Hii comparison uliyotoa sio sahii, kuanzia interm of manpower and financialUrusi ni incompetent kwenye mambo mengi jeshini, kinachoibeba ni numbers na landmass. Ukraine sio level za kijeshi za Urusi hivyo sio ulinganifu sahihi, Man City kuifunga Yanga sio ajabu ila ni ajabu Man City kukoswakoswa na kufunga goli dakika ya 89 wakati kwa kulinganisha vikosi tunatarajia ishinde goli hata nne tano uko. Urusi ilitakiwa iwe imemaliza vita, superpower unapigana na jirani mnyonge muda wote huu. Sasa ingekuwa dhidi ya China ingekuwaje au dhidi ya Brazil waliopo maelfu ya kilomita mbali.
Russia iko competent kiuchumi ila kijeshi sio sana. Mlikuwa mnanifokea humu ila sasa hata Putin mwenyewe alichagua Waziri wa Ulinzi mwanauchumi. Hata kipenzi chenu Prigozhin alilalamikia suala hili.
Wataalamu wa uchumi ndio wameifanya Urusi isimame kwa heshima.
Taleban haijawahi shinda battle yoyote na Marekani, sembuse vita. Aliyekuwa kiongozi wao wakati Marekani inaenda alikuwa Mullah Omar, Marekani ikafika akakimbia kujificha. Taleban ilishinda vipi at the same time kiongozi wao kakimbilia Pakistan mafichoni? Na Taleban ikaachia madaraka.Usichanganye mambo bwana mdog..kuna utofauti Kati ya kushinda vita na kushinda battle...
Maelezo yako ya marekani kuipiga Afghanistan in two months so kweli, ilishinda its main battle in two months.... Ila wataleban walishinda vita ..same Kwa wavietnam walishinda vita.
Ufaransa iko kilomita 11,000 kutoka Vietnam. Warships, missiles, fighter aircrafts, artillery, troops, ammunition, fuel na almost resources zote kasoro vyakula vilikuwa vinatoka far away na ikapigana ikashindwa.Kusema Ufaransa alisafiri km 11000 kupigana na Vietnam Si kweli, japo kuna support ya wanajeshi toka main land France waliparticipate vitani.. ila usisahau Ufaransa anavikalia visiwa vingi Sana Bahari ya Pacific na anamilitary bases pale ambazo ziko few miles from the battle field.
Manpower ipi wakati Russia inafanya mobilization kwenye population ambayo ni kubwa kuliko ya Ukraine, na Russia ni jeshi la tatu duniani kwa idadi ya wanajeshi active.Hii comparison uliyotoa sio sahii, kuanzia interm of manpower and financial
Sababu ukijumlisha back-up aliyonayo Urusi na Ukraine, Ukraine alitakiwa awe na upper hand.
Kuanzia
1.Financial aid anayopewa Ukraine inakaribia kuwa entire budget ya Urusi
2.Manpowe (Military personnel) kwa cover ya foreign Legion
3.Military aid equipment
Kwa kuwa wewe ni expert, haya unayajua vizuri. Ila mapenzi huwa yanatufanya tunakuwa biased hata kama tunajua ukweli
Hamna alokufokea ulikua unaambiwa ukweliUrusi ni incompetent kwenye mambo mengi jeshini, kinachoibeba ni numbers na landmass. Ukraine sio level za kijeshi za Urusi hivyo sio ulinganifu sahihi, Man City kuifunga Yanga sio ajabu ila ni ajabu Man City kukoswakoswa na kufunga goli dakika ya 89 wakati kwa kulinganisha vikosi tunatarajia ishinde goli hata nne tano uko. Urusi ilitakiwa iwe imemaliza vita, superpower unapigana na jirani mnyonge muda wote huu. Sasa ingekuwa dhidi ya China ingekuwaje au dhidi ya Brazil waliopo maelfu ya kilomita mbali.
Russia iko competent kiuchumi ila kijeshi sio sana. Mlikuwa mnanifokea humu ila sasa hata Putin mwenyewe alichagua Waziri wa Ulinzi mwanauchumi. Hata kipenzi chenu Prigozhin alilalamikia suala hili.
Wataalamu wa uchumi ndio wameifanya Urusi isimame kwa heshima.
Taiwan akipigana na china anangojea silaha zakudunduliza zanini ?Manpower ipi wakati Russia inafanya mobilization kwenye population ambayo ni kubwa kuliko ya Ukraine, na Russia ni jeshi la tatu duniani kwa idadi ya wanajeshi active.
Foreign Legion unayodai ifanye Ukraine iwe na idadi kubwa iko deployed wapi, hata wanajeshi 5,000 nahisi hawana. Na ilifanya nini cha maana kwenye battle yoyote. Hao ni washereheshaji.
Military na financial aid anayopewa Ukraine ni kubwa kwa nchi za uchumi wa kati, ila haikustahili kuonekana kubwa dhidi ya Urusi. Usitarajie China ipigane na Taiwan, alafu Taiwan isubiri silaha za kudunduliza ikae hata miezi mitatu.
Urusi imerithi silaha nyingi za Soviet Union, ilikuwa na stock ya vifaru maelfu kwa maelfu na ammo. Kwenye namba ilikuwa kwenye advantage kubwa sana dhidi ya Ukraine.
Vipi Mlinganisho wa wavaa kobaz Taleban vs Marekani na washirika wake?
Iliwachukua miaka 20 na bado wakapigwa na kukimbia kwa aibu.
Unaposema numbers na Landmass una maanisha nini?
