uyu mzee wampumzishe kwa maslahi ya umma😀
Alikuwepo kyiev kwenye karakana ya kutengeneza mabomu Leo hii kabla ya khinzal haijafanya yake.
Sasa sijui kama katoboa au la.
Huu ni mwaka wa mavuno kwa wanasayansi wa silaha wa Urusi.
Akija utaskia naaam wamelambiswha mchanga warusi 16000980000Natamani kipanya aje atoe neno kuhusu kazi ya .jana
Na yeye kalambishwaRais wa mamluki Kipanya jana na leo usomeki kwenye jukwaa hapa.
Kipanya leo kajificha migori chini ya daraja,we ndio ndugu wa
Zele boy.
Njoo utuambie kinachojili uko kiv wangapi wamelambishwa mchanga wa ukrn.
KAZI yetu ni kuendelea kuwalambisha mchanga tu..,hii Jana tu , zaidi ya elf Moja na miambili walilambishwa mchanga 🥱 🥱 🥱Natamani kipanya aje atoe neno kuhusu kazi ya .jana