lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Aaache ujinga tunamtegemea apambane kukomboa maeneo yake yalotekwa na mvamizi
🇺🇦🇷🇺🇨🇳⚡️Kiev is ready to negotiate with the Russian side, Kuleba said in a conversation with the head of the Chinese Foreign MinistryUkraine wanayo sababu.
Hawataki Russia awapangie maisha.
Nilivyoona Zelensky anamwagiza Kuleba (Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine) aende China. Nikajua tayari Zelensky anaenda kurusha taulo.🇺🇦🇷🇺🇨🇳⚡️Kiev is ready to negotiate with the Russian side, Kuleba said in a conversation with the head of the Chinese Foreign Ministry
Halafu kuna watu munamuona Ukraine ana akili
Wakikaa mezani kuongea na Russia wajue yale yale waloyakataa mwanzo wanatakiwa wayakubali kama sharti namba moja la kumfanya PUT IN apeleke team ya wapatanishi sehemu ya mazungumzo
Ila wanasiasa watu wabaya sana hawa wapuuzi watapatana kwa yale yale waloyakatalia mwanzo na wataelewana
Wakati tokea mwanzo wangeyaongea
Wapi nilipo onesha kuwa Ukrain haina akili?.🇺🇦🇷🇺🇨🇳⚡️Kiev is ready to negotiate with the Russian side, Kuleba said in a conversation with the head of the Chinese Foreign Ministry
Halafu kuna watu munamuona Ukraine ana akili
Wakikaa mezani kuongea na Russia wajue yale yale waloyakataa mwanzo wanatakiwa wayakubali kama sharti namba moja la kumfanya PUT IN apeleke team ya wapatanishi sehemu ya mazungumzo
Ila wanasiasa watu wabaya sana hawa wapuuzi watapatana kwa yale yale waloyakatalia mwanzo na wataelewana
Wakati tokea mwanzo wangeyaongea
Juzi hapa nilisema kwamba RUSSIA kwasasa anaonekana kuitaka zaidi hii SMO yake iendelee zaidi ya ilivyokua mwanzo sababu mahesabu yake yameenda vyema zaidi ya alivyotarajiaNilivyoona Zelensky anamwagiza Kuleba (Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine) aende China. Nikajua tayari Zelensky anaenda kurusha taulo.
🇷🇺The head of the Ukrainian Foreign Ministry Dmitry Kuleba said that Russia is currently not showing readiness to negotiate with Ukraine.
Kwahiyo makalio yapo wazi.Nilivyoona Zelensky anamwagiza Kuleba (Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine) aende China. Nikajua tayari Zelensky anaenda kurusha taulo.
Hapana hujasema Ukraine hana akili mie ndio nayasema hayoWapi nilipo onesha kuwa Ukrain haina akili?.
Kama masharti ya Russia yatakubaliwa na Ukraine nikwasababu Russia anao msuli mkubwa, na si uhalali wa wadai yake.
.... Precedent ni kuwa mwenye nguvu ndo mwenye haki?.......
Kwani kipanya wetu WA kwenye Uzi huu anasemaje?!?!Juzi hapa nilisema kwamba RUSSIA kwasasa anaonekana kuitaka zaidi hii SMO yake iendelee zaidi ya ilivyokua mwanzo sababu mahesabu yake yameenda vyema zaidi ya alivyotarajia
Leo Kuleba analalama kwamba RUSSIA wanaonesha kutokua tayari kwa mazungumzo wakati awali wakati wanataka mazungumzo kina dimitro waligomea na wafuasi wao hapa Jf wakawaunga mkono leo kiko wapi sasa ?
Kwasasa namna hali ilivyo sidhanii kama Russia atakubali mazungumzo yeyote na Ukraine
Kwanza majuzi hapa washaanza sababu ijapokua zamsingi kwamba hawawezi kuongea na Elensky sababu sii raisi halali wa Ukraine
Ngoja tuone ila Ukraine inatakiwa isiwepo sababu ya akili mbovu za Elensky