Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

BREAKING:

🇧🇾🇷🇺 The Nuclear Forces of Belarus have been deployed closer to the Polish borders. This comes after Poland threatened Belarus (Russia) by asking to host American nukes.

"Minsk will operate these weapons if it ever feels an existential threat" – Russian MoD
 
Wanajua ukweli mioyoni ila wa Ukraine wa isukamahela Wanakaza fuvu!
🇺🇦 American military assistance to Kiev will not stop the advance of the Russian Armed Forces, since Russia is ahead of the West in weapons production.

Kuleba stated this in an interview with The Guardian.

20240424_212741.jpg
 
Mshauri mkuu wa mambo ya Usalama wa USA - Jake Sullivan anasema kwamba, katika wiki zijazo, ana amini Russia Forces wataendelea kuteka na kuchukua maeneo ya Ukraine.

Kwa mtazamo wake, anasema hakuna kinachoweza kuwazua Russia Forces kuendelea kuchukua maeneo.

Note:

Hizi aid packages anazopewa Ukraine ni kama Panadol tu za kupunguza maumivu.


Screenshot_20240424-225249.jpg
 
Hivi kile kifurushi ni $ ngapi?
Russia to seize $440 million from JPMorgan. This comes after the United States passed a bill to transfer seized Russian assets to Ukraine.
$400 Million ni kama Trilioni 1 tu ya kitanzania huku msaada aliopewa Ukraine wa $61 Billion ni kama Trillion 120 za kitanzania. Margin kubwa sana
 
$400 Million ni kama Bilioni 1 tu ya kitanzania huku msaada aliopewa Ukraine wa $61 Billion ni kama Trillion 120 za kitanzania. Margin kubwa sana

Huo mkopo wa USD 62bil haujatokana na assets za Russia.

Bado Kuna debate kubwa inaendelea kuhusu namna gani ya kutumia faida inayozalishwa na hizo assets ili kuwapa Ukraine kama mkopo.

Wanachotaka kuchukua ni proceedings from assets.
 
Huo mkopo wa USD 62bil haujatokana na assets za Russia.

Bado Kuna debate kubwa inaendelea kuhusu namna gani ya kutumia faida inayozalishwa na hizo assets ili kuwapa Ukraine kama mkopo.

Wanachotaka kuchukua ni proceedings from assets.
Muache kelele tuendelee kushuhudia vizuri game la Russia na Ukraine!
 
Back
Top Bottom