LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
🇻🇪⚡- Violent protests across Venezuela.
 
Attachments

  • 4a6b7600-3ccd-4bec-bf07-9eb93be27988.jpg
    4a6b7600-3ccd-4bec-bf07-9eb93be27988.jpg
    71.2 KB · Views: 4
🇺🇸🇻🇪⚡️- Democratic Senators are calling for the United States to officially recognize Edmundo Gonzalez as the president-elect of Venezuela.
 
Foreigners are leaving the Ukrainian Armed Forces en masse and criticizing the conditions of service there, former SBU lieutenant colonel Vasily Prozorov told RIA Novosti.

The mercenaries complain that they were thrown into useless attacks and under Russian artillery fire, and accuse the Ukrainian command of stupidity and meanness.
 
Urusi ni incompetent kwenye mambo mengi jeshini, kinachoibeba ni numbers na landmass. Ukraine sio level za kijeshi za Urusi hivyo sio ulinganifu sahihi, Man City kuifunga Yanga sio ajabu ila ni ajabu Man City kukoswakoswa na kufunga goli dakika ya 89 wakati kwa kulinganisha vikosi tunatarajia ishinde goli hata nne tano uko. Urusi ilitakiwa iwe imemaliza vita, superpower unapigana na jirani mnyonge muda wote huu. Sasa ingekuwa dhidi ya China ingekuwaje au dhidi ya Brazil waliopo maelfu ya kilomita mbali.

Russia iko competent kiuchumi ila kijeshi sio sana. Mlikuwa mnanifokea humu ila sasa hata Putin mwenyewe alichagua Waziri wa Ulinzi mwanauchumi. Hata kipenzi chenu Prigozhin alilalamikia suala hili.
Wataalamu wa uchumi ndio wameifanya Urusi isimame kwa heshima.
Hii comparison uliyotoa sio sahii, kuanzia interm of manpower and financial
Sababu ukijumlisha back-up aliyonayo Urusi na Ukraine, Ukraine alitakiwa awe na upper hand.
Kuanzia
1.Financial aid anayopewa Ukraine inakaribia kuwa entire budget ya Urusi
2.Manpowe (Military personnel) kwa cover ya foreign Legion
3.Military aid equipment
Kwa kuwa wewe ni expert, haya unayajua vizuri. Ila mapenzi huwa yanatufanya tunakuwa biased hata kama tunajua ukweli
 
New Russian Defense Minister Does Audit:
11 trillion Rubles ($127 billion Dollars) Missing.
Russian Defense Minister Andrei Belousov has unveiled immense corruption among his predecessors. To the point of mind-exploding horror.

Beyond the missing money, here are some other problems:

  • an acute shortage of optical reconnaissance satellites.
  • tanks have been sent out without their required Arena-M active protection systems (APS) even though they were paid for.
  • promised production of Lancets and Krasnopol drones is non-existent.
  • new AWACS aircraft, which aviation urgently needs, have not been built.
  • not a single new electronic warfare aircraft is under construction.
============
copy and paste
 
Apti Alaudinov, the commander of the Akhmat special forces, has claimed that the irrecoverable losses of the Ukrainian Armed Forces during the war have exceeded 700,000 people.
 
Usichanganye mambo bwana mdog..kuna utofauti Kati ya kushinda vita na kushinda battle...

Maelezo yako ya marekani kuipiga Afghanistan in two months so kweli, ilishinda its main battle in two months.... Ila wataleban walishinda vita ..same Kwa wavietnam walishinda vita.
Taleban haijawahi shinda battle yoyote na Marekani, sembuse vita. Aliyekuwa kiongozi wao wakati Marekani inaenda alikuwa Mullah Omar, Marekani ikafika akakimbia kujificha. Taleban ilishinda vipi at the same time kiongozi wao kakimbilia Pakistan mafichoni? Na Taleban ikaachia madaraka.

Hamid Karzai kaongoza Afghanistan kwa support ya Marekani huku Taleban hawajulikani walipo. Miaka 20 yote Taliban wako mafichoni wanashambulia kwa kujitoa mhanga na ugaidi. US ikaamua zake kuondoka Taliban wakarudi na adabu. Waambie wafuge tena magaidi waone.
Kusema Ufaransa alisafiri km 11000 kupigana na Vietnam Si kweli, japo kuna support ya wanajeshi toka main land France waliparticipate vitani.. ila usisahau Ufaransa anavikalia visiwa vingi Sana Bahari ya Pacific na anamilitary bases pale ambazo ziko few miles from the battle field.
Ufaransa iko kilomita 11,000 kutoka Vietnam. Warships, missiles, fighter aircrafts, artillery, troops, ammunition, fuel na almost resources zote kasoro vyakula vilikuwa vinatoka far away na ikapigana ikashindwa.

