Si kwamba anajiuzulu kupisha uchaguzi?Mwisho wa kunukuu huyu si alijidai mwamba pale kiev.
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1809013118862790978?t=OsBxN1t-9cd9gQxBE_aa6g&s=19
Ameshindwa Uchaguzi.Si kwamba anajiuzulu kupisha uchaguzi?
Chama cha Labour kimeshinda Viti vya Wabunge 400 kati ya Viti 650. Tayari Bw. Riki Sunak (Waziri Mkuu wa Uingereza) amekipongeza Chama cha Labour kwa ushindi huo.Si kwamba anajiuzulu kupisha uchaguzi?
Hii ipo Dunia nzima ukileta majadiliano jeshini hasa kipindi kigumu Cha vita utakwenda na maji tu. Katika kipindi hiki wakuu kadhaa tu ndio hujadiliana yaani Rais, majenerali na wachache wengine. Huku chini wote unapokea maelekezo eitha unataka au hutaki.
Soon gonna be a backbencher.Mwisho wa kunukuu huyu si alijidai mwamba pale kiev.
Hii SMO huko Ukraine imeishaonyesha impact kule Uingereza .Naona uchaguzi wa US hautakuwa na impact yoyote kwenye hii vita!
Hii smo imekula vichwa vya Viongozi kadhaa wa UK.Hii SMO huko Ukraine imeishaonyesha impact kule Uingereza .
===
British Prime Minister Rishi Sunak has announced that he will be stepping down as the leader of the Conservatives after his party’s disastrous performance in the general election on Thursday.
Dawa yenu ni kuwatwanga facts tu.., maana mmekuwa kama mazombi!Hii smo imekula vichwa vya Viongozi kadhaa wa UK.
Alianza Boris Johnson na Sasa sunak,............loading