Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Huyu ndiye kp kipanya44 tunayemfahamu sasa. Japo leo kasahau kuanza na naam!KAZI yetu ni kuendelea kuwalambisha mchanga tu..,hii Jana tu , zaidi ya elf Moja na miambili walilambishwa mchanga 🥱 🥱 🥱
KAZI yetu ni kuendelea kuwalambisha mchanga tu..,hii Jana tu , zaidi ya elf Moja na miambili walilambishwa mchanga 🥱 🥱 🥱
Ana roho ngumu huyo jamaa ,nilishawahi kuuomba uongozi wa jf umtoe huyu jamaa anaweza hata kutuua humu mtu gani huyu ,wenzake woote alioanza nao hakuna hata mmoja yeye sasaAisee!! Wewe unatakiwa ujengewe sanamu pale kiev
Ngoja wataalamu waje watufafanulie vyemaJamani Kuna kitu sikielewi naomba wajuvi wanielezee ,hivi hii mifumo ya silaha inayopelekwa vitani Kama AD, multiple rocket launchers na EW systems wanafahamu kabisa adui anaweza kuikamata na kuistudy Kisha kuja na anti-dote , Sasa wanaodeploy hiyo mifumo ya silaha huwa wanachukua hatua gani kuepuka adui kusoma mifumo yao ya silaha
Katika ulimwengu wa vita, hilo haliwezi kuepukika kabisa asilimia 100.Jamani Kuna kitu sikielewi naomba wajuvi wanielezee ,hivi hii mifumo ya silaha inayopelekwa vitani Kama AD, multiple rocket launchers na EW systems wanafahamu kabisa adui anaweza kuikamata na kuistudy Kisha kuja na anti-dote , Sasa wanaodeploy hiyo mifumo ya silaha huwa wanachukua hatua gani kuepuka adui kusoma mifumo yao ya silaha
Mwaka huu west wanalo.⚡Saudi Arabia Threatened to Dump Billions in European Debt Over Russian Asset Seizure - Bloomberg
According to Bloomberg, Saudi Arabia privately indicated earlier this year that it might sell some European debt holdings if the G7 decided to seize nearly $300 billion of Russia's frozen assets. The kingdom’s finance ministry expressed its opposition to this idea, which was intended to support Ukraine, to some G7 counterparts.
The sources suggested that Saudi Arabia's stance influenced these countries. They preferred to remain anonymous. While the kingdom's holdings in euro and French bonds could total tens of billions of euros, they might not cause a major impact if sold. European officials were concerned about the possibility of other countries following Saudi Arabia's lead.
Huyu pro gani🇸🇰⚡- "Dear progressive media and opposition, sorry, I survived, but I'm back." – Robert Fico, Slovak Prime Minister, has returned to work.
Walikua wanaona Putin anaumwa ,lakini wakaona Biden ni mzima wa afya.Nimekumbuka mchafuzi fulani hapa alituambia kwamba PUT IN anaumwa nanini sijui
Akasema kama huamini muangalie anavyotembea mutajua kama kweli anaumwa
Kuumwa sio jipya kwa mwanadamu wala sio aibu kwenye haya maisha tulokua nayo
Ila wale wachafuzi wao wanajifanya kila engo wanajua kuchafua😀
Huyu ni kama Orban,hapendi vita hivi na hapendi Urusi kuwekewa vikwazo,alitaka vita vikomeshwe, Ma ajenti wa NATO wakamla kichwa lkn Mungu hakuridhia.Huyu pro gani
Kama pro upinde si angeenda tu huko mshenzi
Kama pro haki basi alotaka kumuua alaaniwe