lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Kila mtu na rafiki yake.
Steven seagal rafiki mkubwa wa Putin
Nae Denis Rodman alikua rafiki mkubwa wa Rais wa Korea kaskazini Kim jon un kiduku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwani range ya himmars, storm shadow, scalp na atacms alizopewa zele ni ipi? Zinaweza kupiga umbali gani ndani ya Russia hata baada ya kuruhusiwa kupiga ndani ya Russia? We unadhani zaidi ya Belgorod na Crimea ambazo tayari anazishambulia, siraha alizopewa zinaweza kwenda zaidi ya hapo?Zele ashapewa go ahead ya kustrike inside russia kwa kutumia silaha anazopewa na baadhi ya allies wake taratiibu myahudi zele anazama chumban mwa babu putin, mzee kabakia kung'aka tuu ooh kuna nchi ndogondogo za ulaya nitadeal nazo🤣😂😆
Ila NATO na US si watu wazuri yaan kama utani vile taratiibu wanamwingilia babu Putin chumbani kwake......
Belgrod ilikuwa inashambuliwa kwa artillery tu..,mara hii itakuwa ni mvua ya makombora kwenye miundombinu ya kijeshi kote urusi,in fact vita inarudi kwenye ardhi ya urusi taratibu😅Mkuu kwani range ya himmars, storm shadow, scalp na atacms alizopewa zele ni ipi? Zinaweza kupiga umbali gani ndani ya Russia hata baada ya kuruhusiwa kupiga ndani ya Russia? We unadhani zaidi ya Belgorod na Crimea ambazo tayari anazishambulia, siraha alizopewa zinaweza kwenda zaidi ya hapo?
Mwingereza mwenye storm shadow na Mfaransa mwenye scalp walishamruhusu kushambulia ndani ya Russia muda mrefu hatujakiona hiki kinachokuchekesha sana sana hapa alikuwa anaomba ruhusa kwa atacms, unahisi kweli itakuwa tofauti tena kwa level hiyo unayoongelea?Belgrod ilikuwa inashambuliwa kwa artillery tu..,mara hii itakuwa ni mvua ya makombora kwenye miundombinu ya kijeshi kote urusi,in fact vita inarudi kwenye ardhi ya urusi taratibu😅
Zee Putina limebaki kulialia tu kila mara limesikika likisema russia ina nyuklia, russia ina nyuklia as if kuwa na nyuklia ni kitu cha ajaaaaaab sanaaaaaa.....Belgrod ilikuwa inashambuliwa kwa artillery tu..,mara hii itakuwa ni mvua ya makombora kwenye miundombinu ya kijeshi kote urusi,in fact vita inarudi kwenye ardhi ya urusi taratibu😅
Kwa ground anatembeza mkong'oto Si kitotoMasikini 😭😭
Jamaa alichobakiza Kwa Sasa ni malalamiko tu!
Yap! ngoja tuone ataanza kuimba wimbo gani mwingine tofauti na nyuklia, maana mikwala yake yote ya nyuklia imepuuzwa,inasemekana wakufunzi wa kijeshi kutoka ufaransa tayari wako kwenye ground huko Kyiv wakiyanoa majeshi ya Ukraine..,kwa ufupi dikiteta putin kabinywa pumbu!Zee Putina limebaki kulialia tu kila mara limesikika likisema russia ina nyuklia, russia ina nyuklia as if kuwa na nyuklia ni kitu cha ajaaaaaab sanaaaaaa.....
Yani unachekesha kweli ivi vita ina sehemu ya kupiga.walisema msaada unawakwamisha kuwazuia Warusi, baada ya kupewa msaada Warusi wamesonga mbele zaidi ya mwanzo.hayo ni maneno tu ya kuhamsha wanajeshi wao ila shughuri pale imeishaZele ashapewa go ahead ya kustrike inside russia kwa kutumia silaha anazopewa na baadhi ya allies wake taratiibu myahudi zele anazama chumban mwa babu putin, mzee kabakia kung'aka tuu ooh kuna nchi ndogondogo za ulaya nitadeal nazo🤣😂😆
Ila NATO na US si watu wazuri yaan kama utani vile taratiibu wanamwingilia babu Putin chumbani kwake......
