Haiwezi fikisha hata miaka mitano.Hii vita itachukua hata Miaka zaidi ya ishilini maana kila Mmoja kampania mwenzie
Mataifa ya Ulaya yanayoisaidia Ukraine yameathiriwa sana kiuchumi kutokana na vikwazo walivyomwekea Russia.
Vita inavyoendelea ndivyo wananchi walioathiriwa wanaishiwa uvumilivu, baadaye kuipinga vita hii utakuwa mtaji mkubwa kisiasa kwa wanasiasa wa EU. Tutarajie kuanguka kwa viongozi wengi.
Kwa US Trump akishinda urais msitegemee tena pesa toka US, na vita isipokwisha mapema wapiganaji kwa upande wa Ukraine labda watakuwa wamebaki mercernaries.