kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Russia anapigana na NATO and its allies.
Ukraine ni kama ametoa ardhi yake itumike kwa mapigano.
Huo ndo ukweli ambao hautajwi hadhara
Jamaa Waliachakazwa balaa yaani huyo anaesema Bonziee bonziie inaonekana ndio alikua kamanda wao lakini nae alikula chuma.Usiombe ukaingia kwenye mfumo.Mungu azilaze pema roho za manyumbu wote
View: https://x.com/RandyHiggins757/status/1819717953136271481
Wewe ndio unasema hivyo.Hapigiki huo ndiyo ukweli urusi ingekuwa na rais kichaa ungejua nini ninacho kuambia ...NATO inamsumbua urusi kwa sababu anawalea la akiamua kuchapa mifumo yao ya mawasiliano ya anga za juu inayo tumika kuendezha siraha zote muhimu za USA NA NATO hapo ndiyo utajua kuwa URUSI inaguvu kiasi gani? Marekani huwa inakwamishwa misheni zake na back up ya nchi moja tu yoyote yenye nguvu.ila urusi inapambana na ukrain mwenye back up ya nchi zote za NATO kwa asilimia 100
Ukraine wameshateka kituo kikubwa Cha kusambaza gas kuelekea ulaya.,hii Ina maana urusi hasambazi Tena gas kuelekea ulaya., unaambiwa Bei ya gas imepanda maradufu baada ya Ukraine kudhibiti kituo hiki! Yajayo yanafurahisha kwa kweli..,kwa Sasa mapigano makali yapo kwenye kituo Cha nyuklia!Kundi la Jeshi lililoshambulia eneo la Kursk halina njia ya kurejea Ukraini.
Urusi inazingira na kugawanya vikosi vya Kiukreni katika eneo la Kursk, ikikata njia ya usambazaji kutoka Ukraine, ikitenga kabisa kundi hili la jeshi
Ni lini Urusi kaanza tena kuuza gas Ulaya?!Ukraine wameshateka kituo kikubwa Cha kusambaza gas kuelekea ulaya.,hii Ina maana urusi hasambazi Tena gas kuelekea ulaya., unaambiwa Bei ya gas imepanda maradufu baada ya Ukraine kudhibiti kituo hiki! Yajayo yanafurahisha kwa kweli..,kwa Sasa mapigano makali yapo kwenye kituo Cha nyuklia!
Wamejipeleka kwenye mdomo wa dubu....Kundi la Jeshi lililoshambulia eneo la Kursk halina njia ya kurejea Ukraini.
Urusi inazingira na kugawanya vikosi vya Kiukreni katika eneo la Kursk, ikikata njia ya usambazaji kutoka Ukraine, ikitenga kabisa kundi hili la jeshi
Wamejipeleka kwenye mdomo wa dumu....
Thia is a death trap
Nisijue,hizo taharifa ni Kwa mujibu wa Al Jazeera, kacheki mwenyeweNi lini Urusi kaanza tena kuuza gas Ulaya?!
UKRAINIANS HAVE JUST REPORTED- We have already entered the villages of Snagost and Olgovka in the Kursk region, they have already come under the control of the Armed Forces of Ukraine,- say Russian military personnel
Kama na wengne wanavyomuona USA hapigikiNa mnamuona Mrusi kama vile hapigiki.
Wanaenda kuzingirwa na kupigwa kipigo cha mbwa kokoMpaka kufika asubuhi hii wanajeshi wa urusi wamesha viteka vijiji viwili ndani ya mji wa sumy hawa warusi wanatengeneza mazingira ya kuwazunguruka wanajeshi wa ukraine walijiingiza ndani ya urusi View attachment 3064988
Naona kaota mapembe sasa na kuleta jeuri