Umeandika kwa uchungu sana mkuu.., yote Kwa yote pole sana,hakuna Jinsi kwa Sasa,jiandae kushuhudia miundombinu yoyote ya kijeshi ikichakazwa kote urusi!Yani unachekesha kweli ivi vita ina sehemu ya kupiga.walisema msaada unawakwamisha kuwazuia Warusi, baada ya kupewa msaada Warusi wamesonga mbele zaidi ya mwanzo.hayo ni maneno tu ya kuhamsha wanajeshi wao ila shughuri pale imeisha
Amka usingizini uone miundombinu ya super power inavyochakazwa kizembe!Kwa ground anatembeza mkong'oto Si kitoto
Watu wanaingia Kyev wewe ulaleta hadithi za peremende na mtotoAmka usingizini uone miundombinu ya super power inavyochakazwa kizembe!
⚡⚡The General Staff of the Armed Forces reported that the attacks on the oil terminal near the port of Kavkaz and the ferry crossing were carried out with Neptune missiles.
The enemy used the Kerch ferry crossing on the territory of the occupied Crimea for military logistics.
"The results of the target control confirm the explosions at the target points. The accuracy of hitting the targets is being further investigated," the message said.⚡⚡
Tukiendelea na ushabiki bila kuafakari ubaya wa vita vya nyuklia, kuna siku tutastukia dunia iko katikati ya vita vya nyuklia. Kulingana na Wataalam wa vita vikianza vita vya nyuklia hamna mshindi na huenda ukawa ndio mwisho wa dunia.Amka usingizini uone miundombinu ya super power inavyochakazwa kizembe!
⚡⚡The General Staff of the Armed Forces reported that the attacks on the oil terminal near the port of Kavkaz and the ferry crossing were carried out with Neptune missiles.
The enemy used the Kerch ferry crossing on the territory of the occupied Crimea for military logistics.
"The results of the target control confirm the explosions at the target points. The accuracy of hitting the targets is being further investigated," the message said.⚡⚡
Vita vya nyuklia kamwe abadani haviepukiki kumbuka ni ngumu sana tena sanaaaaaaa kutengeneza silaha halafu ikae milele pasipo kutumika, kwa kifupi duniani kuna vita nyingi sana zinakuja.Tukiendelea na ushabiki bila kuafakari ubaya wa vita vya nyuklia, kuna siku tutastukia dunia iko katikati ya vita vya nyuklia. Kulingana na Wataalam wa vita vikianza vita vya nyuklia hamna mshindi na huenda ukawa ndio mwisho wa dunia.
Amka usingizini uone miundombinu ya super power inavyochakazwa kizembe!Kwa ground anatembeza mkong'oto Si kitoto
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa Kipanya nikupe muda gani?Umeandika kwa uchungu sana mkuu.., yote Kwa yote pole sana,hakuna Jinsi kwa Sasa,jiandae kushuhudia miundombinu yoyote ya kijeshi ikichakazwa kote urusi!
We uko Tanzania nyuklia itakupataje wacha wapiganeTukiendelea na ushabiki bila kuafakari ubaya wa vita vya nyuklia, kuna siku tutastukia dunia iko katikati ya vita vya nyuklia. Kulingana na Wataalam wa vita vikianza vita vya nyuklia hamna mshindi na huenda ukawa ndio mwisho wa dunia.
Mkuu tulia, wafikiri NATO na Marekani ni wajinga hivyo wachakaze miundombinu kote Russia?Umeandika kwa uchungu sana mkuu.., yote Kwa yote pole sana,hakuna Jinsi kwa Sasa,jiandae kushuhudia miundombinu yoyote ya kijeshi ikichakazwa kote urusi!