Urusi inapigana na Ukraine pua na mdomo, technically unaweza tambaa kutoka Urusi ukafika Ukraine bila kuchoka. Zile border checkpoints si unatembea kwa miguu unavuka nchi. Imagine Ukraine haina navy, ila imeitesa vibaya Black Sea fleet ya Russian Navy. Sasa ndio Urusi ipigane na nchi kama Japan au South Korea yenye navy.
 
Hii comparison uliyotoa sio sahii, kuanzia interm of manpower and financial
Sababu ukijumlisha back-up aliyonayo Urusi na Ukraine, Ukraine alitakiwa awe na upper hand.
Kuanzia
1.Financial aid anayopewa Ukraine inakaribia kuwa entire budget ya Urusi
2.Manpowe (Military personnel) kwa cover ya foreign Legion
3.Military aid equipment
Kwa kuwa wewe ni expert, haya unayajua vizuri. Ila mapenzi huwa yanatufanya tunakuwa biased hata kama tunajua ukweli
Manpower ipi wakati Russia inafanya mobilization kwenye population ambayo ni kubwa kuliko ya Ukraine, na Russia ni jeshi la tatu duniani kwa idadi ya wanajeshi active.

Foreign Legion unayodai ifanye Ukraine iwe na idadi kubwa iko deployed wapi, hata wanajeshi 5,000 nahisi hawana. Na ilifanya nini cha maana kwenye battle yoyote. Hao ni washereheshaji.

Military na financial aid anayopewa Ukraine ni kubwa kwa nchi za uchumi wa kati, ila haikustahili kuonekana kubwa dhidi ya Urusi. Usitarajie China ipigane na Taiwan, alafu Taiwan isubiri silaha za kudunduliza ikae hata miezi mitatu.

Urusi imerithi silaha nyingi za Soviet Union, ilikuwa na stock ya vifaru maelfu kwa maelfu na ammo. Kwenye namba ilikuwa kwenye advantage kubwa sana dhidi ya Ukraine.
 
⚡⚡Ukrainian drones struck an oil depot in Russia's Kursk Oblast overnight on July 28-29, causing at least three fuel tanks to catch fire, Governor Alexei Smirnov said.⚡⚡
 
Warusi wanaendelea kupukutishwa tu..hii ni hatari sana aisee 🥱🥱🥱🥱🥱😢😢😢
1722332542087.jpg
 
Urusi ni incompetent kwenye mambo mengi jeshini, kinachoibeba ni numbers na landmass. Ukraine sio level za kijeshi za Urusi hivyo sio ulinganifu sahihi, Man City kuifunga Yanga sio ajabu ila ni ajabu Man City kukoswakoswa na kufunga goli dakika ya 89 wakati kwa kulinganisha vikosi tunatarajia ishinde goli hata nne tano uko. Urusi ilitakiwa iwe imemaliza vita, superpower unapigana na jirani mnyonge muda wote huu. Sasa ingekuwa dhidi ya China ingekuwaje au dhidi ya Brazil waliopo maelfu ya kilomita mbali.

Russia iko competent kiuchumi ila kijeshi sio sana. Mlikuwa mnanifokea humu ila sasa hata Putin mwenyewe alichagua Waziri wa Ulinzi mwanauchumi. Hata kipenzi chenu Prigozhin alilalamikia suala hili.
Wataalamu wa uchumi ndio wameifanya Urusi isimame kwa heshima.
Hamna alokufokea ulikua unaambiwa ukweli
Waziri waulinzi katoka alipotoka kapelekwa sehemu ya heshima zaidi na zaidi
Pia hata hio nchi dhaifu kama libya na iraq marekani angeenda mwenyewe asingetoboa
Ukraine dhaifu sana mbele ya russia ila angalia misaasa anayopewa na wahisani
Kama hamas tu kwa israhell licha ya kwamba tunasifiwa mossad ni kitengo bora cha usalama mwaka sasa wameshindwa kukomboa watu wao wanaotekwa
Idf jeshi bora mwaka sasa wameshindwa kuikalia ghaza na kuifuta hamas (hii mifano)
Hata huko kijeshi tuliambiwa russia hana silaha hana chakula ila mwaka wangapi huuu
Inawezekana sana russia kukawa na madudu ila sio kama mnavyoyakuza hapa jf
 
Manpower ipi wakati Russia inafanya mobilization kwenye population ambayo ni kubwa kuliko ya Ukraine, na Russia ni jeshi la tatu duniani kwa idadi ya wanajeshi active.

