NATO wanaomsaidia waliweza kumsaidia Israel kudungua silaha za Iran kwa vitendo,lkn hawataki kufanya hivyo kwa Urusi,hapa alitakiwa kujiuliza na kushituka,lkn alivyo kiazi anawalaumu kwa kutomsaidia kama walivyomsaidia israel.
Anashindwa kujua tofauti kati ya Iran na Urusi.
Maangamizi ya Urusi ni makubwa kuliko mfano.
Kwa kifupi ukiangalia kwa undani utaona wazungu ni wajinga mno kuliko tulivyokua tunafikiria.
Wana ushindani wa kijinga mno.
Hebu fikiria,Kuna nchi hawazipendi na sio washirika wao,mfano Korea kaskazini,Iran,Urusi,china,Cuba, Venezuela, Syria n.k
Wao Wana umoja na urafiki wao,lkn hawataki Hawa wasiowapenda wawe na umoja wao.au wasipendane wao Kwa wao.
Utasikia Kila siku USA inaoambia Urusi kua isizichagulie marafiki nchi zilizojitenga na Umoja wa kisovieti,lakini hiyohiyo USA inazunguka Dunia nzima kuziambia nchi marafiki wa damu wa Urusi wasiwe upande wa urusi.cha kichekesho zaid wanazionya hata zile nchi walizoziwekea vikwazo,mfano Iran, Korea kaskazini, Venezuela n.k kwamab zisiisaidie urusi.ajabu sana hii.
Binafsi huwa nasema, Kama Sisi ndio Watu, basi wao sio watu. Na kama wao ndio watu, basi sisi sio watu.

Kiumbe kisicho na AIBU ni kiumbe cha kipuuzi kuliko vyote. Hata mbwa hujishtukia anapfanya kosa, sio wazungu.
Anaweza kumuwinda mtoto wako amuue, akimkosa atakuja kwako kukulalamikia kwamba mwanao amemkimbia alipotaka kumuua, akitarajia umpe ushirikiano.

Ni mafala sana.
 
Kuna mpiga nyeto mmoja humu alikuwa anashinda humu avisifia sijui sasa hivi atasemaje.
Ndugu yangu,Kuna watu humu walidanganywa mno na wakadanganyika.
Yaani humu tuliishi na manabii wa NATOwest wa uongo nao waliwapata watu wengi mno.
Hao waliaminishwa nao wakawaaminisha watu humu kua,vifaa vya Urusi,Mifumo,mafunzo na vitu vingine kua ni dhaifu mno,lakini vitu vya west kama silaha,vifaa,askari na vitu vingine kua ni Bora kuliko vya Urusi.

Vita sio nzuri hata kidogo,lkn vita ya Ukraine imetufungua macho ufahamu na akili kua kumbe sio kweli kua vitu vyote vya west ni Bora,bali vitu vingi vilikuzwa kwa propaganda TU.
Hebu fikiria ndugu yangu,tuliambiwa kua jeshi la USA duniani ndio jeshi namba moja na ni Bora kabisa.
Sasa utashangaa nchi ya Ukraine ikisaidiwa Kila kitu na jeshi Bora kabisa na namba moja duniani Kwa ushirikiano na nchi zote za west,Tena ndani ya west Kuna NATO,G7 na EU lkn wameishindwa kuidhibiti nchi moja TU,ambayo nayo tuliambiwa ni maskini.
Zililetwa Kila aina ya silaha kutoka Kila pande ya Dunia kuoambana na Urusi peke yake,lkn zote zimetulizwa,na Sasa nyingine ndo hivyo Tena zinaondolewa vitani baada ya kudhalilishwa kirahisi sana.
Hakika vita ya Ukraine imetufunulia yaliyofichwa.
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo 😇😇😇😇😇

⚡⚡Since the full-scale invasion of Ukraine, Russia’s armed forces saw 463,930 soldiers and officers either killed or wounded in action, including 950 in the past day alone.
That’s according to the estimates reported by the General Staff of Ukraine’s Armed Forces, Ukrinform reports.

Also, Ukraine’s defenders destroyed 7,262 enemy tanks (including 7 in the past 24 hours), 13,957 (+15) armored fighting vehicles, 11,867 (+31) artillery systems, 1,049 multiple rocket launchers, 772 anti-aircraft warfare systems, 348 warplanes, 325 helicopters, 9,461 (+12) operational and tactical-level UAVs, 2,119 (+1) cruise missiles, 26 warships / cutters, a submarine, 15,984 (+35) vehicles and fuel tankers, and 1,962 (+16) units of specialized equipment.
 
Billions 6! Naona USA safari hii wamekuja wakiwa moto kwelikweli, haijawahi kutangazwa idadi kubwa kama hii tangu vita ianze!

⚡⚡The U.S. administration intends on Friday to announce the allocation of a new large-scale package of military aid for Ukraine worth $6 billion.
That’s according to a Reuters report, referring to sources in Washington, Ukrinform learned.

"The United States could announce as soon as Friday new weapons purchases for Ukraine worth $6 billion," the report reads.

It is noted that the new large-scale American package of military assistance may include counter-artillery radar, tactical vehicles, Patriot interceptors, drones, artillery, precision munitions and counter-drone systems.
 
Warusi wanazidi kuchinjwa tu 🥱🥱🥱🥱🥱🥱
 
Attachments

  • 1714122086056.jpg
    1714122086056.jpg
    248.1 KB · Views: 8
Leo Asubuhi huko Kharkov
Maafisa wa kijeshi toka Czech
walikuwa na Kikao na Maafisa wa Ukrein
Urusi kumbe Alikuwa Akiwachora
kisha Kutuma Vitu na Kupita Nao
20240426_174458.jpg

7 officers of the Czech Army were killed in Kharkiv after a Russian missile hit.

7 ACR officers were killed in Kharkov this morning. The rocket strike hit the building where the meeting with SBU officials was taking place. Specialists from the Czech Republic trained the technical staff of SBU RER and cryptography.
 
Niliwahi kusema kuwa vita siku zote ni uchumi! Huwezi kuingia vitani huku ukitegemea hasara! Mataifa makubwa huangalia watapata nini kwenye hiyo vita!

Ukrainian conflict: The first lithium war?​

Russian President Vladimir Putin has succeeded in blocking the EU’s efforts to secure Ukraine’s vast lithium reserves

What is the real reason for the war in Ukraine?
In a TV address at the outset of Russia’s invasion, the country’s president Vladimir Putin said that the objective was to “demilitarize and de-nazify Ukraine”. But this has been dismissed as a baseless pre-text. upon which Putin justified a land-grab against an independent state.

They speculate that the Russian leader ordered the invasion of Ukraine to strike a blow in the battle for control of the means of delivering the global energy transition
.

The logic of the argument is this: prior to the Russian invasion, it had been estimated that Ukraine had around 500,000 tonnes of high-quality lithium – a key component of the batteries used in electric vehicles and energy storage systems – and consequently the country was set to become a “key player in the global transition to green technology”.

Nimemkumbuka general surovikin

Tujikumbushe nukuu yake:

Asubuhi ya adui haiwezi kuanza na kitendo cha kunywa kahawa.

General Surovikin armageddon alipoingia dunia nzima ilipiga kelele.

Mwamba alikuwa akibutua kila kilichopo mbele yake, umeme, ardhi, mjusi, kenge, NAFO, slava ukraine.

Twende tuu!!!.
 
Back
Top Bottom