LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Zele ashapewa go ahead ya kustrike inside russia kwa kutumia silaha anazopewa na baadhi ya allies wake taratiibu myahudi zele anazama chumban mwa babu putin, mzee kabakia kung'aka tuu ooh kuna nchi ndogondogo za ulaya nitadeal nazo🤣😂😆
Ila NATO na US si watu wazuri yaan kama utani vile taratiibu wanamwingilia babu Putin chumbani kwake......
Mkuu kwani range ya himmars, storm shadow, scalp na atacms alizopewa zele ni ipi? Zinaweza kupiga umbali gani ndani ya Russia hata baada ya kuruhusiwa kupiga ndani ya Russia? We unadhani zaidi ya Belgorod na Crimea ambazo tayari anazishambulia, siraha alizopewa zinaweza kwenda zaidi ya hapo?
 
Belgrod ilikuwa inashambuliwa kwa artillery tu..,mara hii itakuwa ni mvua ya makombora kwenye miundombinu ya kijeshi kote urusi,in fact vita inarudi kwenye ardhi ya urusi taratibu😅
 
Mwingereza mwenye storm shadow na Mfaransa mwenye scalp walishamruhusu kushambulia ndani ya Russia muda mrefu hatujakiona hiki kinachokuchekesha sana sana hapa alikuwa anaomba ruhusa kwa atacms, unahisi kweli itakuwa tofauti tena kwa level hiyo unayoongelea?
 
Belgrod ilikuwa inashambuliwa kwa artillery tu..,mara hii itakuwa ni mvua ya makombora kwenye miundombinu ya kijeshi kote urusi,in fact vita inarudi kwenye ardhi ya urusi taratibu😅
Zee Putina limebaki kulialia tu kila mara limesikika likisema russia ina nyuklia, russia ina nyuklia as if kuwa na nyuklia ni kitu cha ajaaaaaab sanaaaaaa.....
 
Yap! ngoja tuone ataanza kuimba wimbo gani mwingine tofauti na nyuklia, maana mikwala yake yote ya nyuklia imepuuzwa,inasemekana wakufunzi wa kijeshi kutoka ufaransa tayari wako kwenye ground huko Kyiv wakiyanoa majeshi ya Ukraine..,kwa ufupi dikiteta putin kabinywa pumbu!
 
Zele ashapewa go ahead ya kustrike inside russia kwa kutumia silaha anazopewa na baadhi ya allies wake taratiibu myahudi zele anazama chumban mwa babu putin, mzee kabakia kung'aka tuu ooh kuna nchi ndogondogo za ulaya nitadeal nazo🤣😂😆
Ila NATO na US si watu wazuri yaan kama utani vile taratiibu wanamwingilia babu Putin chumbani kwake......
Yani unachekesha kweli ivi vita ina sehemu ya kupiga.walisema msaada unawakwamisha kuwazuia Warusi, baada ya kupewa msaada Warusi wamesonga mbele zaidi ya mwanzo.hayo ni maneno tu ya kuhamsha wanajeshi wao ila shughuri pale imeisha
 
President Volodymyr Zelensky said he thinks Moscow's troops were "laughing" at Ukraine and were able to "hunt" its soldiers because of a ban on using Western-supplied weapons to strike inside Russia.

Speaking to the Guardian before Kyiv confirmed the ban had been partially lifted on May 31, Zelensky said it was "absolutely illogical to have (Western) weapons and see the murderers, terrorists, who are killing us from the Russian side."
 
Yani unachekesha kweli ivi vita ina sehemu ya kupiga.walisema msaada unawakwamisha kuwazuia Warusi, baada ya kupewa msaada Warusi wamesonga mbele zaidi ya mwanzo.hayo ni maneno tu ya kuhamsha wanajeshi wao ila shughuri pale imeisha
Umeandika kwa uchungu sana mkuu.., yote Kwa yote pole sana,hakuna Jinsi kwa Sasa,jiandae kushuhudia miundombinu yoyote ya kijeshi ikichakazwa kote urusi!
 
Kwa ground anatembeza mkong'oto Si kitoto
Amka usingizini uone miundombinu ya super power inavyochakazwa kizembe!

⚡⚡The General Staff of the Armed Forces reported that the attacks on the oil terminal near the port of Kavkaz and the ferry crossing were carried out with Neptune missiles.

The enemy used the Kerch ferry crossing on the territory of the occupied Crimea for military logistics.

