Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

‼️"We will not win this war without women, there aren't enough men"‼️

Mass mobilization of women is being openly discussed again on Ukrainian TV

The Zelensky government has become so desperate that mass Mobilization of women is now openly being discussed. The reality remains Ukraine is most likely unable to win this war.

Despite everything the Russians has faced Vladimir Putin is most unlikely to lose to the West and that's a fact. Putin has more to lose if he loses in Ukraine.
 
🇧🇾 Military personnel of the People's Liberation Army of China arrived in the Republic of Belarus.

Military personnel will take part in joint anti-terrorism exercises, which will take place from July 8 to July 19.
Mipango inafanywa kwa akilia sana.
Hapa utasikia Iran nao wanatuma kikosi maalumu chechinia kufunya mazoezi ya pamoja na vikosi vya Kadryokov.
Kumbe anasubiriwa mtu.
 
Mipango inafanywa kwa akilia sana.
Hapa utasikia Iran nao wanatuma kikosi maalumu chechinia kufunya mazoezi ya pamoja na vikosi vya Kadryokov.
Kumbe anasubiriwa mtu.
Hao wanakwenda kushika ulinzi wa Belarus wakati wanajeshi wa Russia wao wataenda mstari wa mbele kama ilivyo Kwa wale wakorea kask watalimda liberated areas wakati warusi watapata fursa ya kusomga mbele. Hii ni njia nzuri ya kutransfer silaha Kwa kisi gizio Cha mazoezi yaani mazoezi yakiisha hakuna kinachorudi. Pia ni njia ya maadui wa NATO kujifunza Kwa kifuatilia vita halisi ya kisasa zaidi na kuwajua NATO. V
 
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍🤝🤝🤝🙏🙏🙏🇷🇺💪
Umeandikwa ukweli mtupu.
 
1720338461728.png
 
Ngoja nifukue tena kaburi
Wakati SMO inaendelea kuna yule yule mchafuzi maarufu hapa jf alisema kwamba eti kupitia SMO inayoendelea pale UKRAINE kwamba RUSSIA inaenda kupoteza ushawishi wake wakijeshi duniani
Ila sasa chakushangaza majambo yamekua kinyume nyume yaani SMO anapigana RUSSIA ila ushawishi anapoteza Americant na Frnce
Tokea yule mzee mmoja kunambia kwamba hii SMO hata ipiganwe miaka mia RUSSIA haitakaa ashindwe nadiriki kusema hata wana jf wote kama mutaungana kua pro UKRAINE basi nipo tayari kubakia mie mwenyewe na kusimamia maneno ya yule mzeee
 
Kila amalizae kuongea na Putin baadae ni lazima aje ammwagie sifa kua ni mtu mwenye karama kubwa sana.
Kwanza Putin ni mzungumzaji anayevutia Kwa lugha yake. Fuatilia namna ambavyo hua anawajibu wanahabari wa kimagharibi wanapopata nafasi ya kuchonga nae live.
Swali gumu anajibu vizuri Hadi mwanahabari anajikuta kilaza
 
Halafu kuna nyani na sokwemtu za samia zina tuambia tuanguke na kusujudia mabeberu na waarabu....lilivyo ngese likakubali chanjo feki za majaribia zitumike kwa manyani 🐒na masokwe 🦧 ya tanzania...mwiteni na yule sokwe wa hiyari wa kenya aje ajione MK254
Dah alichomfanyia huyo dada ni fedheha. Ndo maana sinaga shobo nao hata wakija bongoland
 
Ngoja nifukue tena kaburi
Wakati SMO inaendelea kuna yule yule mchafuzi maarufu hapa jf alisema kwamba eti kupitia SMO inayoendelea pale UKRAINE kwamba RUSSIA inaenda kupoteza ushawishi wake wakijeshi duniani
Ila sasa chakushangaza majambo yamekua kinyume nyume yaani SMO anapigana RUSSIA ila ushawishi anapoteza Americant na Frnce
Tokea yule mzee mmoja kunambia kwamba hii SMO hata ipiganwe miaka mia RUSSIA haitakaa ashindwe nadiriki kusema hata wana jf wote kama mutaungana kua pro UKRAINE basi nipo tayari kubakia mie mwenyewe na kusimamia maneno ya yule mzeee
Niko pamoja na wewe mwamba.
Wengi tunajua hivyo toka zamani kua Urusi sio Iraq ya kushindwa kirahisi na west.
 
Kwanza Putin ni mzungumzaji anayevutia Kwa lugha yake. Fuatilia namna ambavyo hua anawajibu wanahabari wa kimagharibi wanapopata nafasi ya kuchonga nae live.
Swali gumu anajibu vizuri Hadi mwanahabari anajikuta kilaza
Ha ha ha haa! Turker Curson badala ya kuhoji akageuka kua mwanafunzi wa historia.
 
View attachment 3035192View attachment 3035193
Hawa wahuni siku watakayoamua kuingiana mwilini hakuna atakayebaki salama.

Kuna mambo mengi yanafanyika nyuma ya pazia tusipyafahamu yanayowahusu mabwana hawa.
Ukrainian missiles would not have reached their targets, including in Sevastopol, without direct U.S. involvement in targeting, and as for Russia's response,

"you will find out in the foreseeable future" — Lavrov.
 
Back
Top Bottom