Hopeless argument ever.Kuna wapumbavu wengine hudhani Vatikani hayumo katikati kabisa mwa mgogoro huu wa Ukreni vs Urusi.
KTY, Mvatikano ni kivange (notorious) wa kuanzisha tafrani kubwa na ndogo duniani kupitia mahimla (minions) wake huku yeye mwenyewe akijificha nyuma ya pazia na ndani ya vazi la dini.
Ni nadra sana kama mvua ya mawe jangwani kumkosa Mvatikano kwenye mgogoro wowote ugusao maslahi ya umma wa watu.
Super duper strategist 🤣🤣🤣🤣We utakuwa umelewa.. sielewi hata unachozungumza ni kitu kipi?
ID yangu tu inakuonyesha mimi ndiye napaswa kukukaribisha JF.
Nimeshakuambia hii vita Ukraine kashindwa jeshi la Moscow linakwenda kwa kasi,
Nimeshakuambia Chasiv Yar ikichukuliwa ujue na Kyiv itachukuliwa tu, sasa unachobisha hapo ni kitu kipi?
Vikanisa uchwara vilivyoanzishwa na Amerika vimewajaza ujinga wengi.Hopeless argument ever.
😁😁😁 hivi unaweza nitajia baadhi ya nchi zisizojielewaSiyo Kila nchi Bali nchi. Zinazojielewa.
Vladimir Putin has hired an academic who urged him to strike Europe with nuclear weapons and leave the planet in "radioactive ruins".
It's clearer than ever before that these guys are now treading down a slippery slope.Russian President Putin says the United States is a danger to humanity.
Mmmh nadhani kila mmoja ana mtizamo wake, Kigezo cha list yangu ni kuzungumza vitu vinavyo make sense out of "profitability". Uwezo wa kusimama kwenye ukweli na haki hata kama haumnufaishi. Ukiangalia wengi wasio unga mkono kihachoendelea Ukraine kutoka Europe ni kwasabab ya hasara wanazopata kupitia mgogoro huo. Wengi wao wapo like "As long as it doesn't harm us, we support it and vice versa is true"Peter wa Hungary bado kijana mdogo ndio ajifunza zaidi global affairs na alikuwa chini ya Victor Orban akijifunza kazi.
Ila haungi mkono vita ya Ukraine.
Yes yes umepiga kwenye mshono ndugu yangu, sijui ilikuaje nikamsahau 🤣. Tena huyu ni wa moto kuliko hata Micky Wallace ni basi tu bunge la Uingereza silifatilii sana kama la EU.Namheshimu zaidi mbunge wa Rochdale, George Galloway.
Mwaka 2005 aliitwa na kamati ya Senate US akituhumiwa kujinufaisha na mpango wa UN wa mafuta kwa chakula nchini Iraq. Baada ya mahojiano waliomwita walijutia uamuzi wao kwa jinsi alivyowaumbua.
Alifukuzwa uanachama chama cha Labour kutokana na misimamo yake, hasa kupinga vita ya Iraq, lakini alishinda ubunge tena kupitia chama alichoanzisha cha Respect.
Mwezi wa Februari mwaka huu ameshinda kwa kishindo ubunge wa Rochdale katika uchaguzi mdogo, akigombea kupitia chama cha Workers party alichoanzisha. Kwa aibu, Rish Sunak alisema ushindi huo wa kishindo ulitokana na wingi wa wapigakura waislamu katika jimbo hilo.
Msikilize hapo chini akiongea na mwanahabari baada ya kushinda ubunge jimbo la Rochdale.
View attachment 2983230
Tanzania, our time is over. When Mkapa or Dr. Salim were the ministry of foreign affairs Tanzania were very strong when it comes international issue.😁😁😁 hivi unaweza nitajia baadhi ya nchi zisizojielewa
Huo ndo uanaumeIndia wamesema kwamba wao wataendelea kununua mafuta na kufanya biashara na Russia kama kawaida.
Hawataki kuwa wanafiki kama nchi za Europe.
View attachment 2983583
Kiongozi wa juu akiwa ni kutoka dini ya Kiislam anakuwa mnafiki dhidi ya ubaya inayotendwa na jamii ya dini yake.Tanzania, our time is over. When Mkapa or Dr. Salim were the ministry of foreign affairs Tanzania were very strong when it comes international issue.
We show our weakness when two Tanzania citizens were among the people who were abducted by Hamas terrosts .
There is no any effort to rescued them instead Palestine ambassador was kept moving from one mosque to another.
Tanzania iliheshimika sana miaka hiyo.Tanzania, our time is over. When Mkapa or Dr. Salim were the ministry of foreign affairs Tanzania were very strong when it comes international issue.
We show our weakness when two Tanzania citizens were among the people who were abducted by Hamas terrosts .
There is no any effort to rescued them instead Palestine ambassador was kept moving from one mosque to another.