Halafu hao wanajeshi wa zele anaowapeleka bila mafunzo wanakufa kama kuku Sasa pendekezo la amani litakuwa zaidi ya mikoa sita ikiwemo Odessa na kharkiv.Watu wameenda North Korea ku load Tena mzigo wa silaha za maangamizi.
Putin alisema, next terms of ceasefire hazitakuwa Tena kama hizi nazowapa Sasa hivi. Next terms zitakuwa zingine kabisa.
LGBTQ wakaona kama anatania. Sasa wanaanza kupiga kelele.
Mwanzo wa ngoma ni lele
Us aliwrza atleast kumtisha kidogo Korea kaskazini akiwa peke yake Ila kuungana na mrusi ndio Hana uwezo Tena wa kumpangia masharti.
This is what watu wanasema "Karma is bitch π₯±"Us aliwrza atleast kumtisha kidogo Korea kaskazini akiwa peke yake Ila kuungana na mrusi ndio Hana uwezo Tena wa kumpangia masharti.
Japan na Korea kusini nao wanajua kabisa marekani hataweza kumdhibiti mrusi, si muda mrefu nchi nyingine Kama Cuba zitajiunga na mrusi na hii itakuwa mwanzo wa kurudi vita baridi. hawatawrza tena