D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Inawezekana ni kweli RUSSIA amepoteza nyambizi lakini mbona hiyo picha ni ya zamani, cha ajabu mitandao takribani yote iliotangaza habari hiyo wametumia picha hiyo.Ukraina has today successfully taken down a russian submarine i the Black Sea, it was at the dock in Sevastapol, Ukraina!!! and further more Ukrainians has taken down 4 S400-air defence systems!!!!!
YES, you are reading correct!!!
UKRAINA HAS HIT A RUSSIAN SUBMARINE LAYING ON THE DOCK IN CRIMEA!!!!1🥳🥳🥳🥳View attachment 3060760b🥳
Miezi nane iliopita hii picha ilikuwepo QUORA.
Nimezichukua muda huu kwa kutumia google lens kupitia hiyo picha ulioiweka