kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Inawezekana ni kweli RUSSIA amepoteza nyambizi lakini mbona hiyo picha ni ya zamani, cha ajabu mitandao takribani yote iliotangaza habari hiyo wametumia picha hiyo.Ukraina has today successfully taken down a russian submarine i the Black Sea, it was at the dock in Sevastapol, Ukraina!!! and further more Ukrainians has taken down 4 S400-air defence systems!!!!!
YES, you are reading correct!!!
UKRAINA HAS HIT A RUSSIAN SUBMARINE LAYING ON THE DOCK IN CRIMEA!!!!1🥳🥳🥳🥳View attachment 3060760b🥳
Stori ya hawa wawili imenivutia sana. Ni spies wa Urusi wenye passports za Argentina kazi wanapigia Slovenia. Watoto wao wamegundua kwamba ni Warusi siku wanatua airport Urusi. Madogo wanashangaa wanapokelewa na Putin anawapa maua na kuwasalimia kispaniola, kuuliza huyu ni nani wanaambiwa ni Putin na ndo rais wetu.. Ludwig Gisch and Maria Mayer, were arrested in 2022 in Slovenia and accused of being deep-cover Russian intelligence operatives whose names (if Western media is to be believed) are Artem Dultsev and Anna Dultseva
Mungu azilaze pema roho za manyumbu wote
View: https://x.com/RandyHiggins757/status/1819717953136271481
Habari ya miezi 4 iliyopita ndio unaleta Leo? Pro Russia kama mna uhaba wa habari semeni tu niwaunganishie..,link ya habari yako hii hapa😅🤣😁🪖 Russia produces more shells than necessary to conduct combat operations in the Northwestern Military District - German Defense Minister Boris Pistorius
📝 “Most or part of what is now produced no longer goes to the front, but ends up in warehouses. One can be naive and say that he [Vladimir Putin] is doing this only out of caution.
As a skeptic, I would rather say that in this case he is doing this because he is planning something or perhaps has something in mind,” said the German minister.
Pistorius also noted that Russia is ramping up weapons production and stocking warehouses, which heralds a new offensive by Russian troops.
Kwa hesabu zangu za standard 4 Vifo ni 6.5:1.Ukraine and Russia exchanged the bodies of the deceased.
250 Ukrainians and 38 Russian deceased soldiers were exchanged.
===========
umeelewa nini?
Iyo submarine imechakazwa tu , warusi wa gongolamboto wanaugulia maumivu balaa