Foreign Legion unayodai ifanye Ukraine iwe na idadi kubwa iko deployed wapi, hata wanajeshi 5,000 nahisi hawana. Na ilifanya nini cha maana kwenye battle yoyote. Hao ni washereheshaji.

Military na financial aid anayopewa Ukraine ni kubwa kwa nchi za uchumi wa kati, ila haikustahili kuonekana kubwa dhidi ya Urusi. Usitarajie China ipigane na Taiwan, alafu Taiwan isubiri silaha za kudunduliza ikae hata miezi mitatu.

Urusi imerithi silaha nyingi za Soviet Union, ilikuwa na stock ya vifaru maelfu kwa maelfu na ammo. Kwenye namba ilikuwa kwenye advantage kubwa sana dhidi ya Ukraine.
Taiwan akipigana na china anangojea silaha zakudunduliza zanini ?
Wakati kwasasa taiwan ana silaha tele ingawaje bado hazitoshi
Russia kwenye hii SMO kapambana haswa haswa haswaaaa
 
Vipi Mlinganisho wa wavaa kobaz Taleban vs Marekani na washirika wake?
Iliwachukua miaka 20 na bado wakapigwa na kukimbia kwa aibu.

Unaposema numbers na Landmass una maanisha nini?

Kifupi Urusi kaonesha resilient na upper hand kwenye vita hii against NATO, European Union, Collective West na vassal states zake kama South Korea, Japan na Australia.
Misaada Yao si lolote na Wala chochote.

Ile waliyoitegemea kama hybrid warfare kuanzia Uchumi, kijeshi, information imeshindwa.

Kama Urusi ni incompetent, hao wengine utawaelezea vipi?

Who won the war between Afghanistan and America?

On the same day, the last president of the Islamic Republic, Ashraf Ghani, fled the country; the Taliban declared victory and the war was formally brought to a close. By 30 August, the last American military aircraft departed from Afghanistan, ending the protracted US-led military presence in the country.
 
Ufaransa ilikuwa ikisafiri kilomita 11,000 Vietnam kupigana na kupeleka war materiel.

Uingereza ilitimuliwa na nani Afghanistan? Uingereza hii ilipigana Falklands dhidi ya Argentina. Ilifanya mobilization ikasafirisha silaha na wanajeshi umbali wa kilomita 11,000 kuipiga Argentina.

Marekani imeipiga Afghanistan ndani ya miezi miwili pale mwaka 2001 unajua kwa kutumia wanajeshi wangapi? Tangu 2001 hadi 2021 Marekani ikaamua iondoke, ilikuwa bored kukaa miaka 20 yote kama vile imekuwa mkoloni wakati lengo lake lilitimia ndani ya miezi miwili ya 2001.

Meanwhile Russia inapaka na Ukraine hata kwa miguu unavuka huhitaji paratroopers wala meli. Imevamia Ukraine kwa kutumia fronts tatu. Ina Crimea ambayo ilichukua bure mwaka 2014, ina jeshi linalojua defensive lines na mbinu za Ukraine maana maofisa wote walisoma pamoja Soviet military schools na walikuwa wanajua kila kitu cha kijeshi cha Ukraine. Sasa kama sio incompetency ni nini?

Urusi hii tuitupie adui aliyepo 11,000 km itaweza? Kwanza kwa meli zipi ilizonazo, hizi hizi ambazo Black sea fleet yote karibia inaisha. Na hapo wala Ukraine haina naval force.
Kukukumbusha tu marekani haikuipiga afghanistan huo mwaka unaosema
Afghanistan ilipiganwa namataifa zaidi ya kumi dhidi ya afghanistan na pia twambie lengo lao walolitaka lilikua lipi?
Kuhusiana na ukraine umeona mwaka 2014 wakati hajapewa back up yeyote crimea ilivyoenda?
Kama kushindwa hata marekani na wenzake walishindwa pale syria licha yakwamba walikisanyana
 
Ndugu itoshe tu kusema kuwa ninatifautiana na wewe kimtazamo. Wewe ukiwa waamini kuwa mwenye nguvu ndo mwenye haki, mimi siamini hivyo. Wether ni Us, China, Tanzania, Burundi, Russia, ...............si sahihi kutumia nguvu kukanyaga haki za wengine. Kama hukupenda Us alivojitwalia Guantanamo, Unafurahiaje Russia avavojitwalia Zaporozhye?
Hatujaelewana
Sijasema na wala sina maana kwamba mwenye nguvu unatakiwa umpishe
Ila tu nimekupa uhalisia na ukweli wamambo ulivyo
Kama marekani aliitwaa Guantanamo anapataje haki yakumkemea urusi
Kule juu nilisema china russia us wote waonevu
Ila kuisemea russia na kuiona marekani safi huu unafiq
 
Ufaransa ilikuwa ikisafiri kilomita 11,000 Vietnam kupigana na kupeleka war materiel.

