Nkuba25
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,386
- 13,136
Hii video hapo chini ni kutoka DW.
Inaelezea jinsi Ukraine wanavyoangaika kukusanya watu wakapigane vita.
Kuna mama analia kwamba vijana wake wa tatu (3), wamefia vitani baada ya walikamatwa kwa nguvu na kupelekwa kufa huko vitani.
Ukraine wanaripoti kwamba Kuna wanajeshi 700,000 wamepotea vitani
View: https://youtu.be/W8AawB8YQ9s?si=9TPGNBn8u0x6-cQQ