kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Punde tu Wala si mbali![emoji23][emoji23][emoji23] sawa Kipanya nikupe muda gani?
Watu wengi waliodhani ni skins nani na wangapi?... Hayo ni mawazo yako.Mkuu mwaka wa pili huu NATO wanafanya vikao Kila siku wakati Urusi anaipiga Ukraine Kila siku na kuteka miji.
Vipi mbona USA na NATO hawafanyi kama walivyofanya kwa Iraq,pale Iraq
alipoivamia Kuwait ?
Ama USA na NATO yake hawafanyi kitu kwa Urusi kama walichofanya kwa Yugoslavia pale Yugoslavia alipokua
akiwapiga akina Bosnia and Herzegovina,Kosovo na wenzao?.
Au hata kuweka no fly zone TU kwa Ukraine?
Au hata kudungua TU makombora ya Urusi kama walivyofanya juzi TU pale Iran iliporusha mamia ya drone na maroketi?
Marekani anasubiri Nini Sasa,au anataka Ukraine iporwe majimbo yote?
Kitu ambacho watu wengi walitarajia USA angefanya kwa Urusi ni kuingia kijeshi rasmi kama alivyofanya kwa akina Iraq,Yugoslavia na Afghanistan.
Bunge la USA liridhie na tuone majeshi yakielekea Ukraine .
Vita ya tatu kamili si ndiyo?😂😂😂😂Mkuu tulia, wafikiri NATO na Marekani ni wajinga hivyo wachakaze miundombinu kote Russia?
Wao (NATO na Marekani) walipanga kitambo Kharkiv pawe ndio centre yao kwa kila kitu pamoja na kuishambulia Russia kupitia mpakani na Belgorod.
Kwa kuwa majeshi ya Russia mara baada ya kufanya mashambulizi yao pale Kharkiv hurudi Belgorod na kujipanga upya hivyo kuwa na uwezo kuwazidi majeshi ya Ukraine.
Ndo maana Ukraine wataka kutumia makombora ya masafa marefu ili kuvuruga ile regroup ya majeshi ya Russia na kila kifaa walo nacho.
Ila ukimbuke kwamba mikono ya Ukraine imeshikwa na NATO kutumia vifaa vya kivita hivyo majeshi yake kuwa legitimate target.
Ila fact yabaki kuwa Ukraine itaweza kukosea mahesabu na makombora kupita Belgorod kwenda ndani zaidi ya Russia na hiyo ndo itakuwa vita kamili ya tatu ya Dunia.
Yanalipuliwa na wanamgambo wa Yemen. 😆😆
Ni mtu mjinga tu anayeweza kufikiri NATO inaweza kujiamulia kushambulia popote urusi nchi ambayo ina nuclearUmeandika kwa uchungu sana mkuu.., yote Kwa yote pole sana,hakuna Jinsi kwa Sasa,jiandae kushuhudia miundombinu yoyote ya kijeshi ikichakazwa kote urusi!
Lakini si tulikuwa tunafanya mazoezi ya silaha za nyuklia Ili tukianza kushambuliwa kwa silaha za NATO basi tufyatue nyuklia!? Imekuwaje Tena 🤣🤣Ruhusa ya kupiga silaha za NATO kwa upande wa Russia hazita badilisha kitu Wala kurudisha maeneo badala yake kipigo kitaongezeka kwa NATO.
Nadhani wewe utakua hujafuatilia komenti za wadau wengi humu toka mwanzo,na hata kwenye nyuzi nyingine za smo hii.Watu wengi waliodhani ni skins nani na wangapi?... Hayo ni mawazo yako.