passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Yaleyale yakusema urusi imeishiwa silaha.Russian men and materiel losses in Ukraine are so high the Kremlin is having "serious problems" recruiting new contract soldiers, and is relying on decommissioning Soviet-era weapons as it can't produce enough modern versions, Ukraine's military intelligence (HUR) spokesperson said on July 26.
Mbona serikali ya Marekani inadaiwa pesa nyingi sana kama haihitaji pesa ya mtu!Marekani haihitaji fedha ya mtu. Kiuchumi ni dubwana kubwa sana
Propaganda at work. Sasa hivi Mrusi anateka kijiji na miji kwa kasi kubwa. Halafu wapiganaji wa Ukraine wanajisalimisha na wengine wanagoma kwenda mstari wa mbele. Kitu anachofanya Ukraine kwa sasa ni kupigana vita ya kustukiza na kuvizia (guerrilla war). Wameshindwa kupigana vita ya kujipanga. Aidha, Wanajeshi wa Ukraine wameambiwa na viongozi wao wakiona kuna hatari ya kuawa wafanye retreat.Yaleyale yakusema urusi imeishiwa silaha.
Ha ha haa,kwamba mshindi ndio hua anatoa masharti.TOO LATE....Russia kwenye mazungumzo yoyote ni lazima atataka NATO warudishe mali zote za urusi na warusi walizo zitaifisha hapo sasa ndiyo kimbembe kwa hayo mazungumzo .
UKRAINE. KURUSHA TAULO KABLA YA XMASS. KISHA NATO KUMCHINJA ZELEHa ha haa,kwamba mshindi ndio hua anatoa masharti.
Poland has handed over the 45th package of military aid to Ukraine, reports Rzeczpospolita.Yaleyale yakusema urusi imeishiwa silaha.
Si urusi anapigana na NATO,? Kwa hiyo NATO imeshaishiwa wapiganaji?πSilaha sawa. Ila nani atatumia hizo silaha wakati hakuna wapiganaji?
Angekuwa anapigana NATO angezoa vijiji na miji kirahisi namna hiyo. NATO ni muungano wa nchi zenye majeshi yenye nguvu sana na weledi katika uwanja wa vita. Sio kwamba NATO hawapo ila wanakuwa katika maeneo na vitengo nyeti tu sio infatriar.Si urusi anapigana na NATO,? Kwa hiyo NATO imeshaishiwa wapiganaji?π
Umesahau kwamba Marekani ndiye kinara wa kupoka mafuta na madini na rasilimali watu kutoka mataifa mbalimbali?Marekani haihitaji fedha ya mtu. Kiuchumi ni dubwana kubwa sana
Safi sana ,umekuwa mkweli kwa kuwakata vilimi wanaosema urusi anapigana na NATO na sio Ukraine!Angekuwa anapigana NATO angezoa vijiji na miji kirahisi namna hiyo. NATO ni muungano wa nchi zenye majeshi yenye nguvu sana na weledi katika uwanja wa vita. Sio kwamba NATO hawapo ila wanakuwa katika maeneo na vitengo nyeti tu sio infatriar.
Vp kama list iko biased, au wame distribute wealth chainOrodha ya nchi zenye mamilionea urusi hayupo hata top tenπ π€£View attachment 3053404
Kama Iko biased sidhani kama chombo chenye weredi kama Al Jazeera wangeandika!Vp kama list iko biased, au wame distribute wealth chain
Trust me hii list either iko biased au Aljazeera walikosa taarifa za madon wa Urusi hamna namna Russia nzima itakosa $ millionaires. Ila pia hata kama hawapo huenda ni kwa vikwazo mlivyowapiga na ku confiscate assets zao.Orodha ya nchi zenye mamilionea urusi hayupo hata top tenπ π€£View attachment 3053404
Mmmh, basi SawaKama Iko biased sidhani kama chombo chenye weredi kama Al Jazeera wangeandika!