Vita bado haijaisha Kiongozi ila Ukraine ameishiwa Wapiganaji. Halafu anapoteza Wapiganaji kwa kasi kubwa. Kulingana na taarifa iliyotolewa na Website ya UKRAINSKA PRAVDA Wapiganaji 788 waliokuwa wakipigana eneo la Krynky katika Jimbo la Kherson wamepotezwa wote. Halafu Mtandao huo huo unaripoti kuwa Russia ana Wapiganaji 500,000 katika eneo la Donbas na anataka kuongeza Wapiganaji wengine 300,000. Kwa ujumla Ukraine angekubali yaishe maana atapoteza wapiganaji wengi kwa vita ambayo ushindi kwake ni ndoto. Asimsikilize Biden, maana hayupo sawa kichwani kwake. Hata Wamarekani wenyewe wamekiri na Zelensky mwenyewe amemshuhudia akimwita Vladmir Putin badala ya Zelensky.