Chasiv Yar sio ngome ngumu kuzidi Siversk, bakhmut na Avdiivika.General of military intelligence ndivyo alivyosema mzee sasa utabishana nae?
Unaelewa maana ya Russia kuingia Kyiv? Maana ya Russia kuingia Kyiv ni kushinda hii vita, ndio maana anasema wana uhaba wa silaha.
Hakutaka kusema Russia itashinda, lakini amesema kwamba itakuwa njia ya Russia kuelekea Kyiv.
Kwa maana kama hio ngome Zelensky alisema haipenyezeki kama imepenyezeka inabidi kujiuliza kuna ngome ngumu kuliko hio? Kama ipo itapigwa tu kwa sababu haina tofauti na Chasiv Yar.
Labda ni nikudadavulie Russia akishinda Chasiv Yar ni kama ameishinda Ukraine ndio maana ya kuingia Kyiv.
Ndio maana jamaa anasema kuchukuliwa kwa ngome ya Chasiv Yar itapelekea askari wa Ukraine kuharibika kisaikolojia, morali itashuka.
West ni wakali kuficha uhalisia kinachoendelea vitani, Ukraine pia wamekuwa wanaficha, lakini kwa kinachoendelea wanakiri kwamba ni suala la muda tu Russia kuingia Kyiv(ushindi).
Wakali wa intelligence toka NATO wamesha calculate wakaona Ukraine hachomoki, ndio maana kila siku Putin anasema west wakifanya ufyoko hana budi kutumia nuclear.
North Korea tu ishapeleka silaha kontena zaidi ya 6700 zenye silaha za kila aina kwenda Russia, hivi vita sio mchezo, Russia ana wapambe wake na NATO inakomaa kivyake.
Sasa unaongea nini wakati Adviivka imeshachukuliwa toka February?Chasiv Yar sio ngome ngumu kuzidi Siversk, bakhmut na Avdiivika.
Ila umuhimu wa Chasiv Yar a.k.a Chasik ni kuwa uwanda wa juu kitu kitakacho saidia kuona maeneo mengine na karibu na mji wa Konstanivka ambako ni kilomita kumi na tatu tu.
Na kutumika kama stepping stone kuelekea miji ya Kramatorsk na Slovyansk.
Kimapigano Chasiv Yar utakatwa kati kati kupitia mapori yaliyopo upande wa magharibi na Mashariki.
Kumbuka Warusi washachukua Kanali micro district na battle inaendelea kupitia ule msitu.
Either watavamia kama walivyofanya ocheretino au wataupita ili kuelekea Konstanivka.
Nani kakudanganya, ingawa umeeeka source lakini jiulize kwanini marekani na NATO wanapiga nchi Kama Iran na Korea kaskazini kuwa na nyukliaMmarekani na nato wanaitaman sana vita kamili na mrusi.
Wanaitafuta sana
Russia amekuwa mwanafunzi mtukutu.
Asiefata western order.
Na anaambukiza wengi utukutu wake
Na russia akuweza kupeleka nuclear angani na anti-satellite missiles itakuwa ni kiburi kikubwa sana.
Andiko lako limekosa maana unaposema mrusi ni mwanafunzi mtukutu.Mmarekani na nato wanaitaman sana vita kamili na mrusi.
Wanaitafuta sana
Russia amekuwa mwanafunzi mtukutu.
Asiefata western order.
Na anaambukiza wengi utukutu wake
Na russia akuweza kupeleka nuclear angani na anti-satellite missiles itakuwa ni kiburi kikubwa sana.
Umemjibu vizuri sana,umemjibu kama nilivyotaka kumjibu.Andiko lako limekosa maana unaposema mrusi ni mwanafunzi mtukutu.
Russia ni Dubwana kubwa kweli kweli,kulikabili ni shughuli nzito haswa.Ndio maana unaona 🇺🇸 & EU jasho linawatoka.Kupitia vita hii tumejifunza mengi sana tukuanza na ubora wa silaha,mbinu za kivita & uchumi wa EU unavyoitegemea Russia 🇷🇺.
Kuitaja Russia 🇷🇺 mwanafunzi mtukutu ni ukosefu wa adabu na maarifa.Msuli wa Russia umemnyofoa France katika top 10 ya uchumi mkubwa duniani.
Russia wako vizuri sana. Niliwaheshimu tangu walivyoingia kibabe Syria kuzuia Assad asiondolewe madarakani.Usisahau kwamba Russia ndio nchi ya kwanza kurusha satellite duniani kabla ya US na Europe yote, wapo very advanced kwenye elimu ya anga, kila kinachoendelea wanafahamu kupitia satellite zao.
Russia haitaiweza nato kama hatakuwa na washirika wa uhakika, wasiojifichaficha.Andiko lako limekosa maana unaposema mrusi ni mwanafunzi mtukutu.
Russia ni Dubwana kubwa kweli kweli,kulikabili ni shughuli nzito haswa.Ndio maana unaona 🇺🇸 & EU jasho linawatoka.Kupitia vita hii tumejifunza mengi sana tukuanza na ubora wa silaha,mbinu za kivita & uchumi wa EU unavyoitegemea Russia 🇷🇺.
Kuitaja Russia 🇷🇺 mwanafunzi mtukutu ni ukosefu wa adabu na maarifa.Msuli wa Russia umemnyofoa France katika top 10 ya uchumi mkubwa duniani.
Ndo maana kutakuwa na vita kuu ya tatu ya Dunia.Russia haitaiweza nato kama hatakuwa na washirika wa uhakika, wasiojifichaficha.