Kwa vile its very difficult kutarget kichwa. Mara zote human head huwa hakitulii, huzunguka huku na kule. Ngumu sana kwa snipper kuaim kichwa.Hivi wakuu, kwanini mtu anavaa bullet proof kifuani huku kichwa kikiwa kitupu?
Nkuba usichokijua ni usiku wa giza.Watu ni mambumbu wa mambo mengi,sasa sisi tunaojua tukijaribu kuwaelimisha,wanagima,ni ajabu sana.Ila ni upuuzi tu,utapingaje kitu ambacho huna uhakika nacho?Haya mambo ya Ukraine kuuza viungo vya askari alikuwa anasemaga sana mkuu Mathanzua
Watu walikuwa wanampinga, ila Sasa ukweli unaanza kufichuka.
View attachment 3009544
Huu ni muendelezo tu wa biashara haramu ya human products.Na unajua kwa nini wanafanya hivi,wanaume wamepungua sana,so they want the remaining ili biashara ya viungo iendelee.Nkuba Ukraine is evil beyond measure.Ukraine watamalizana:
Naibu Waziri mkuu wa Ukraine amesema kuanzia Sasa wataajiri wanawake TU kwa ajili ya kufanya shughuli za kukamata kinguvu raia ili wakapigane vita (conscription)
Wanaume waliokuwa wanafanya hizo shughuli wanatakiwa waende vitani.
View attachment 3009554
The fact that the dark scheme runs so smoothly, unhampered and under the auspices of legal international protocols is very telling about the powerful people and multinational corporations behind it.This war is a money-making scam.
Sasa Unataka Avae nini mzee gunia? Nyie Rais wa Iran alijichanganya kidogo mkaondoka naeUkiangalia hii picha kwa umakini inathibitisha kabisa jamaa anavaa bullet proof!
Comedian putinya katika ubora wake.....Vile vyenye na wish iwe hata kesho, π Vlad unakawia wapi mzee ha ha ha...
View attachment 3009749
π·πΊπΊπΈπ«π·π¬π§π¨βΌοΈ BREAKING: Russia will deliver the same type of weapons to conflict zones to strike western assets of those countries that deliver weapons to Ukraine!
Yemenis are rubbing their hands right now!