jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,037
- 15,839
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah haijakaa poa🙂***** hawa miungu watu.
Sasa kipanya anasemajeLeo imefanyika kazi nzuri sana pale UKRAINE safi sana
AD za magharibi dhidi ya UKRAINE zimefeli mazima mazima na jumla jumla yaani
Alikuwepo kyiev kwenye karakana ya kutengeneza mabomu Leo hii kabla ya khinzal haijafanya yake.Kipanya where are you??
Hehee hpana MKUU za mwaka huu kama miezi miwili nyuma