Ha ha ha haa,Picha ya Leo.
Sasa ile hati ya ICC nendeni nayo china mwezi ujao.
Russian President Putin to visit China and meet with President Xi Jinping next month.
Taarifa zisizo rasmi zimeletwa kwetu na mkuu wa kitengo cha Mochwari wa jeshi la Urusi.Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo 😇😇😇😇
⚡⚡⚡Russia's total combat losses in Ukraine from February 24, 2022 to April 27, 2024 amount to about 465,054 invaders, including another 1,124 troops killed or wounded in action in the past day.
The General Staff of the Armed Forces of Ukraine said this in a post on Facebook, according to Ukrinform.
The Ukrainian defenders have also destroyed 7,268 enemy tanks (+6 in the past day), 13,971 armored combat vehicles (+14), 11,905 artillery systems (+38), 1,049 multiple launch rocket systems, 775 air defense systems (+3), 348 aircraft, 325 helicopters, 9,485 unmanned aerial vehicles (+24), 2,124 cruise missiles (+5), 26 warships/cutters, 1 submarine, 16,019 motor vehicles (+35), and 1,968 special equipment units (+6).
kuna mtu ameumwa mahali;
Stoltenberg:
"Everyone knows that the North Atlantic Alliance is not a party to the conflict, but the demonstration of equipment in Moscow creates the impression not only of NATO's participation in the conflict, but also of the alliance's defeat in this conflict."
"The demonstration of NATO equipment in Moscow is a hybrid aggression of Russia."
Hii ni zaidi ya long missiles maana jamaa wamepigwa kwenye mshono wa mbichi.Click to expand...
Ulisoma mgawanyo wa hizo $61 B ?$400 Million ni kama Trilioni 1 tu ya kitanzania huku msaada aliopewa Ukraine wa $61 Billion ni kama Trillion 120 za kitanzania. Margin kubwa sana
Aliponzwa na Prighozin lakini Jamaa ni mwamba sana..Nasikia wakuu Wa Majeshi walikua wanamuogopa alivyokua mwamba wakaona bora wamsingizie ana hujumu lakini jamaa ni Jembe sana..Putin kokote uliko mrudushe Huyu Mwamba kazini atumalizie hii kazi.Birthday mate wangu huyu jamaa. Alinifurahisha sana, kapewa tu kuongoza operation Ukraine nzima ikapigwa makombora ilikuwa ni moto kila jimbo😀😀
Aliwapiga sana makombora halafu akamaliza na bonge ya defensive line ikapewa hadi jina lake. Hatari sana hiki kichwa mi mwenyewe natamani kirudishwe kwenye mbungi.Aliponzwa na Prighozin lakini Jamaa ni mwamba sana..Nasikia wakuu Wa Majeshi walikua wanamuogopa alivyokua mwamba wakaona bora wamsingizie ana hujumu lakini jamaa ni Jembe sana..Putin kokote uliko mrudushe Huyu Mwamba kazini atumalizie hii kazi.
Hawezi kumalizwa kwa embezzlement km jembe kweli kweli.Aliponzwa na Prighozin lakini Jamaa ni mwamba sana..Nasikia wakuu Wa Majeshi walikua wanamuogopa alivyokua mwamba wakaona bora wamsingizie ana hujumu lakini jamaa ni Jembe sana..Putin kokote uliko mrudushe Huyu Mwamba kazini atumalizie hii kazi.
Taarifa zisizo rasmi zimeletwa kwetu na mkuu wa kitengo cha Mochwari wa jeshi la Urusi.
Mr kipanya,unaonaje kama utatuletea na majumuisho ya vifo vya warusi kwa kila mwezi!? ingevutia san
Pamoja sana kamanda,mara zote umekuwa mstari wa mbele kuhakikisha jukwaa halilali!Naam mkuu, nitalifanyia kazi haraka kadri iwezekanavyo!