LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Weather nimeanzia kati, mwanzo, au mbele, there is no way unahalalisha uvamizi wa Russia kwa Ukraine.
Si sahihi kwa Us kuivamia Cuba/ jirani yake yeyote au mwengine asiye jirani na vivyo hivyo kwa Russia.
Russia anayo haki ya kunilinda mipaka yake kama ulivyo Tanzania na taifa lolote.
 
Putin hana ustaarabu wa kuyajenga, ni mbabe. Anataka yeye ndo asikilizwe
 
Kwenye jambo kama hilo Ukraine ni wa kuhurumiwa. Uliwahi kushare mpaka wa kiwanja na jirani mbabe na mwenye uwezo?.
 
Naona Ukraine kaamua kudeal na refineries za mafta.., haipiti siku bila kuzichakaza!


⚡⚡Slavyansk oil refinery in Russia’s southern Krasnodar region halted operations following a Ukrainian drone attack overnight, Interfax news agency reported. The refinery is a private plant with a capacity of 4 million metric tonnes of oil per year, about one million barrels per day.
 

Ni kama tu ambavyo USA alivyoenda kuipiga Iraq kwa kisingizio cha WMD, ambazo hakuzipata.

Basi na Russia wamuacha aidunde Ukraine then baadae atakuja kuomba radhi kama USA and allies walivyoombaga radhi kuhusu Iraq.

Ila kwa Sasa, acha Ukraine apigwe.
 
Nimesema umeanzia kuifuatilia thread hii katikakti sio Kwa Nia ya kukudharau au kukubeza,Bali nimesema Kuna wadau humu walishaelezea huko nyuma kwa kina sababu za Urusi kumvamia jirani yake yaani Ukraine.
Tena sio TU ni jirani yake Bali pia ni ndugu yake wa damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…