Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
😂😂😂🔥NATO wameanza kushikana uchawi
NATO wanajilalamisha kwamba wameshafeli pale Ukraine na sababu kubwa ni kucheleweshwa kwa misaada.
View attachment 2977745
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂🔥NATO wameanza kushikana uchawi
NATO wanajilalamisha kwamba wameshafeli pale Ukraine na sababu kubwa ni kucheleweshwa kwa misaada.
View attachment 2977745
Wadau je ni kweli serikali ya Botswana imeitaka serikali ya Marekani kufunga kambi yake ya jeshi la anga na kuondoka?
Kama ni kweli basi hii itakua kambi ya Tatu ya jeshi la anga kufurushwa Afrika baada ya Niger,Chad na Sasa hiyo ya Botswana.
Je matukio haya yanaashiri Nini?
Ikiwa ni hivi,basi nchi zimeanza kujitambua na tutegemee na maeneo mengine ya Dunia.
Labda watabaki ulaya TU,maana kadri miaka inavyozidi kwenda mbele wazungu nduio wanzidi kua wajinga.
Sikuwahi kujua kama USA Ina kambi ya jeshi Botswana.
i see what you have done, wapi yule jamaa codenamed.......... sijataja MK254SIDHANI kabisa kama BOTSWANA inaweza kuthubutu hata KUWAZA kufanya hivyooooo........
botswana ni kama jirani zetu fulani, ambao kusaidiwa na BWANA MKUBWA kunamfanya kuvimba na aone anaweza kila kitu........
nchi inayopewa karibia kila kitu ni ngumu kupata fikra za kikombozi
Ni nani huyu?