Kifupi Urusi kaonesha resilient na upper hand kwenye vita hii against NATO, European Union, Collective West na vassal states zake kama South Korea, Japan na Australia.
Misaada Yao si lolote na Wala chochote.
Ile waliyoitegemea kama hybrid warfare kuanzia Uchumi, kijeshi, information imeshindwa.
Kama Urusi ni incompetent, hao wengine utawaelezea vipi?
Kukukumbusha tu marekani haikuipiga afghanistan huo mwaka unaosemaUfaransa ilikuwa ikisafiri kilomita 11,000 Vietnam kupigana na kupeleka war materiel.
Uingereza ilitimuliwa na nani Afghanistan? Uingereza hii ilipigana Falklands dhidi ya Argentina. Ilifanya mobilization ikasafirisha silaha na wanajeshi umbali wa kilomita 11,000 kuipiga Argentina.
Marekani imeipiga Afghanistan ndani ya miezi miwili pale mwaka 2001 unajua kwa kutumia wanajeshi wangapi? Tangu 2001 hadi 2021 Marekani ikaamua iondoke, ilikuwa bored kukaa miaka 20 yote kama vile imekuwa mkoloni wakati lengo lake lilitimia ndani ya miezi miwili ya 2001.
Meanwhile Russia inapaka na Ukraine hata kwa miguu unavuka huhitaji paratroopers wala meli. Imevamia Ukraine kwa kutumia fronts tatu. Ina Crimea ambayo ilichukua bure mwaka 2014, ina jeshi linalojua defensive lines na mbinu za Ukraine maana maofisa wote walisoma pamoja Soviet military schools na walikuwa wanajua kila kitu cha kijeshi cha Ukraine. Sasa kama sio incompetency ni nini?
Urusi hii tuitupie adui aliyepo 11,000 km itaweza? Kwanza kwa meli zipi ilizonazo, hizi hizi ambazo Black sea fleet yote karibia inaisha. Na hapo wala Ukraine haina naval force.
HatujaelewanaNdugu itoshe tu kusema kuwa ninatifautiana na wewe kimtazamo. Wewe ukiwa waamini kuwa mwenye nguvu ndo mwenye haki, mimi siamini hivyo. Wether ni Us, China, Tanzania, Burundi, Russia, ...............si sahihi kutumia nguvu kukanyaga haki za wengine. Kama hukupenda Us alivojitwalia Guantanamo, Unafurahiaje Russia avavojitwalia Zaporozhye?
Sijajua kama unaongelea kwa mahabba ama ndio umeamua tu kufurahishaUfaransa ilikuwa ikisafiri kilomita 11,000 Vietnam kupigana na kupeleka war materiel.
Uingereza ilitimuliwa na nani Afghanistan? Uingereza hii ilipigana Falklands dhidi ya Argentina. Ilifanya mobilization ikasafirisha silaha na wanajeshi umbali wa kilomita 11,000 kuipiga Argentina.
Marekani imeipiga Afghanistan ndani ya miezi miwili pale mwaka 2001 unajua kwa kutumia wanajeshi wangapi? Tangu 2001 hadi 2021 Marekani ikaamua iondoke, ilikuwa bored kukaa miaka 20 yote kama vile imekuwa mkoloni wakati lengo lake lilitimia ndani ya miezi miwili ya 2001.
Meanwhile Russia inapaka na Ukraine hata kwa miguu unavuka huhitaji paratroopers wala meli. Imevamia Ukraine kwa kutumia fronts tatu. Ina Crimea ambayo ilichukua bure mwaka 2014, ina jeshi linalojua defensive lines na mbinu za Ukraine maana maofisa wote walisoma pamoja Soviet military schools na walikuwa wanajua kila kitu cha kijeshi cha Ukraine. Sasa kama sio incompetency ni nini?
Urusi hii tuitupie adui aliyepo 11,000 km itaweza? Kwanza kwa meli zipi ilizonazo, hizi hizi ambazo Black sea fleet yote karibia inaisha. Na hapo wala Ukraine haina naval force.
Hawa wajinga hawajajifunza jambo kwa guaido sijui ndio nani yuleπΊπΈπ»πͺβ‘οΈ- Democratic Senators are calling for the United States to officially recognize Edmundo Gonzalez as the president-elect of Venezuela.
Tathmini yako imejaa ushawishi wa propaganda za magahribi kuliko uhalisia.Urusi ni moja ya Military machines zenye efficiency ya juu sana.Hii vita ina calculation nyingi kuliko unavyofikiria.Ukraine ametumiwa kama chambo kumchosha mrusi na kujua approach yake itakuwa vipi. Unavyosikia Urusi anaiita hii ni SMO ni kwa maana pana sana.Hata jeshi linalopigana kwa asilimia kubwa sio wale ELITE RUSSIAN FORCES, na pia hata resources anazodeploy anafanya calculation nyingi sana.Kuna vitu vingi hajaviingiza ulingoni kwa makusudi kwani anajua kuna kundi linavizia limshtukize.Urusi ni incompetent kwenye mambo mengi jeshini, kinachoibeba ni numbers na landmass. Ukraine sio level za kijeshi za Urusi hivyo sio ulinganifu sahihi, Man City kuifunga Yanga sio ajabu ila ni ajabu Man City kukoswakoswa na kufunga goli dakika ya 89 wakati kwa kulinganisha vikosi tunatarajia ishinde goli hata nne tano uko. Urusi ilitakiwa iwe imemaliza vita, superpower unapigana na jirani mnyonge muda wote huu. Sasa ingekuwa dhidi ya China ingekuwaje au dhidi ya Brazil waliopo maelfu ya kilomita mbali.