Nkuba25
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,344
- 13,034
Watu wameenda North Korea ku load Tena mzigo wa silaha za maangamizi.
Putin alisema, next terms of ceasefire hazitakuwa Tena kama hizi nazowapa Sasa hivi. Next terms zitakuwa zingine kabisa.
LGBTQ wakaona kama anatania. Sasa wanaanza kupiga kelele.