Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,767
- 6,862
Hapa ndio hua naona NATO wanafeli. Unajenga kiwanda cha mabilioni ya fedha ambacho kinachukua muda mwingi kukamilika then kinakuja kuharibiwa kwa siku moja na bomu la bei nafuu kabisa.The German arms manufacturer Rheinmetall announced on July 24 that it had received an order from the Ukrainian government to begin the construction of an ammunition factory in Ukraine.
Kuna mataifa ukishapakana nayo mpaka automatically utapangiwa tu maisha. Kuna mataifa yako sensitive kwenye usalama wao kwa sasa ni USA, Russia na China. Huwezi kupakana na haya mataifa halafu uyaletee u snitch lazima wakutie pressure either kiuchumi au kijeshi kabisa ukionekana kichwa kibovu. Kama unabisha niambie hadi leo US hawaelewani na Cuba kwa nini.Ukraine wanayo sababu.
Hawataki Russia awapangie maisha.
Wasielewane lkn aheshimu mipaka yao. Si kuwameza na kutafuta kabisa kama Putin anavyotaka.Kuna mataifa ukishapakana nayo mpaka automatically utapangiwa tu maisha. Kuna mataifa yako sensitive kwenye usalama wao kwa sasa ni USA, Russia na China. Huwezi kupakana na haya mataifa halafu uyaletee u snitch lazima wakutie pressure either kiuchumi au kijeshi kabisa ukionekana kichwa kibovu. Kama unabisha niambie hadi leo US hawaelewani na Cuba kwa nini.
Kipanya anasema leo wamewachinja warusi 1954😀😀😀Kwani kipanya wetu WA kwenye Uzi huu anasemaje?!?!
Shida yenu hamfuatilii majambo au mnafuatilia ila mmeamua tu kufumba machoWasielewane lkn aheshimu mipaka yao. Si kuwameza na kutafuta kabisa kama Putin anavyotaka.
Naàm warusi wanazid kulambishwa mchangaKwani kipanya wetu WA kwenye Uzi huu anasemaje?!?!
www.forbes.com
TOO LATE....Russia kwenye mazungumzo yoyote ni lazima atataka NATO warudishe mali zote za urusi na warusi walizo zitaifisha hapo sasa ndiyo kimbembe kwa hayo mazungumzo .Ukraine officially announces readiness for peace talks with Russia
Ukraine officially ready to start negotiations with Russia
24.07.2024 13:52
Ukraine is ready to negotiate with Russian, Ukrainian Foreign Minister Dmytro Kuleba said in a conversation with his Chinese counterpart Wang Yi.
Ukraine officially ready to start negotiations with Russia
"The Ukrainian side is willing and ready to conduct dialogue and negotiations with the Russian side. Of course, negotiations must be rational and have practical significance, aimed at achieving a just and lasting peace,” Kuleba said, as quoted by Mao Ning, a Chinese diplomatic representative.
The day before, Kuleba arrived in China for the first time since the beginning of the conflict. He became the highest-ranking Ukrainian official to have visited Beijing since the beginning of the conflict. The minister announced a discussion of ways to peacefully resolve the crisis. During the conversation, Wang Yi told his Ukrainian counterpart that the settlement of the conflict in Ukraine should take place at the negotiating table.
Dmytro Kuleba and Wang Yi talked for more than three hours.