"The results of the target control confirm the explosions at the target points. The accuracy of hitting the targets is being further investigated," the message said.⚡⚡
 
Watu wanaingia Kyev wewe ulaleta hadithi za peremende na mtoto
 
Ni mwendo wa kupiga Us
𝗧𝗵𝗲 𝗨𝗦𝗦 𝗘𝗶𝘀𝗲𝗻𝗵𝗼𝘄𝗲𝗿 𝗔𝗶𝗿𝗰𝗿𝗮𝗳𝘁 𝗖𝗮𝗿𝗿𝗶𝗲𝗿 𝗵𝗮𝘀 𝗯𝗲𝗲𝗻 𝗵𝗶𝘁 𝘄𝗶𝘁𝗵 𝗠𝗨𝗟𝗧𝗜𝗣𝗟𝗘 𝗺𝗶𝘀𝘀𝗶𝗹𝗲𝘀 𝗳𝗿𝗼𝗺 𝗬𝗲𝗺𝗲𝗻…

Yemen’s Houthis launched a missile attack on the US aircraft carrier Eisenhower in the Red Sea in response to US and British strikes on Yemen.
 
Amka usingizini uone miundombinu ya super power inavyochakazwa kizembe!

⚡⚡The General Staff of the Armed Forces reported that the attacks on the oil terminal near the port of Kavkaz and the ferry crossing were carried out with Neptune missiles.

The enemy used the Kerch ferry crossing on the territory of the occupied Crimea for military logistics.

"The results of the target control confirm the explosions at the target points. The accuracy of hitting the targets is being further investigated," the message said.⚡⚡
Tukiendelea na ushabiki bila kuafakari ubaya wa vita vya nyuklia, kuna siku tutastukia dunia iko katikati ya vita vya nyuklia. Kulingana na Wataalam wa vita vikianza vita vya nyuklia hamna mshindi na huenda ukawa ndio mwisho wa dunia.
 
Vita vya nyuklia kamwe abadani haviepukiki kumbuka ni ngumu sana tena sanaaaaaaa kutengeneza silaha halafu ikae milele pasipo kutumika, kwa kifupi duniani kuna vita nyingi sana zinakuja.
 
Kwa ground anatembeza mkong'oto Si kitoto
Amka usingizini uone miundombinu ya super power inavyochakazwa kizembe!

⚡⚡The General Staff of the Armed Forces reported that the attacks on the oil terminal near the port of Kavkaz and the ferry crossing were carried out with Neptune missiles.

The enemy used the Kerch ferry crossing on the territory of the occupied Crimea for military logistics.

"The results of the target control confirm the explosions at the target points. The accuracy of hitting the targets is being further investigated," the message said.
 
BREAKING NEWS - Putin's holiday home caught fire this morning, - Russian media Officially reports, that according to several sources, the so-called “Putin's bunker” was located here. Fires are approaching Putin even in buryatia, - Russian media.
 
Attachments

  • 1717172766323.jpg
    1717172766323.jpg
    960.5 KB · Views: 3
Tukiendelea na ushabiki bila kuafakari ubaya wa vita vya nyuklia, kuna siku tutastukia dunia iko katikati ya vita vya nyuklia. Kulingana na Wataalam wa vita vikianza vita vya nyuklia hamna mshindi na huenda ukawa ndio mwisho wa dunia.
We uko Tanzania nyuklia itakupataje wacha wapigane
 
Umeandika kwa uchungu sana mkuu.., yote Kwa yote pole sana,hakuna Jinsi kwa Sasa,jiandae kushuhudia miundombinu yoyote ya kijeshi ikichakazwa kote urusi!
Mkuu tulia, wafikiri NATO na Marekani ni wajinga hivyo wachakaze miundombinu kote Russia?

Wao (NATO na Marekani) walipanga kitambo Kharkiv pawe ndio centre yao kwa kila kitu pamoja na kuishambulia Russia kupitia mpakani na Belgorod.

Kwa kuwa majeshi ya Russia mara baada ya kufanya mashambulizi yao pale Kharkiv hurudi Belgorod na kujipanga upya hivyo kuwa na uwezo kuwazidi majeshi ya Ukraine.

Ndo maana Ukraine wataka kutumia makombora ya masafa marefu ili kuvuruga ile regroup ya majeshi ya Russia na kila kifaa walo nacho.

Ila ukimbuke kwamba mikono ya Ukraine imeshikwa na NATO kutumia vifaa vya kivita hivyo majeshi yake kuwa legitimate target.

Ila fact yabaki kuwa Ukraine itaweza kukosea mahesabu na makombora kupita Belgorod kwenda ndani zaidi ya Russia na hiyo ndo itakuwa vita kamili ya tatu ya Dunia.
 
Back
Top Bottom