Dah ngumu sana, njia zote zimezibwa , kweli Russia walijianda na hesabu zote wamezinakiri na kuzifanyia kazi step by step na matokeo yameonekana kote dunianiMaoni yangu: Kwa nini ni vigumu kwa NATO kuingiza rasmi Jeshi Lao.
Style ya upiganaji wa NATO, ni lazima kwanza wawe na air superiority. Watarusha makombora kutoka kwenye ndege vita au kutokea baharini, then wakishakudhohofisha ndio wanaingia phase ya boots on the ground.
Hii tumeiona recently kule Iraq & Afghanistan. NATO hapeleki askari wake kabla ya kusafisha njia.
Je, kwa nini inakuwa ngumu hapo Ukraine.
NATO itawabidi warushe ndege zao kutokea Poland au Uturuki au Latvia au watumie meli vita kutokea Norway - Northern Sea.
Kwa mfano, ndege iruke tokea Poland ije ipige Russia. Hapo Poland atakuwa yeye ndiye ameanzisha uchokozi, kwa sababu Poland sio sehemu ya Ukraine.
Ili kuepusha yote hayo. NATO wanatumia Mercenaries - ukikamatwa utajijua mwenyewe.
Kwani poland siyo NATO 🙄🙄🙄 Kwa kifupi NATO WANAMUOGOPA MRUSI MAANA NDIYE ALIYE MSHINDA MJERUMANI KWA KUPIGANA VITA KWA ASILIMIA 80% hao USA na uingereza walipigana na mjerumani kwa asilimia 20% iliyo baki sema wakajitangaza dunia nzima kuwa wao ndiyo walio fanikisha ushindi dhidi ya mjerumaniMaoni yangu: Kwa nini ni vigumu kwa NATO kuingiza rasmi Jeshi Lao.
Style ya upiganaji wa NATO, ni lazima kwanza wawe na air superiority. Watarusha makombora kutoka kwenye ndege vita au kutokea baharini, then wakishakudhohofisha ndio wanaingia phase ya boots on the ground.
Hii tumeiona recently kule Iraq & Afghanistan. NATO hapeleki askari wake kabla ya kusafisha njia.
Je, kwa nini inakuwa ngumu hapo Ukraine.
NATO itawabidi warushe ndege zao kutokea Poland au Uturuki au Latvia au watumie meli vita kutokea Norway - Northern Sea.
Kwa mfano, ndege iruke tokea Poland ije ipige Russia. Hapo Poland atakuwa yeye ndiye ameanzisha uchokozi, kwa sababu Poland sio sehemu ya Ukraine.
Ili kuepusha yote hayo. NATO wanatumia Mercenaries - ukikamatwa utajijua mwenyewe.
Hivi NATO ni organization au bases za US? Muungano wa nchi 31 haziwezi kubeba majukumu yake kama kutoa support kwa washirika hadi US aingilie kati?NATO wameanza kushikana uchawi
NATO wanajilalamisha kwamba wameshafeli pale Ukraine na sababu kubwa ni kucheleweshwa kwa misaada.
View attachment 2977745
Dah inauma kulazimishwa kuingia vitani dhidi ya taifa kubwa zaidi kijeshi duniani. Hasa ukikumbuka maelfu wameangamiaVita vya KAGERA wananchi wa TANZANIA walijitolea wenyewe kwenda MSTARI WA MBELE,
Na ilitokea kama mtu hakuchaguliwa kwenda FRONT basi alihuzunika sana kukosa nafasi hiyo adhimu ya kuitetea nchi yake…… vipi kuhhusu wananchi wa UKRAINE?
View: https://x.com/mylordbebo/status/1784908905073488076?s=46&t=eQbA0aH9CX3YD3wUKRO_cw
Huyu ni nani mkuu?
Wanatdfuta sababu za uongo ili wasionekane wameshindwaNATO wameanza kushikana uchawi
NATO wanajilalamisha kwamba wameshafeli pale Ukraine na sababu kubwa ni kucheleweshwa kwa misaada.
View attachment 2977745
anaitwa general amargeddonHuyu ni nani mkuu?