permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Kwa sasa Ukraine wanaifanyia Urusi "Special Military Operation ". Ukraine mpe Solana tu kwa wakati, kilio kitasikika upande wa pili. Hivi hii ndio Urusi wanasema inaweza kupigana na NATO? nje ya nuclear weapons, NATO wanahitaji mwezi kuiteka Urusi.Naam, ni takriban elf Moja na miambili walilambishwa mchanga Jana 🥱 🥱 🥱 🥱 🥱