LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
China’s Type 003 aircraft carrier, also known as the Fujian, is the largest warship ever built by an Asian country; surpassing even the Yamato-class battleships.

— With its displacement of 80,000 tonnes, Fujian is China's newest and most advanced aircraft carrier, comparable in size to the U.S. Navy's Nimitz and Ford classes.

— Fujian is currently conducting sea trials.

bd9f56c5-150b-43b1-8483-bed96572e008.jpg
 
General of military intelligence ndivyo alivyosema mzee sasa utabishana nae?
Unaelewa maana ya Russia kuingia Kyiv? Maana ya Russia kuingia Kyiv ni kushinda hii vita, ndio maana anasema wana uhaba wa silaha.
Hakutaka kusema Russia itashinda, lakini amesema kwamba itakuwa njia ya Russia kuelekea Kyiv.

Kwa maana kama hio ngome Zelensky alisema haipenyezeki kama imepenyezeka inabidi kujiuliza kuna ngome ngumu kuliko hio? Kama ipo itapigwa tu kwa sababu haina tofauti na Chasiv Yar.

Labda ni nikudadavulie Russia akishinda Chasiv Yar ni kama ameishinda Ukraine ndio maana ya kuingia Kyiv.
Ndio maana jamaa anasema kuchukuliwa kwa ngome ya Chasiv Yar itapelekea askari wa Ukraine kuharibika kisaikolojia, morali itashuka.

West ni wakali kuficha uhalisia kinachoendelea vitani, Ukraine pia wamekuwa wanaficha, lakini kwa kinachoendelea wanakiri kwamba ni suala la muda tu Russia kuingia Kyiv(ushindi).

Wakali wa intelligence toka NATO wamesha calculate wakaona Ukraine hachomoki, ndio maana kila siku Putin anasema west wakifanya ufyoko hana budi kutumia nuclear.

North Korea tu ishapeleka silaha kontena zaidi ya 6700 zenye silaha za kila aina kwenda Russia, hivi vita sio mchezo, Russia ana wapambe wake na NATO inakomaa kivyake.
Chasiv Yar sio ngome ngumu kuzidi Siversk, bakhmut na Avdiivika.

Ila umuhimu wa Chasiv Yar a.k.a Chasik ni kuwa uwanda wa juu kitu kitakacho saidia kuona maeneo mengine na karibu na mji wa Konstanivka ambako ni kilomita kumi na tatu tu.

Na kutumika kama stepping stone kuelekea miji ya Kramatorsk na Slovyansk.

Kimapigano Chasiv Yar utakatwa kati kati kupitia mapori yaliyopo upande wa magharibi na Mashariki.

Kumbuka Warusi washachukua Kanali micro district na battle inaendelea kupitia ule msitu.

Either watavamia kama walivyofanya ocheretino au wataupita ili kuelekea Konstanivka.
 
Sasa unaongea nini wakati Adviivka imeshachukuliwa toka February?

Umekiri kwamba Adviivka ni ngome ngumu kuliko Chasiv Yar, lakini Zelensky anakiri Chasiv Yar ni ngome isiyopenyezeka.

Kilichobaki ni NATO kuingilia kati hii vita wazi wazi, Ukraine hakuna namna hata wapewe msaada wa aina gani kutoka West, satellite za Russia zinafuatilia movement zote za silaha zinazokuwa imported bila kusahau hawa jamaa wana agents kila kona wanao toa taarifa.

Usisahau kwamba Russia ndio nchi ya kwanza kurusha satellite duniani kabla ya US na Europe yote, wapo very advanced kwenye elimu ya anga, kila kinachoendelea wanafahamu kupitia satellite zao.

Hii vita Ukraine ameshindwa, hii vita Ukraine kapoteza ni ukweli mchungu lakini haina namna inabidi kukubali ni suala la muda tu.
 
Mmarekani na nato wanaitaman sana vita kamili na mrusi.
Wanaitafuta sana
Russia amekuwa mwanafunzi mtukutu.
Asiefata western order.
Na anaambukiza wengi utukutu wake

Na russia akuweza kupeleka nuclear angani na anti-satellite missiles itakuwa ni kiburi kikubwa sana.

Nani kakudanganya, ingawa umeeeka source lakini jiulize kwanini marekani na NATO wanapiga nchi Kama Iran na Korea kaskazini kuwa na nyuklia
Hakuna nchi ya NATO itakayoomba kupambana na Urusi ndiyo maana Kuna kipindi ndege za kivita zinaingia mpaka UK zinaishia kufukuzwa pia rejea Urusi walichofanya kwenye Kambi ya kijeshi marekani pia tuhuma za Urusi kuingilia uchaguzi wa marekani hivyo vyote visingemwacha salama Kama angekuwa Taifa dhaifu.
Sema vitendo vya kutoa silaha na maafisa wao kieapo. Ukraine vinachochea.kueepo vita baina yao.
 
Mmarekani na nato wanaitaman sana vita kamili na mrusi.
Wanaitafuta sana
Russia amekuwa mwanafunzi mtukutu.
Asiefata western order.
Na anaambukiza wengi utukutu wake

Na russia akuweza kupeleka nuclear angani na anti-satellite missiles itakuwa ni kiburi kikubwa sana.

