BBC wanaripoti kwamba, huko Kharkov, majeshi ya Russia yanasonga mbele kwa Kasi ya ajabu.
Hakuna tena upinzani wowote.
Na wanajeshi wa Ukraine wameamua kuweka silaha chini na kujisalimisha.
Ukiona hadi wazandiki BBC wanaripoti namna hii, jua Hali sio shwari kabis
Russia forces wamewambia wanajeshi wa Ukraine watakaojisalimisha, hawatoguswa hata kidole, wataifadhiwa mahala salama mpaka pale hali ya amani itakaporejea, kwaiyo tutaendelea kuona wimbi la jeshi la ukraine kuweka silaha chini siku zijazoBBC wanaripoti kwamba, huko Kharkov, majeshi ya Russia yanasonga mbele kwa Kasi ya ajabu.
Hakuna tena upinzani wowote.
Na wanajeshi wa Ukraine wameamua kuweka silaha chini na kujisalimisha.
Ukiona hadi wazandiki BBC wanaripoti namna hii, jua Hali sio shwari kabisa
View attachment 2989328
Kwa sisi wapenda haki tukiona hivi tunafurahi sana.BBC wanaripoti kwamba, huko Kharkov, majeshi ya Russia yanasonga mbele kwa Kasi ya ajabu.
Hakuna tena upinzani wowote.
Na wanajeshi wa Ukraine wameamua kuweka silaha chini na kujisalimisha.
Ukiona hadi wazandiki BBC wanaripoti namna hii, jua Hali sio shwari kabisa
View attachment 2989328
Ukweli mchungu kwamba NATO kuingia vitani na Urusi ni kujitoa mhanga na kukubali nchi zao nazo zibaki magofu kuliko hata Gaza.sasa ule umoja wao wa kujihami waliunda wanini kama bado wana uoga dhidi ya mtu ambaye ni tishio juu ya maslah yao