Sio kazi rahisi kumfunga kamba 'kichaa' aliyeshika panga.
Ukichaa wa Urusi uko wapi hapo?
Mbona mmelewa propaganda kiasi zinawafanya mmekua hamuwezi hataa kuchuja mambo?
Kwamba nchi za west ndio zina akili timamu na nchi za east ndio vichaa?
Maana nchi za east na west zote zina miliki mapanga.
Lkn kwa maelezo yenu nchi za east TU ndio nchi zinazoongozwa na vichaa.
Nyie hupenda kusema Rais wa Korea kaskazini ni kichaa.
Mlikua mkisema Rais wa Korea kaskazini ni kichaa tokea Baba yake Kim Jon UN alipokua Rais. ,akaja uchukua uongozi mtoto mtu Kim Jon Un mwenyewe nae Sasa mnasema ni kichaa.Kwa hiyo ukichaa wa Viongozi wa KK ni wa kurithi?au hua unahama kutoka Kwa baba kwenda kwa mtoto?
Tuambieni basi kua ukoo wa akina Kim Jon Un ni vichaa ili tujue mapema ,maana akifa huyo kiduku Kuna uwezekano akaja Rais kutoka ukoo huohuo.
Sasa tuangalie kichaa ni yupi,Urusi alie na panga halafu hajalitumia? Ama Marekani alie na panga pia lakini keshalitumia?
Yupi ni kichaa hapa?