Kiongozi wa EU anasema kwamba uli u-super power wa USA umeshaisha, Sasa hivi Superpower ni China.
SMO imeleta mapinduzi makub
Urusi Anasonga Mbele kwa kasi SanaRussian report:
"π·πΊπΊπ¦ Arkhangelskoye is ours. The enemy fled to the fortifications behind Kalinovsky Pond. Our Troops are now consolidating in the new captured Positions. Logistics are being set up and Reinforcements are being sent to our Units working in this area.
Further attacks become more difficult due to the natural conditions of the pond. That's why it makes sense that the 132nd Gorlovka Brigade, which operates here, is supported by other units of the 1AK.
Attack Operations towards the fortifications north of the pond resume towards evening."
Na kuna walio kuwa waki Jiondoa Wakiwa kwenye Mstari mreefu Wamefyekwa Mpaka HurumaRussia wanazidi kuteka maeneo.
Ukraine Wana retreat na kufanya Russia wazidi kuteka maeneo.
View attachment 2980645
Hii ni vita ya kihistoria itakayobadili mengi.Mkuu vita ya Ukraine imetufunulia mengi tulivyokua tunadanganywa.
Urusi peke yake inapigana na silaha dhidi ya jeshi linalopewa silaha Bora kabisa kutoka nchi tulizoambiwa ni nchi zenye tech ya Hali ya juu sana ya silaha,yaani nchi zote za west.
Achilia mbali silaha pia Ukraine imekua ikipewa mafunzo Bora kabisa kutoka nchi tulizokua tuliambiwa ni nchi Bora kijeshi hapa duniani,yaani nchi ya USA na NATO yake.
Sio TU silaha Bora na mafunzo Bora,Bali Ukraine imekua ikipata ushauri kutoka Kwa makammanda Bora kabisa wa USA,UK,FR, German NATO wengine.
Lakini muhimu zaidi ambacho Ukraine amekua akipata ni huduma za satellite za kijeshi na za kiraia kutoka nchi zote za west kwa ajili ya kuonesha mienendo ya jeshi la Urusi.
Na zaidi kuliko yote ni huduma za kiintelijensia.
Ukraine imepata faida kubwa sana ya misaada ya intelijensia kutoka mashirika ya kijasusi ya kijeshi na kiraia kutoka nchi zinazosifika katika tasnia hiyo ambazo ni USA,UK, German,fr, na NATO wengine.
Lakini Cha ajabu Urusi peke yake imeweza kuwadhibiti kabisa licha ya misaada yote hiyo.
Dunia inashihudia Yale iliyokua haiyajui.
Hivi Russia anataka kuteka miji yote ya Ukraine au me ndo sielewi nia yakeRussian report:
"π·πΊπΊπ¦ Arkhangelskoye is ours. The enemy fled to the fortifications behind Kalinovsky Pond. Our Troops are now consolidating in the new captured Positions. Logistics are being set up and Reinforcements are being sent to our Units working in this area.
Further attacks become more difficult due to the natural conditions of the pond. That's why it makes sense that the 132nd Gorlovka Brigade, which operates here, is supported by other units of the 1AK.
Attack Operations towards the fortifications north of the pond resume towards evening."
Yote Kiongozi...Hivi Russia anataka kuteka miji yote ya Ukraine au me ndo sielewi nia yake
Upo sahihi lakini Dunia ya leo Imebadilika sanaHii ni vita ya kihistoria itakayobadili mengi.
Hii ni vita itakayopelekea nchi za NATO kudharaulika, ni vita itakayopelekea Russia kufanikiwa zaidi katika uuzaji wake wa silaha.
NATO hadi sasa wanatafakari kuchukua maamuzi magumu sana lakini bado wana mvutano, huu mvutano kuna ambao wanakataa aibu na fedheha inayokwenda kutokea na wengine wakiogopa matokeo watakapofanya maamuzi magumu.
Kikubwa nachokiona baada ya vita kuisha ni kutumia billions za dola kutengeneza documentary za uongo na kupotosha watu kuhusu vita hii, kuandika vitabu na kutengeneza filamu za uongo na kweli, utakuja kusikia Russia alikuwa na vifaa vya kizamani vyenye kutu na kila aina porojo.
Hawa jamaa ni kawaida yao kupindisha ukweli, Russia ni jitu la kutisha, WWII kuna mengi yalifichwa, ukisoma Russia wanavyoelezea WWII ilivyokuwa ni tofauti na hao jamaa.
Ikumbukwe WWII kutoka mashariki Russia pekee ilikuwa nchi ya kwanza kuingia Germany, huku US , France na UK zikitoka magharibi wakamkuta Russia amepiga kambi tayari Berlin. Hivyo West kutengeneza NATO wanaifahamu siri na nguvu ya Russia kijeshi toka WWII.
Ngoja tusubiri Hollywood movies, NetFlix documentaries za mchongo kutoka West...
Novels za mchongo, internet itachafuliwa kwa habari za kupotosha.
All in all vitendo vinaongea kuliko maneno.
Nadhani ndio maana Russia wamemweka katika Wanted List Bw. Zelensky. Ili wakifanikiwa kuingia Kyvi na kumkamata wamfungulie mashtaka.Majeshi ya Russia kuingia mji wa Chasiv Yar muda wowote baada ya kuchukua Adviivka.
Zelensky alishasema mji huu ni ngome isiyoweza kupenyezeka, inasemekana mji huu ni ngome muhimu sana kwa majeshi ya Ukraine.
Kuchukuliwa kwa Chasiv Yar kutapelekea majeshi ya Russia kuingia Kyiv.
Ukrainian Military Intelligence General Bw Skibitsky amesema kuwa itakuwa ni habari mbaya na itakayo waharibu askari wa Ukraine kisaikolojia endapo ngome hio ya Chasiv Yar itaangukia mikononi mwa Russia.
Skinitsky anaeleza kwamba kuna uwezekano kwa majeshi ya Ukraine kusalimu amri/kurudi nyuma endapo tu hakutokuwa na msaada wa vifaa/silaha.
Inasemekana majeshi ya Russia yanakwenda mbele kwa km 20 hadi 25 kila siku.
Ukraine ina hali mbaya sana, jamaa ni kama wanakata tamaa, Russia sio watu poa.
Chasiv Yar inaonekana ni ngome muhimu sana katika kuzuia majeshi ya Russia kuingia Kyiv, lakini inavyoelekea Kyiv inakwenda kuanguka.
Ni suala la muda tu.
Hio movie naisubiri kwa hamu sana.Nadhani ndio maana Russia wamemweka katika Wanted List Bw. Zelensky. Ili wakifanikiwa kuingia Kyvi na kumkamata wamfungulie mashtaka.