Andiko lako limekosa maana unaposema mrusi ni mwanafunzi mtukutu.

Russia ni Dubwana kubwa kweli kweli,kulikabili ni shughuli nzito haswa.Ndio maana unaona 🇺🇸 & EU jasho linawatoka.Kupitia vita hii tumejifunza mengi sana tukuanza na ubora wa silaha,mbinu za kivita & uchumi wa EU unavyoitegemea Russia 🇷🇺.

Kuitaja Russia 🇷🇺 mwanafunzi mtukutu ni ukosefu wa adabu na maarifa.Msuli wa Russia umemnyofoa France katika top 10 ya uchumi mkubwa duniani.
 
Umemjibu vizuri sana,umemjibu kama nilivyotaka kumjibu.
Sikua na muda TU.
Hasa anaposema Urusi amekua mwanafunzi mtukutu.
Hapa kwa kweli ndipo nilipomuona amekosa kuijua historia ya Urusi vizuri.
Angejua NATO iliundwa kwa ajili ya kukabiliqna na Urusi asingeandika hivyo.
Amesema mwanafunzi mtukutu akiiweka Urusi kundi moja na akina Iraq,Libya, Afghanistan na Yugoslavia.Hapo ndipo alipofanya kosa kubwa sana.
 
Usisahau kwamba Russia ndio nchi ya kwanza kurusha satellite duniani kabla ya US na Europe yote, wapo very advanced kwenye elimu ya anga, kila kinachoendelea wanafahamu kupitia satellite zao.
Russia wako vizuri sana. Niliwaheshimu tangu walivyoingia kibabe Syria kuzuia Assad asiondolewe madarakani.
 
⚡"The Russian Armed Forces will conduct nuclear exercises during which they will practice with the use of non-strategic nuclear weapons." – Speaker of the Russian legislature assembly, 'State Duma'.

This comes as France publicly signals its deployment into the Donbass frontline.

Medvedev announced that if the Russian army and the French army collide in Ukraine, the conflict will go beyond the borders on the French territory.

a02c16c1-e1fb-4938-b964-164c818710af.jpg
 
Andiko lako limekosa maana unaposema mrusi ni mwanafunzi mtukutu.

Russia ni Dubwana kubwa kweli kweli,kulikabili ni shughuli nzito haswa.Ndio maana unaona 🇺🇸 & EU jasho linawatoka.Kupitia vita hii tumejifunza mengi sana tukuanza na ubora wa silaha,mbinu za kivita & uchumi wa EU unavyoitegemea Russia 🇷🇺.

Kuitaja Russia 🇷🇺 mwanafunzi mtukutu ni ukosefu wa adabu na maarifa.Msuli wa Russia umemnyofoa France katika top 10 ya uchumi mkubwa duniani.
Russia haitaiweza nato kama hatakuwa na washirika wa uhakika, wasiojifichaficha.
 
Breaking News: Russia yautwaa mji wa Ocheretyne.

Russia watarajiwa kulichukua mazima jimbo la Donetsk baada ya kuanguka kwa mji wa Ocheretyne.

Jana usiku majeshi ya Russia yameutwaa mji wa kistratejia wa Ocheretyne ambao upo kilomita zipatazo 25 kaskazini mashariki kutoka mji mwingine wa Adviivka ambao Russia iliutwaa mwezi Februari mwaka huu.

Kwa mujibu wa wizara ya ulinzi ya Russia vikosi vya brigedia ya 24 na 115 vya jeshi la Ukraine viliangamizwa.

Kwa mujibu pia wa msemaji wa Deep State channel ya Ukraine, kushindwa kwa majeshi ya Ukraine kuulinda mji huo kumetokana na kukosa kutumia mbinu sahihi khasa pale kikosi cha brigedia ya 47 walipokuwa wakibadilishana nafasi (leaving and reliving the positions) hivyo kuacha nafasi kwa majeshi ya Russia kuvamia eneo zima kwa kishindo.

Mji wa Ocheretyne ni mji wa kistratejia kwa sababu una miundombinu mizuri na pia ndo makao makuu ya uhifadhi silaha zote za Ukraine ambazo husambazwa kwenda Kyiv au kwingine.

Pigo hili limewastua viongozi wengi wa mataifa ya magharibi na Marekani kiasi cha kuanza kuongelea kupeleka majeshi nchini Ukraine.

Russia kukamata mazima jimbo la Kharkiv ni katika mkakati wake wa kujiandaa na vita kamili ya kulinda miji ilokombolewa iliyopo ndani ya eneo zima la Donbass na pia kusubiri mzigo wa silaha ambao Ukraine wausubiri kutoka NATO na Marekani.

Raisi wa Xi Jinping wa China muda huu yupo ziarani nchini Ufaransa na leo afanya mazungumzo na raisi Macron juu ya Ukraine na atarajiwa kuonya ushiriki wa moja kwa moja wa nchiza NATO na Marekani katika vita hii.
 
Back
Top Bottom