Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Hakuna pigo kama kuua maelfu ya wanajeshi na raia wasio na hatia wa Ukraine ambayo yalishafanyanywa na Putin kwahiyo sioni kama Wana la kupoteza yaani kiufupi Ukraine wamejilipua na watafanikiwa japo watakutana na upinzani mkali.Hiii ni karata mbaya sana kwa ukrein apaa naamini counter offensive imeshaanza ubaya unakuja kushindwa kwa hii litakuwa pigo bays sana kwa ukrein naona kaamua kusogeza kete ngumu sana ngoja tuone hiii wiki