Ni wenye akili Tu ndio hujiuliza maswali kama hayaHawa wazungu wa siku hizi,inawezekana ni tofauti na WA zamani.
Ama walikua ni wajinga namna hii toka zamani ila sema sisi tulichelewa kuwajua.
Ama ni wazungu wachache TU ndio waliokua Wana akili zamani, basi sisi tukaona Kila mzungu ana akili.
Mambo na matendo wanayoyafanya ama wanayoyapigania ni ya ajabu sana.
Wewe mtu huwezi kulazimisha haki za binadamu kwa watu wanaoingiliana kinyume na maumbile,Mungu mwenyewe alowanyima haki hiyo na kuamua kuwateteza wao na vizazi vyao.
Ama mfano,vita hii eti mtu analazimisha kujiunga na NATO.sasa unajiuliza NATO Ina faida Gani kiuchumi au kimaendeleo?
Au nchi moja inazilaghai nchi nyingine zijiunge na NATO.ana malengo Gani huyo?
Yaani mtu anaiwekea nchi nyingine vikwazo Hadi vikwazo hivyovinaiathiri nchi mweka vikwazo pia vinaziathiri nyingine,nazo zinaona sawa TU.
Mtu anazunguka Dunia nzima kuomba silaha,lkn sio kutafuta suluhu.
Watu wanakufa nchini kwake yeye kang'ang'ania TU kuomba silaha kwenda kupigana na li nchi ambalo hata hao NATO wenyewe orijino wanaogopa kuingia vitani nalo moja Kwa moja.
Ameona kilichofanyika kwa Israel na Iran,hao hao NATO wanaomsaidia waliweza kumsaidia Israel kudungua silaha za Iran kwa vitendo,lkn hawataki kufanya hivyo kwa Urusi,hapa alitakiwa kujiuliza na kushituka,lkn alivyo kiazi anawalaumu kwa kutomsaidia kama walivyomsaidia israel.
Anashindwa kujua tofauti kati ya Iran na Urusi.
Maangamizi ya Urusi ni makubwa kuliko mfano.
Kwa kifupi ukiangalia kwa undani utaona wazungu ni wajinga mno kuliko tulivyokua tunafikiria.
Wana ushindani wa kijinga mno.
Hebu fikiria,Kuna nchi hawazipendi na sio washirika wao,mfano Korea kaskazini,Iran,Urusi,china,Cuba, Venezuela, Syria n.k
Wao Wana umoja na urafiki wao,lkn hawataki Hawa wasiowapenda wawe na umoja wao.au wasipendane wao Kwa wao.
Utasikia Kila siku USA inaoambia Urusi kua isizichagulie marafiki nchi zilizojitenga na Umoja wa kisovieti,lakini hiyohiyo USA inazunguka Dunia nzima kuziambia nchi marafiki wa damu wa Urusi wasiwe upande wa urusi.cha kichekesho zaid wanazionya hata zile nchi walizoziwekea vikwazo,mfano Iran, Korea kaskazini, Venezuela n.k kwamab zisiisaidie urusi.ajabu sana hii.
Hapa sasa ngoma droo maana kwa $300 Billion za Warusi zinazoshikiliwa US na Ulaya kwa Russia ku confiscate $288 Bilion ni pigo sawa. Uking'oa bati tunang'oa kenchi.
Taratibu wanaanza kupata akili.After Russia's invasion of Ukraine, it is no longer clear where the limits of Moscow's power lie. So we have to build a strategic concept of a reliable European defense for ourselves. Europe cannot be a vassal of the United States,” he said.
Mpaka waita maji mmaHapa sasa ngoma droo maana kwa $300 Billion za Warusi zinazoshikiliwa US na Ulaya kwa Russia ku confiscate $288 Bilion ni pigo sawa. Uking'oa bati tunang'oa kenchi.
Binafsi huwa nasema, Kama Sisi ndio Watu, basi wao sio watu. Na kama wao ndio watu, basi sisi sio watu.Hawa wazungu wa siku hizi,inawezekana ni tofauti na WA zamani.
Ama walikua ni wajinga namna hii toka zamani ila sema sisi tulichelewa kuwajua.
Ama ni wazungu wachache TU ndio waliokua Wana akili zamani, basi sisi tukaona Kila mzungu ana akili.
Mambo na matendo wanayoyafanya ama wanayoyapigania ni ya ajabu sana.
Wewe mtu huwezi kulazimisha haki za binadamu kwa watu wanaoingiliana kinyume na maumbile,Mungu mwenyewe alowanyima haki hiyo na kuamua kuwateteza wao na vizazi vyao.
Ama mfano,vita hii eti mtu analazimisha kujiunga na NATO.sasa unajiuliza NATO Ina faida Gani kiuchumi au kimaendeleo?
Au nchi moja inazilaghai nchi nyingine zijiunge na NATO.ana malengo Gani huyo?
Yaani mtu anaiwekea nchi nyingine vikwazo Hadi vikwazo hivyovinaiathiri nchi mweka vikwazo pia vinaziathiri nyingine,nazo zinaona sawa TU.
Mtu anazunguka Dunia nzima kuomba silaha,lkn sio kutafuta suluhu.
Watu wanakufa nchini kwake yeye kang'ang'ania TU kuomba silaha kwenda kupigana na li nchi ambalo hata hao NATO wenyewe orijino wanaogopa kuingia vitani nalo moja Kwa moja.
Ameona kilichofanyika kwa Israel na Iran,hao hao NATO wanaomsaidia waliweza kumsaidia Israel kudungua silaha za Iran kwa vitendo,lkn hawataki kufanya hivyo kwa Urusi,hapa alitakiwa kujiuliza na kushituka,lkn alivyo kiazi anawalaumu kwa kutomsaidia kama walivyomsaidia israel.
Anashindwa kujua tofauti kati ya Iran na Urusi.
Maangamizi ya Urusi ni makubwa kuliko mfano.
Kwa kifupi ukiangalia kwa undani utaona wazungu ni wajinga mno kuliko tulivyokua tunafikiria.
Wana ushindani wa kijinga mno.
Hebu fikiria,Kuna nchi hawazipendi na sio washirika wao,mfano Korea kaskazini,Iran,Urusi,china,Cuba, Venezuela, Syria n.k
Wao Wana umoja na urafiki wao,lkn hawataki Hawa wasiowapenda wawe na umoja wao.au wasipendane wao Kwa wao.
Utasikia Kila siku USA inaoambia Urusi kua isizichagulie marafiki nchi zilizojitenga na Umoja wa kisovieti,lakini hiyohiyo USA inazunguka Dunia nzima kuziambia nchi marafiki wa damu wa Urusi wasiwe upande wa urusi.cha kichekesho zaid wanazionya hata zile nchi walizoziwekea vikwazo,mfano Iran, Korea kaskazini, Venezuela n.k kwamab zisiisaidie urusi.ajabu sana hii.
Ndugu yangu,Kuna watu humu walidanganywa mno na wakadanganyika.Kuna mpiga nyeto mmoja humu alikuwa anashinda humu avisifia sijui sasa hivi atasemaje.
Hutaki kujibiwa? Jitoe JF, pengine si mahali pako.Dah we nae una shobo sana aisee, nikatae basi.
Warusi wanazidi kuchinjwa tu 🥱🥱🥱
Baada ya hapo cremia imesharudi?Warusi wanazidi kuchinjwa tu 🥱🥱🥱🥱🥱🥱
Bado kabisaBa
Baada ya hapo cremia imesharudi?