Uingereza ilitimuliwa na nani Afghanistan? Uingereza hii ilipigana Falklands dhidi ya Argentina. Ilifanya mobilization ikasafirisha silaha na wanajeshi umbali wa kilomita 11,000 kuipiga Argentina.

Marekani imeipiga Afghanistan ndani ya miezi miwili pale mwaka 2001 unajua kwa kutumia wanajeshi wangapi? Tangu 2001 hadi 2021 Marekani ikaamua iondoke, ilikuwa bored kukaa miaka 20 yote kama vile imekuwa mkoloni wakati lengo lake lilitimia ndani ya miezi miwili ya 2001.

Meanwhile Russia inapaka na Ukraine hata kwa miguu unavuka huhitaji paratroopers wala meli. Imevamia Ukraine kwa kutumia fronts tatu. Ina Crimea ambayo ilichukua bure mwaka 2014, ina jeshi linalojua defensive lines na mbinu za Ukraine maana maofisa wote walisoma pamoja Soviet military schools na walikuwa wanajua kila kitu cha kijeshi cha Ukraine. Sasa kama sio incompetency ni nini?

Urusi hii tuitupie adui aliyepo 11,000 km itaweza? Kwanza kwa meli zipi ilizonazo, hizi hizi ambazo Black sea fleet yote karibia inaisha. Na hapo wala Ukraine haina naval force.
Sijajua kama unaongelea kwa mahabba ama ndio umeamua tu kufurahisha
Ingawaje zamani ila uliona vita ilopiganwa na japan na us
Moja ikitokea russia akapigana vita ambayo ataona moja kwa moja inatishia uwepo wake kama alivyokula marekani ingawaje alipigwa kutoka mbali basi majibu nayenyewe yatakua makali
Hata huyo ukraine hajatishia bado usalama wa russia ile grade ya russia kutoweka la sivyo angekula pigo takatifu kabisa
Cuban missile crisis na sababu ya hiroshima na nagasaki inajibu maswali yako yote
 
Urusi ni incompetent kwenye mambo mengi jeshini, kinachoibeba ni numbers na landmass. Ukraine sio level za kijeshi za Urusi hivyo sio ulinganifu sahihi, Man City kuifunga Yanga sio ajabu ila ni ajabu Man City kukoswakoswa na kufunga goli dakika ya 89 wakati kwa kulinganisha vikosi tunatarajia ishinde goli hata nne tano uko. Urusi ilitakiwa iwe imemaliza vita, superpower unapigana na jirani mnyonge muda wote huu. Sasa ingekuwa dhidi ya China ingekuwaje au dhidi ya Brazil waliopo maelfu ya kilomita mbali.

Russia iko competent kiuchumi ila kijeshi sio sana. Mlikuwa mnanifokea humu ila sasa hata Putin mwenyewe alichagua Waziri wa Ulinzi mwanauchumi. Hata kipenzi chenu Prigozhin alilalamikia suala hili.
Wataalamu wa uchumi ndio wameifanya Urusi isimame kwa heshima.
Tathmini yako imejaa ushawishi wa propaganda za magahribi kuliko uhalisia.Urusi ni moja ya Military machines zenye efficiency ya juu sana.Hii vita ina calculation nyingi kuliko unavyofikiria.Ukraine ametumiwa kama chambo kumchosha mrusi na kujua approach yake itakuwa vipi. Unavyosikia Urusi anaiita hii ni SMO ni kwa maana pana sana.Hata jeshi linalopigana kwa asilimia kubwa sio wale ELITE RUSSIAN FORCES, na pia hata resources anazodeploy anafanya calculation nyingi sana.Kuna vitu vingi hajaviingiza ulingoni kwa makusudi kwani anajua kuna kundi linavizia limshtukize.
Kuna kauli nyingi labda watu wanazipuuzia,Putin ameishasema na mageneral wake wameishasema pia,Vita itayokuwa baina ya Russia na hizo nchi nyingine itakuwa na tofauti kubwa sana na SMO ya Ukraine.
 
Back
Top Bottom