LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Haya mambo ya Ukraine kuuza viungo vya askari alikuwa anasemaga sana mkuu Mathanzua

Watu walikuwa wanampinga, ila Sasa ukweli unaanza kufichuka.


Screenshot_20240605-181707.jpg
 
Haya mambo ya Ukraine kuuza viungo vya askari alikuwa anasemaga sana mkuu Mathanzua

Watu walikuwa wanampinga, ila Sasa ukweli unaanza kufichuka.


View attachment 3009544
Nkuba usichokijua ni usiku wa giza.Watu ni mambumbu wa mambo mengi,sasa sisi tunaojua tukijaribu kuwaelimisha,wanagima,ni ajabu sana.Ila ni upuuzi tu,utapingaje kitu ambacho huna uhakika nacho?

Anyway,biashara ya human products ni kubwa sana Duniani siku hizi,ni multibillion dollar business na wala sio Ukraine tu,it is all over the World.

Hata C-19 ilitumika sana kama cover ya human products sale.Si unajua wakati wa Covid serikali zilijipa mandate ya kuzika watu waliodaiwa wamekufa kwa Covid,kumbe ilikuwa mbinu tu ya ku-harvest products.Watu hasa nchi za Ulaya wameuliwa sana.Madaktari na Hospitali zililipwa hela nyingi sana,kwa viungo, lakini pia ili ionekane kwamba tatizo ni kubwa,ili watu wakubali chanjo,ambayo ndiyo hasa iliyokuwa nia.
 
Ukraine watamalizana:

Naibu Waziri mkuu wa Ukraine amesema kuanzia Sasa wataajiri wanawake TU kwa ajili ya kufanya shughuli za kukamata kinguvu raia ili wakapigane vita (conscription)

Wanaume waliokuwa wanafanya hizo shughuli wanatakiwa waende vitani.
View attachment 3009554
Huu ni muendelezo tu wa biashara haramu ya human products.Na unajua kwa nini wanafanya hivi,wanaume wamepungua sana,so they want the remaining ili biashara ya viungo iendelee.Nkuba Ukraine is evil beyond measure.
 
Vile vyenye na wish iwe hata kesho, 😅 Vlad unakawia wapi mzee ha ha ha...
View attachment 3009749
🇷🇺🇺🇸🇫🇷🇬🇧🚨‼️ BREAKING: Russia will deliver the same type of weapons to conflict zones to strike western assets of those countries that deliver weapons to Ukraine!

Yemenis are rubbing their hands right now!
Comedian putinya katika ubora wake.....
 
Ni mwendo wa kipigo kwa west
"Russia will supply its long-range weapons to regions of the world, from where there will be sensitive attacks on countries supplying weapons to Ukraine."

I think Yemen is on top of the list, and has the best odds to sunk some aircraft carriers.
 
Back
Top Bottom